Тёмный

ROHO WAKUZIM ANAE WA ONGOZA DUNIANI. PESA ZA MASHETANI. MAJINI EV PASCHAL CASSIAN 

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE
Подписаться 170 тыс.
Просмотров 56 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 322   
@AnjelaTemu
@AnjelaTemu 3 месяца назад
Kwakweli mtumishi Unatusaidia sana maana wengi tumepofushwa na manabii wa uongo, lakini kupitia roho wa Mungu wa kweli alieko ndani Yako tumepona.Mungu akubariki sana mtumishi na akuzidishie mema ya nchi tunakupenda sana mtumishi
@medsonsanga4813
@medsonsanga4813 Год назад
Kauli Mbiu yetu Tumekalibia nyumban Amen 🙏
@israelbalagula8613
@israelbalagula8613 Год назад
Kama kuzimu iko kasi Sana kueneza roho ya uongo na sie imetupasa kueneza kweli ya Mungu kwa kasi
@roselyneezekiel
@roselyneezekiel 4 месяца назад
Barikiwa sana mtumishi Paschal Kwa kutufunulia haya.... Live long to save the world 🙏
@dorisendirenganya4931
@dorisendirenganya4931 Год назад
Mungu akutie ngufu na akulinde, Nafatilia sana hii channel yako Mutu wa Mungu. Zamani ulikuwa uki tumia Bible ya mkononi sikuizi una tumia Bible ya kwenye simu, ninge kusii Urudilie ile yenye mkononi kwa ajili ya utukufu wa Mungu. Asante kwa kazi unayo ifanya ila usi nielewe vibaya kwa ushauri wangu. Ubarikiwe zaidi
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 Год назад
😍😍😍😍😍😍😍🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@florarog548
@florarog548 Год назад
Ushauri mzuri maana hz za mtandaoni zinaenda kuchakachuliwa
@santina196
@santina196 Год назад
Bwana apewe sifa mtumishi wa mungu kanisa lako liko wap
@DanielJohn-el8sv
@DanielJohn-el8sv Год назад
Amos 3;7 Hakika Mungu wetu hatofanya jambo lolote bila kuwajuza watu wake Mitume na Manabii, sina shaka juu ya Huduma yako. Ubarikiwe sana 🙏🏼🙏🏼
@osanamgallah4297
@osanamgallah4297 Год назад
Mungu uhimidiwe milele..Asante kwa ajili ya mtumishi wako tunapona..tunaokolewa na kufunguliwa...Mbariki na kumlinda mtumishi wako hata maadui zake washangae Ukuu wako jinsi ulivo...tunaomba Mungu shetani asiweze kujitapa kwaajili ya mtumishi wako Bali UKAINULIWE WEWE
@nelyvinendenjeshe-fs5jb
@nelyvinendenjeshe-fs5jb Год назад
Hakika mwangaza wa NURU tayari umetiwa ndani mwako ili uwangaze dunia kote ili wenye walikuwa kwenye giza wapate kuona na kujua ukwel na uongo MUNGU azidi kusimama nawe hadi mwisho Amen 🙏🙏🙏
@elizabethfatuma9053
@elizabethfatuma9053 Год назад
Amen Baba iyo njo kweli Mungu atulindie n'a Weye iyo ma Nabii wa Uwongo wanaonekana tu niWatu Wenye Sifa sana na kujifanya upendo wa unafiki unafikiri wana kupenda kumbe wanamaesabu zao Mungu azidi kutufunguwa Macho ya Rohoni ili tuzidi kuwatambuwa zaidi
@DorithyKobelo
@DorithyKobelo Год назад
Ahsante mtumishi wa Mungu kwa ujumbe wa kutuponya, Mungu azidi kuwekeza Sana kwako.🙏
@KasimbiYannick
@KasimbiYannick 9 месяцев назад
ndio baba Pascal ina sema ukweli usipo pingika baba Mungu wa mbingu aku baril n'a kuku Linda n'a kupika wata kao penda ku pingana nawe Niko APA Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@roselyneezekiel
@roselyneezekiel 4 месяца назад
Kila ninapoendelea kufuatilia vipindi zako, hakika natambua kusudi la Mungu ww kuwepo ktk Dunia hii barikiwa sana sana mtumishi 🙏
@lydiagamba3183
@lydiagamba3183 Год назад
Mwenyezi Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@balibalitz320
@balibalitz320 Год назад
Mungu akubaliki wew na family yako❤❤❤❤❤❤❤
@Saidi1581
@Saidi1581 Год назад
mungu apewe sifa maana anastahili ku abudiwa bwana wetu Yesu kristo mungu akubariki sana mtumishi wa mungu Paschal cassian unasema ukweli kabisa amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@johnmeshack4431
@johnmeshack4431 Год назад
Amina mungu atuogoze maana atuwez Bila yeye
@kelvinmwandiga6883
@kelvinmwandiga6883 Год назад
Mungu tusaidie tuwe na macho ya rohoni mutumishi maisha marefu kwako
@phenymanga949
@phenymanga949 Год назад
Amen mtu wa Mungu umena kweli kbs.Mungiu akutie nguvu ktk kazi take aliyekutai matuta kwayo.
@Judy37307
@Judy37307 Год назад
Ukweli mtumishi, MUNGU aedelee kukupa nguvu za neno la kweli
@omarimashimbi7843
@omarimashimbi7843 Год назад
Nikweli umesemesha ukweli mutumish wa Mungu Mungu akubariki sana watu wengi hawachunguzi sana
@hanagango6922
@hanagango6922 5 месяцев назад
Ubarikiwe Sana mtumish wa mungu ... mungu azid kukutetea
@mercyetago4020
@mercyetago4020 Год назад
May God protect you. What a great evangelist of Jesus you are. God be with you.
@boneface8311
@boneface8311 Год назад
Mimi nakuelewa Mwinjiristi. Mungu akuweke ulitetee jina la Yesu mpaka mwisho.
@Judy37307
@Judy37307 Год назад
Amen mtumishi wa MUNGU am watching from saudi
@marybwire1949
@marybwire1949 Год назад
I love ur teachings..let's worship and pray the living God🙏🏽..may u be Blessed Always 🙏🏽..Long Live🙏🏽
@marymwanziamary6623
@marymwanziamary6623 Год назад
MUNGU ni mkubwa sana heri nivumilie yote lakini nifike mbinguni nikaishi na YESU milele..
@eliamtinda7222
@eliamtinda7222 Год назад
Kristo Yesu akuangazie zaidi na zaidi! Blessings!
@DeodathaMahongole
@DeodathaMahongole 2 месяца назад
Mungu akuweke sana mtumishi wa mungu nakuelewa sana❤❤
@DanielJohn-el8sv
@DanielJohn-el8sv Год назад
Mtumishi wa BWANA, Mungu azidi kukutia nguvu na azidi kukutumia kwamaana kazi unayofanya ni Sahihi na ya maana sana ktk nyakati hizi za mwisho, Kristo Yesu yuu karibu, roho ya mpinga kristo imeharibu dunia.
@marisangaelifadhili3166
@marisangaelifadhili3166 Год назад
Mungu akutie nguvu. Nilikuwa nasubiri nione mtu anaye kemea maovu wazi wazi namna hii. tunahitaji na wengine wengi wasaidue kuokoa watu wanaoangamia kwa kutosoma maandiko.
@KiboMussa
@KiboMussa Год назад
Mungu azidi kukutunza mtumishi,ili uzidi kuifundisha ile kweli ya bible,amina
@AnnMankovi
@AnnMankovi 10 месяцев назад
Amina paster yesu andelee kukuona umesema ukwel
@mchhuseinmiraji-mg3by
@mchhuseinmiraji-mg3by Год назад
Asante ubarikiwe mtumishi wa kristo kwa ushujaa na uhodari mwingi.Bwana akupe maisha marefu na mafunuo ya kristo Yesu
@loraumuhire4755
@loraumuhire4755 Год назад
Kweri na huo muimbaji mwenye anajua neno ra Mungu, anaitika batu bamusujudie? nashangara sana, Mungu atusaidie.
@deniselizeus
@deniselizeus Год назад
Asiye kuelewa wewe pascal basi huyo mtu ana chapa ya mpinga kristo
@neemakwanama3370
@neemakwanama3370 Год назад
nitasali KWENYE kanisa lane
@DorithyKobelo
@DorithyKobelo Год назад
Kwa kweli
@angiringalyimo365
@angiringalyimo365 Год назад
mahubiri yako ni tofauti na wainjilisti wengi wa jumapili
@Blessing_uk
@Blessing_uk 5 месяцев назад
Duh..mungu msimamie hyu mtumishi wako..maana najua anaptia mengi kuhsu kuueneza ukwer..
@Byaruremapetro
@Byaruremapetro Год назад
Nyama ukaimaliza, eeee! Mungu akubariki sana mtumishi.
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 Год назад
🤣🤣
@protasdmassawe
@protasdmassawe Год назад
😂😂
@HellenaMky
@HellenaMky 7 месяцев назад
😢😢😢😢 Mungu nilinde roho yangu nakizazi changu🙏
@annamsami2425
@annamsami2425 Год назад
Mungu wa Bwana wetu Yesu K risto, tupe neema ya kuuona ufalme wako Amina🙏
@MusaMgonela-vr7du
@MusaMgonela-vr7du Год назад
Mungu aendelee kukupa nguvu na nafasi yakuzungumuza ukweli ktk dunia
@Elecovid
@Elecovid Год назад
Mungu akutie nguvu mashimo ni mbwa wa jodevu mbwa yule
@RamazaniSulemani-x5h
@RamazaniSulemani-x5h Год назад
Munatuchanganya sasa hatujuetufat nini pasta mungu akubariki alakini usihukumu usije ukahukumiwee waache na maishayao pasta kilamutu mungu anamuita mudomene yake waache wafanya vyao wewe utuhubiri tu nenolamungu mwatasikia asikie pasta ila usitaje jinalamutu wala kuhukumu mutu naweye pia unakosea sana kwakuhukumu wewe hubiri neno lamungu pekeake byawatumishiwengine waache watajuwana namungu pekee ake
@monicamrisho767
@monicamrisho767 Год назад
Barikiwa Sana Mungu awe nawe kwa kusema kweli ya Mungu
@ArbogastKilumbi
@ArbogastKilumbi Год назад
Maana hiyo ndio kazi kuu aliyotupatia Yesu hapa duniani.
@Roseokongo355
@Roseokongo355 Год назад
Amen,let's worship the living God and pray God to direct us children of God.Thanks servant of God for the sermon,"be blessed and protected by the blood of Jesus Christ Amen."
@fridafrida2142
@fridafrida2142 Год назад
Ubarikiwe sana kwakutupa ukweli
@solenmhanga2790
@solenmhanga2790 Год назад
Hongera Sana mchuga ji
@diananaswa4842
@diananaswa4842 Год назад
​@@solenmhanga2790jina la bwana litukuzwe
@AgnessAgness-w6s
@AgnessAgness-w6s Год назад
Mungu akubariki sana wakomboe watu maana wanaangamia kwakukosa maalifa ❤
@EsterLukio-yy7or
@EsterLukio-yy7or Год назад
Bwana Yesu Kristo akutie nguvu uzidi kuinena kweli Yake ,Tunakuombea tuko pamoja,
@sylvesterjoseph4575
@sylvesterjoseph4575 Год назад
Ubarikiwe kwa kuhubiri ukweli
@elianombo9836
@elianombo9836 Год назад
Elia mungu akutie nguvu
@mumebenezer2966
@mumebenezer2966 Год назад
Leo nimejua ni nini maana ya hicho kirungu anachogonga....Roho Mtakatifu alikua akinishuhudulia tu kuwa sio cha kawaida kina maana kubwa. Barikiwa sana brother Cassian
@lucypaulo9238
@lucypaulo9238 Год назад
Mungu atusaidie sana Kwa kweli
@annewanyonyi-nb1zh
@annewanyonyi-nb1zh Год назад
Aliye na masikio na asikie jinsi Roho anavyo nena na kaonisa.Kama mhubiri wa Mungu ataorodhesha haya yote na mwenye kughairi asimuamini ole wake kwa kuwa siku ya hatari yaja na itakuwa siku ya kilio sana. Nakushukuru sana mchungaji kwa mahubiri yenye usia na ukweli kabisa.🙏🇰🇪
@joselynekaziri992
@joselynekaziri992 Год назад
Yanatisha.watu kanisani wanagewuka kama vipofu hawaoni aya.Mungu akuongeze nguvu.akulinde
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 Год назад
Barikiwa mtumishi wa MUNGU kwa neno ,,,,ila hapo kwa mtumishi Mwamposa HAPANA ,,,, Boniface Huwa hakubali kusujudiwa hata siku Moja,,,,hapo umemuonea mtumishi wa MUNGU Mwamposa,,,,,
@mariamumadembwe5184
@mariamumadembwe5184 Год назад
Ubarikiwe MNO, mnooooo Mtumishi sina neno lakusema juu yako ILA MUNGU akutunze
@queenesther2639
@queenesther2639 Год назад
Ubarikiwe sana sana MUNGU mwema akulinde Mtumishi wa MUNGU
@hasanygodda9242
@hasanygodda9242 Год назад
Nabarikiwa Sana mtumishi napata nguvu ya kuomba pia
@hortenseornella-po8zw
@hortenseornella-po8zw Год назад
Mutumishi. Mungu aendeleye kukutumiya, uwokowe roho nyingi zimepoteya.
@JoyceFungo-c8k
@JoyceFungo-c8k 7 месяцев назад
Mungu atusaidie tuwe na macho ya rohoni
@phenymanga949
@phenymanga949 Год назад
Amen ubarikiwe kwa ujumbe huo wa ajabu.mama Miriam mombasa
@EricMulemera-eb2bb
@EricMulemera-eb2bb Год назад
Kweli dikaze ukuwe natuambiya ukweli baba hata kama watu wengine hawaitike fudindisha. Mungu aendeleye kukupa nguvu
@upendo-ne3fu
@upendo-ne3fu Год назад
MUNGU akubariki mtumishi wa BWANA ,unasem kweli yote bila kuogopa.
@NeemaMagosha
@NeemaMagosha 10 месяцев назад
Ameni mungu akubaliki kwa neno lako
@sussynasimiyu8467
@sussynasimiyu8467 Год назад
Hallelujah hallelujah hallelujah, amen amen amen mungu akubariki mchungaji wangu unaongea ukweli, nakufutilia nikiwa Saudia arebia, Dunia imeisha nashuhudia Kenya yetu vijana wameishia kwa wanganga kuroka wapenzi wao, vijana finished
@JuliaMkura
@JuliaMkura Год назад
Mungu akutie guvu mtmishi tuko pamoja
@johntarmo
@johntarmo Год назад
Mungu akubariki mtumishi wa mungu unayo sema ni kweli
@winnyroda7558
@winnyroda7558 Год назад
MUNGU akubaliki mtumishi wa MUNGU 🙌 maana injili yako ni ukweli mtupu Mungu nisaidie👏
@jtpsonponyo3631
@jtpsonponyo3631 Год назад
Amen que Dieu vous bénisse mon pasteur
@DorithyKobelo
@DorithyKobelo Год назад
Merci beaucoup homme de Dieu
@Racheldavid-on5hh
@Racheldavid-on5hh Год назад
Mungu akusaidie Paschal cassian
@elizabethjoseph-z5d
@elizabethjoseph-z5d Год назад
Amen hakika Rohomtakatifu na atuongoze kuhusu ujumbe huu uliobeba ukweli
@R.mkushi-vo2hn
@R.mkushi-vo2hn Год назад
Hajui kwamba nabii mkuu ni yesu mwenyewe. Yesu ndiye Roho ya unabii..
@JonestaPonsian
@JonestaPonsian Год назад
Amen Mungu azid kukulinda na kukutunza kazi nzur unafany mtumish wa MUNGU tukijua kweli ndo itatuweka kweli . Mungu akubariki sanaaa
@bintmwambapa7734
@bintmwambapa7734 Год назад
YESU azidi kukutunza Mtumishi wa MUNGU alie hai.
@rosewabangwa9000
@rosewabangwa9000 Год назад
Mwenyezi Mungu akubariki na akupe nguvu ya kutangaza neno lake duniani pote
@rubefabi8366
@rubefabi8366 Год назад
Baba yangu Yesu muda wowote kuanza sasa anarudi.
@BarakaMazengo
@BarakaMazengo Год назад
Ad naogopa natetemeka Moyo Mimi Jaman
@irenenyaulingo1319
@irenenyaulingo1319 Год назад
Amina mtumish nabarikiwa nkiwa unguja
@prodzack3279
@prodzack3279 Год назад
Saf San kaka kwanza we ni shujaaa wa mungu saban kama uliweza kujitoa Freemason asaiv ni saf mungu atubaliki
@bossej1212
@bossej1212 Год назад
Asante kwa kusema ukweli.Hauzunguki mbuyu, unagonga penyewe.
@beatricemdoe7192
@beatricemdoe7192 Год назад
Amen mchungaji MUNGU wa mbinguni akubariki sana
@claudebanze1563
@claudebanze1563 Год назад
Mungu amibariki. Baki mukristo wa kweli.
@Akinyisafi
@Akinyisafi Год назад
MIMI HATA HAPA SINA COMMENT KWA MAANA MOYO WANGU UNAVUJA DAMU NIKIONA HAYA 😢😢😢😢😢😢😢😢
@Afolorunso
@Afolorunso Год назад
Jaber in Kare
@mariakingu1221
@mariakingu1221 Год назад
Kwani mtumishi wew ni dhehebu gani samahani lakin naomba kujua napenda mafundisho yako Mimi nipo gairo.
@georgemabala4000
@georgemabala4000 Год назад
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu, napenda sana yako,
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 Год назад
Mungu uishie milele, niepushe na hii madhabao ya kusujudu sanamu na kupenda fedha. Nisaidie nisije kutekwa na hii madhabao kwa kupenda vya dunia kuliko wewe Mungu. Nipe macho ya kiroho nikaweze kutazama kindani na kubaini kilicho kweli katika kristo. Nisiwe wa kupenda fedha na dhahabu maana hivi ni vya dunia. Saidia wachungaji wanaohubiri kweli ya kristo wasije kujiunga na madhabao haya kwa kua waliteuliwa na roho wako kuelekeza roho zinazo hitaji uwepo wako. Nikusujudie ewe Mungu uliye umba mbingu na nchi bila kujaribiwa Imani yangu na madhabao haya. Nitetee kwa kila jambo ninalofanya liwe kulingana na maadili yako.
@ruthinyange3569
@ruthinyange3569 Год назад
😭😭😭 amen kweli Yuko njiani ishara tunaziona ooooh😭😭😭😭😭
@bartolomeuhenrique1574
@bartolomeuhenrique1574 Год назад
Mtumishi Bwana Yesu akupe moyo wa ujasili,na kuwafumbua macho wale tayali waliotekwa na tamaa za pesa na miujiza za uongo.niko Mozambique Pemba
@simonibonifasi3131
@simonibonifasi3131 Год назад
Naomba mungu akulinde sana
@sharnelluvinzu5090
@sharnelluvinzu5090 Год назад
Amen. Mtumishi Asante kutuelimisha, lakini nakuomba kwa upole ,wacha kutumia bible ya simu ,kwana itakuepisha na uwepo wa Mungu, bible za simu zimewekwa na ibilisi kutenganisha wakristo na uwepo wa Mungu na kuwafanya wakuwe wazembe wa kuninua bible yenyewe
@patiencehumbled3519
@patiencehumbled3519 Год назад
Nilikuwa nasubiri hii siri kutoka asubui,asante yes maana nimeona
@rosemarysuwi9293
@rosemarysuwi9293 Год назад
Mungu akulinde zaidi mtumishi casiano tunakuombea sana.tunajua ukweli kupitia ww
@jamesboka-kk9rv
@jamesboka-kk9rv Год назад
Mungu azidi kukutumia mutumish wabwana kwakusema neno lakwer❤
@NancyMwaibula7634
@NancyMwaibula7634 Год назад
Mungu akubariki sana mtu wa Mungu hiki kitu nilionyeshwa mwaka jana February kuhusu huyu mtu lkn Mungu ataenda kuwaangusha tu
@sussynasimiyu8467
@sussynasimiyu8467 Год назад
Amen amen amen tumekaribia nyumba kwa baba yetu
@geraldkiliwa3185
@geraldkiliwa3185 Год назад
hongera Mr paschal
@alichenakoli-fs6mr
@alichenakoli-fs6mr Год назад
amen mungu akuweke
@christiankambuga9338
@christiankambuga9338 Год назад
Asante sana pastor
@mamiedenise270
@mamiedenise270 Год назад
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu wa kupinga apinge ila umeongea kweli
@komberose9199
@komberose9199 Год назад
Tuweni macho watu wa Mungu, tusisujudu wanadamu, Mungu akubariki mtu wa Mungu.
@AIZECKNSAGAJE
@AIZECKNSAGAJE Год назад
Baba wa mbinguni akujalie neema yake daima ya kunena siri ya injili ya kweli ya KRISTO YESU damu ya KRISTO YESU ikulinde siku zote
@leonardernest8528
@leonardernest8528 Год назад
Be blessed a man of God.
@aimeebusime5849
@aimeebusime5849 Год назад
Amen Mtumishi Wa Mungu. Mimi najiuliza.anatowa hizo pesa wapi?? Hata rais hana hizo pesa! Watu wamefungwa macho. Hawa mulizi atowa pesa nyingi vile wapi????????
@barryhezron2764
@barryhezron2764 Год назад
Hutakufa Bali utaishi usimulie matendo makuu ya Bwana, usiruhusu hofu irudi ilikotoka kwa jina la Yesu marufuku kikiri mauti
@issayawakolela-r1y
@issayawakolela-r1y 2 месяца назад
Naitwa issaya wakolela samahani mtumishi naomba kujua maana na tafsili ya neno unalo tumiakwamba unasalim ktika jina bwan na binti za mungu sasa maan ya binti za mungu ni ipi
@shaimamabrouk9937
@shaimamabrouk9937 Год назад
Ninacho kijua kwa nduguzetu Hawa huwa hawamtafuti Mungu wakweli Bali hufata miujiza kutaka mafanikio ya haraka bilakujua siri ya hiyo miujiza kumbe hapo ndipo wanapo uza Nafsi zao kwa Shetani Mungu atuhurumie msiba mzito sana huu😢
Далее
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 1,5 млн
UAMKAPO ASUBUHI FANYA HIVI .
6:17
Просмотров 197 тыс.