Тёмный

ROMA ARUKA NA NAY WA MITEGO | ASHINDWA KUJIZUIA AFANYA HILI 

VOT MEDIA
Подписаться 31 тыс.
Просмотров 11 тыс.
50% 1

ROMA AIBUKA NA NAY WA MITEGO | ASHINDWA KUJIZUIA ''NI SHUJAA WETU''
#trending #viralvideo #new #music #news #entertainment

Опубликовано:

 

24 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 50   
@Meiruzibwe
@Meiruzibwe 4 часа назад
Hallelujah kwa Nay na Roma kwa aidia nzuri.
@SakinaValy
@SakinaValy Час назад
Nampenda sana ney kuliko wasanii wote,,, wanaimbia mapenzi tu
@AbdillahiHamisi-f2q
@AbdillahiHamisi-f2q 43 минуты назад
Namkubar ney mungu mungu amsimamie katika kazi zake
@paschalkija-gg6lr
@paschalkija-gg6lr 3 часа назад
Nay mungu awe naweeeee mimi pascol hapa waga nakuerewa saaaaana zaidi ya sanaaaaa👏🤝🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@petermhonzwa7091
@petermhonzwa7091 4 часа назад
Kaka big up nakukubali ww ni msanii pekee mwenye weledi wa kazi ya usanii ulobaki tz kwa Sasa hakuna mwingine
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 4 часа назад
Ukweli hata nikichangia pesa yangu hainiumi maana Tanzania nimsani pekee wabongo anaongea uhalisia wengine kuimba mapenzi nauchawa ndo zaoo
@saidbakari2408
@saidbakari2408 4 часа назад
Msanii ni Nay tu wengine waimba mipasho tu
@ALIMASIEMMANUEL-mg8ev
@ALIMASIEMMANUEL-mg8ev 3 часа назад
Tuko pamoja ndugu, huyu ndo raisi wetu, samia ni raisi wa ma chawa na mashoga sio wa TZ
@racingSostenes-m4v
@racingSostenes-m4v 2 часа назад
Pamoja sana kaka watanzania tunakuombea mungu akulinde hakika wewe ni mtu na nusu
@NassorKhamis-l6r
@NassorKhamis-l6r 4 часа назад
Respect bro Nay namkubali sana
@awadhishabani6975
@awadhishabani6975 5 часов назад
Naomba namba ya simu tuko pamoja
@sportsnewjs4330
@sportsnewjs4330 5 часов назад
Tuko pamoja sana
@johnurio1900
@johnurio1900 4 часа назад
Nitamchangia ney mungu amlinde
@mgawetv434
@mgawetv434 Час назад
Naombeni namba za ney tumfute jasho kwa kuitetea watazania
@EwardKayange
@EwardKayange 9 часов назад
unyama kaka😂 😂😂
@SideMakame
@SideMakame 16 минут назад
Hongera sana nay nakukubal broo
@abdullahmuhammadKambona
@abdullahmuhammadKambona 5 часов назад
Roma tupo PAMOJA
@ReganiBaraka
@ReganiBaraka 4 часа назад
Yanga anacheza saa ngap👋🏿
@DorislionelMakundi
@DorislionelMakundi 2 часа назад
Nitangaa Aise nilikuwa na Tungengezeee Mansion House Village chake.hata kijiji Au Town
@MateoSamohenda
@MateoSamohenda 3 часа назад
Hio imekaa vizuri
@RaimeckMeshack
@RaimeckMeshack Час назад
🎉 ❤
@kaliuwasoldiermusic2023
@kaliuwasoldiermusic2023 2 часа назад
Kazi nzuli Sana ney
@AntoniGadau
@AntoniGadau 4 часа назад
Tupo tayali natupo.pamoja
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 2 часа назад
Lets go
@isayamwashibanda5819
@isayamwashibanda5819 4 часа назад
Pamoja sanaa
@LoiteyoAmakoMako
@LoiteyoAmakoMako 12 минут назад
Nay ni musema ukweli wa watu Kwa ujumla mungu aendelee kumpa ulinzi Kwa wakati hii mgumu wa ccm
@RizwanAbdallah
@RizwanAbdallah 4 часа назад
Pamoja sana mwamba
@giftamulike8650
@giftamulike8650 12 минут назад
Me wasanii wangu ni wawili tu Roma na nay basii
@AmeryHassan-r5x
@AmeryHassan-r5x 4 часа назад
Naomba namba please
@AbuwJuhaymah
@AbuwJuhaymah 14 минут назад
Tangu aanze kutusemea kuna TUJA gani iliyotokea...?
@RegnardiCharesi
@RegnardiCharesi Час назад
Niko pamoja nanyie toa namba tumsapoti mtetezi we2
@Pascaltz
@Pascaltz 5 часов назад
Kwan hii vot niya tabora
@ElizabethSulle-ie8nk
@ElizabethSulle-ie8nk 15 минут назад
Hapn ya mwanza
@eliasaNgahehwa-l2f
@eliasaNgahehwa-l2f 4 часа назад
Michakato
@JoshuaSamwel-t8o
@JoshuaSamwel-t8o 4 часа назад
Nay tunamchangia na pia ni rais wetu wa kitaa mwana harakati na Wala sio chawa wa wadhalimu
@awadhishabani6975
@awadhishabani6975 5 часов назад
Mimi niko Saudi africa
@YusuphuAyubu-n7u
@YusuphuAyubu-n7u 3 часа назад
Yupo wapi Young d bongo bahati mbaya😂😂😂😂😂
@shaphiasabani5760
@shaphiasabani5760 3 часа назад
Kafa je na ww unaitaji kufa?
@SaimonEmmanuel-h9t
@SaimonEmmanuel-h9t 3 часа назад
Tumpe ulinzi nay jmn 😮😮😮
@kirungekirunge5920
@kirungekirunge5920 25 минут назад
mingine ni michawa na mishobo shobo ovyooooo
@SawaelyNassary
@SawaelyNassary 2 часа назад
Jeshi ny ney binafs nitatowa m 1
@neemanziku5403
@neemanziku5403 3 часа назад
Tupo tayar
@EliasNdaisaba
@EliasNdaisaba 3 часа назад
Tuwe tayar kumchangia huyu mwamba!
@niz21idi59
@niz21idi59 2 часа назад
Kurayangu yak ya ubunge
@lutakiiza4671
@lutakiiza4671 24 минуты назад
tipe utaratibu
@Fatima-v9k6f
@Fatima-v9k6f 4 часа назад
Tuko pamoj😂
Далее
Признавайтесь, кто его смыл?
00:54
MZEE WASIRA AKIZUNGUMZIA MAANDAMANO YA CHADEMA
26:33
SIRI YA HUBA  { 21 }
14:34
Просмотров 14 тыс.