Тёмный

ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO 

Reality of Christ Church
Подписаться 75 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Kila mwanadamu ndani yake kuna uwezo ambao Mungu ameuweka,na sababu za Mungu kuuweka huo uwezo ndani yako ni kwa sababu kupitia hicho anategemea faida kutoka kwako.Njia hii ukiigundua na kupita ni njia iliyojaa faida nyingi.Wengi tunapitia changamoto sana kwa sababu njia tunazopita sio njia tulizoumbiwa kupita,kazi tunazofanya sio kazi ambazo Mungu ametuumbia kuzifanya.Mungu ameweka vipawa na uwezo mkubwa sana ndani yetu,lakini kwanini havizai matunda?
Kupitia somo hili utajifunza kwa undani kama upo kwenye njia sahihi au la,na kupitia hili somo ufahamu wako pia utaenda kufunguka.UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our RU-vid: ru-vid.com/show-UC67L...

Опубликовано:

 

16 май 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 21   
@belindagiliard8977
@belindagiliard8977 3 года назад
Asante Yesu kwa neno. Dada unayetafsiri zidi kubarikiwa, uko vzr
@sandrakibur2756
@sandrakibur2756 3 года назад
I need YOU LORD JESUS!!
@siamoye4549
@siamoye4549 3 года назад
Nampenda mtafsr jaman MUNGU akubarik dada
@marthamahule3346
@marthamahule3346 Год назад
Amina Mtumishi ujumbe mzito
@evalynedenis
@evalynedenis 3 года назад
ASANTE YESU KWA KUTUMA NENO LAKO ILI TUPONE🙌🙌✍
@mhamdahmd7758
@mhamdahmd7758 2 года назад
Amina
@christinesavai884
@christinesavai884 2 года назад
Amen
@julietmateru5789
@julietmateru5789 2 года назад
Baba hata wewe umebeba majibu ya watu wengi!Mungu akulinde na kukuinua zaidi.
@petermunuo1657
@petermunuo1657 2 года назад
Amen mtumishi
@vicentkilonzo924
@vicentkilonzo924 10 месяцев назад
Amen🙏
@mussaleyan6272
@mussaleyan6272 3 года назад
Mtumishi bwana yesu asifiwe mnaendeleaje mimi Nabii Musa lakini nataka tuonane
@monicahmwalozi
@monicahmwalozi Год назад
Hallelujah 🙌🙌 jina la Bwana lihimidiwe Neno zuri sana
@gracekenzo8823
@gracekenzo8823 Год назад
Amein
@steliakyteisiehello6096
@steliakyteisiehello6096 3 года назад
Amen Amen Amen
@jescaemmanuel100
@jescaemmanuel100 2 года назад
This is me who u a talking about, pastor,,,,may God help me
@angeljoseph4666
@angeljoseph4666 Год назад
Amen
@steliakyteisiehello6096
@steliakyteisiehello6096 3 года назад
Amen Amen Amen
@azizabdallah2614
@azizabdallah2614 3 года назад
nabalikiwa xana ww ndio mchungaj Wang wa kwel
@Alex_Anania
@Alex_Anania 3 года назад
Amen
@ajunanekemia2244
@ajunanekemia2244 3 года назад
Amen
Далее
GOD'S WAYS (NJIA ZA MUNGU) - Pastor Sunbella
1:00:48
Просмотров 18 тыс.
NDOTO KATIKA UHALISIA  -  PASTOR SUNBELLA KYANDO
47:27
Просмотров 22 тыс.
ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:21:12
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
Просмотров 19 тыс.
GIVE ME THAT MOUNTAIN - PASTOR SUNBELLA KYANDO
23:31
Просмотров 13 тыс.
ROHO ZINAZOZUIA ONGEZEKO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:12:39
NGUVU YA AGANO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
15:03
Просмотров 2,8 тыс.