Тёмный

ROMA - Punguza Ushauri Feat Nay wa Mitego & AY 

VIVAROMA
Подписаться 618 тыс.
Просмотров 112 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 203   
@BarthelemieMartin
@BarthelemieMartin 4 месяца назад
Kaka ROMA acha Sisi wa 🇨🇩tukupe maua Yako kipindi upo mzima I Love you Mr MUNGU akuzidishie kipaji
@enockmwilongo5771
@enockmwilongo5771 4 месяца назад
Mkatoliki amekuja na big event yaan ngoma zote kali sana love kwa ROMA ❤❤❤❤
@fadhilmaxom4760
@fadhilmaxom4760 4 месяца назад
Mzee kwahii album umetisha kinyama ngoma ziko bomba ileile
@Manjalino
@Manjalino 4 месяца назад
Wooooooow hit hili like nyingi jamanii team roma
@shabanimakwaru2875
@shabanimakwaru2875 4 месяца назад
Nimeipenda hii Album Roma ameflow kila ngoma tofauti pia amemix radha
@worldrapamako3960
@worldrapamako3960 4 месяца назад
😂😂❤Demu wangu ashazoea hip-hop sababu Kila akija geto playlist yangu ningoma za Roma round Moja naanza na mathematic, viva Roma, 2030 alafu nakojoa kwa Zimbabwe dk kama 20 Sasa naongeza albam my jmoc tare 8/6/2024 njoo ujipakulie pumbu na albam kama kifungashio😂😂😂
@amouramour160
@amouramour160 4 месяца назад
New hit in the town tunaomb na video na juwa itauwa sana
@osiahstimah
@osiahstimah 4 месяца назад
Namnyang'anya maua roma nampa #AY katishaaaaaah
@abdallahsilvesta3672
@abdallahsilvesta3672 4 месяца назад
Kula Raha baba maisha yenyewe mafupi😊😊😊
@kababayethegold6168
@kababayethegold6168 4 месяца назад
Waache shobo kabsa hii combination iko HIGH duuuuh kaka umetisha kumuweka AY mkongwe wa kale
@WilliamHabamungu-mb3rw
@WilliamHabamungu-mb3rw 4 месяца назад
kamata mauwa yako popote ulipo.... 🇨🇩we loved you brother
@alterboyafrica
@alterboyafrica 4 месяца назад
Anaitwa Mr ney💪
@WiliamuNjimbwi-yr4xu
@WiliamuNjimbwi-yr4xu 4 месяца назад
😂😂 Masha mafupi kama kimo cha joti like zangu 🎉🎉
@NYENJENDEU
@NYENJENDEU 4 месяца назад
Mtu tat ndan ya ngom mojaa😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉 mmetishaa
@nelsonrukiza4031
@nelsonrukiza4031 4 месяца назад
Bonge moja la goma aseee..!! Unyamwez sana linapigwa hata msibani hili
@AlexJumanne-ls5gm
@AlexJumanne-ls5gm 4 месяца назад
Hi albam ndo funga mwaka ngoma zote ni hiti dah ❤❤❤
@ramadhanihassani5542
@ramadhanihassani5542 4 месяца назад
AY anazarau sana eti maisha mafupi kama ufupi wa joti😂😂
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 месяца назад
Vyuma viwili vimekutana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Hamisi-cc5mj
@Hamisi-cc5mj 4 месяца назад
Ushauri wa via moja matofari mawili sitaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!! Ki🌹🌹🌹🇹🇿🌠
@faizsalim6327
@faizsalim6327 4 месяца назад
Damn it this is what i was waiting big up Roma for making this remix cause Nay ako sawa na vile mambo ya Kipasha watu haswa viongozi na kisha Big up kwa Legend AY kukubali kua ndani ya hiii remix 🎉🎉🎉@ Switzerland 🇨🇭 Og Kenya 🇰🇪 ❤
@khalidmamba3944
@khalidmamba3944 4 месяца назад
Hujawai niangusha Roma mkatolika ❤❤❤
@andrewnjwaba4576
@andrewnjwaba4576 4 месяца назад
Ila kweli Bati za nini kama sio kutafuta tetenasi 😂😂🔥🔥🔥🔥
@DesireMakandammunga
@DesireMakandammunga 4 месяца назад
Naipenda iyo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉napenda naipenda kweli ili ni dude upande wapili muko nakazisana 😂😂😂😂😂nabadoooooooh!!!
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 4 месяца назад
Kama unaamini hili Goma la wahuni wapambanaji UNYAAMA 👊
@jovic1713
@jovic1713 4 месяца назад
Mitego ya Wakatoriki Leo siyo harakati na siasa,safi sana unajua unaweza zani siyo siasa kumbe mdani yake ni arakati tupu,unajua nani anaambiwa apunguze ushauri na CAG balaa tupu sikiliza mara nying said utaelewa nn nasema
@yassinchuwa8824
@yassinchuwa8824 4 месяца назад
Ushauri wa bia moja ni tofali mbili sitaki 😂😂😂😂,,, viva Roma 🎉🎉🎉🎉🎉
@carppondohchadih4420
@carppondohchadih4420 4 месяца назад
😂😂😂 ngomaa yenyewe ushaurii ilaa ushaurii m'bayaa nipeni likes zangu I'm from 254
@PerfectJbo03
@PerfectJbo03 4 месяца назад
Kwa RAHA ZANGU nasikiliza Ngoma na sihitaji kupangiwa hata kidogo maana Bundle nimenunua kwa Pesa zangu maana MASTER alichokifanya humu ni Balaaa, Huyo NEY ndio huuuuuwiiiiiii Sasa tukija kwa mtu wa Strangle zake Sasa ROMA Huuuuuuuuuuui mama weeeee
@AmaniMenedja
@AmaniMenedja 4 месяца назад
Hafu nafikiri wange liimba ki harakati...(Sasa) Miamba mbili hizi , inge likuwa jeh na moto inge zimwa jeh jamani.
@hashkhantantrasiraji118
@hashkhantantrasiraji118 4 месяца назад
Oyaaa wanangu akili za kuambiwa changanya na zako hii ngoma ni kali 😂 kwa raha zangu 👍
@SerekaMwita-c5j
@SerekaMwita-c5j 4 месяца назад
Wa kwanza mm kama umpenda roma weka like twende mbele
@tonykipobota4265
@tonykipobota4265 4 месяца назад
Hili pumbu limeenda.. tuanze na kichupa cha hili 🔥
@atenionesmo_A10
@atenionesmo_A10 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂lisiwe na busha likizid
@ebenezersumari5408
@ebenezersumari5408 4 месяца назад
Hii album Kila ngoma niyamoto🔥🔥🔥
@binthani856
@binthani856 4 месяца назад
Goma kaliiiii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 hatarrrr
@NdengaLaswai
@NdengaLaswai 4 месяца назад
Balaaaaaa zanguuu ngoma laguuuu ushauri staki kabsaaaa😅😅
@SkelacSir-sg5xd
@SkelacSir-sg5xd 4 месяца назад
Walahi kwel noma MAMAEEEE madaraka ya sasa
@SkelacSir-sg5xd
@SkelacSir-sg5xd 4 месяца назад
Dgg
@georgebidance1399
@georgebidance1399 4 месяца назад
Iyi combination ni 🔥. AY voice always different hit among others.
@Charliecoach9
@Charliecoach9 4 месяца назад
🎉roma mkali bana❤
@victoramin-o6q
@victoramin-o6q 4 месяца назад
mkali wa rap bongo viva roma viva
@JohnSammy-i4h
@JohnSammy-i4h Месяц назад
Ngoma imesimama kaka
@MaisaMnyamongo
@MaisaMnyamongo Месяц назад
Iko poa sana miamba watatu
@NovatiusNovatius
@NovatiusNovatius 4 месяца назад
Nzurii chukua. Maua yako🎉🎉Nzurii chukua. Maua yako🎉🎉
@abduladinane
@abduladinane 4 месяца назад
Like nikiwa Mozambique 🇲🇿🇲🇿
@directorshasibu
@directorshasibu 4 месяца назад
Roma Mkatoliki 🎉
@peterkessy4020
@peterkessy4020 4 месяца назад
Kama unamkubali huyu mwamba ngonga like
@MarcoShija-jl1ox
@MarcoShija-jl1ox 4 месяца назад
T
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 4 месяца назад
True Tz guys, Good Job❤
@mudykhasssan103
@mudykhasssan103 4 месяца назад
Hii ngoma ni 🙌🙌🙌
@Blacksignal996
@Blacksignal996 4 месяца назад
Chukua maua yako mwana 🌸
@valle_009
@valle_009 4 месяца назад
Viva rooma🎉🎉❤
@jumasenga1536
@jumasenga1536 4 месяца назад
Kaka rudi ukiwashe ndani ya nchi, goma liko hatari sana
@geophreyvictor8676
@geophreyvictor8676 4 месяца назад
Awez kurud uyu😂😂😂
@timotheomgaya7247
@timotheomgaya7247 4 месяца назад
nakubali kaka viva
@AbdulMiraji-xs5mh
@AbdulMiraji-xs5mh 4 месяца назад
Hii ngoma 🔥🔥🔥🔥🔥
@johnsonchonja4032
@johnsonchonja4032 4 месяца назад
Viva romaaaaaaaa🔥🏅
@amsaraideramaider8144
@amsaraideramaider8144 4 месяца назад
tulio irudia hii ngoma tujuane
@NellyLwitiko
@NellyLwitiko 4 месяца назад
Duuuh dudeee kali
@KwizeraDiomede
@KwizeraDiomede 4 месяца назад
Mbona awawautu ni nay na roma walikutania kigoma mikono juu wajue kama tunawasapoti nigonge like kama umeyitazama malambili ao mala tatu
@tumaininyambita5002
@tumaininyambita5002 4 месяца назад
Nimecheka kwa sauti eti ninunue mabati yanikate
@besteva499
@besteva499 4 месяца назад
Korabo yakitaufa❤❤🔥🔥🔥
@diddahtv2512
@diddahtv2512 4 месяца назад
Kenya fan base , punguza ushauri, ney
@doubletlacs1300
@doubletlacs1300 4 месяца назад
Nko kenya nipeni like
@BabadorcasJackson-bi1sj
@BabadorcasJackson-bi1sj 4 месяца назад
🔥🔥🔥
@MulimiraRonald-bm3sj
@MulimiraRonald-bm3sj 4 месяца назад
Ngoma henatish kinoma yani mwaba anabaki hakiwa mwaba.kampala wanafagia kinoma.
@richardkwayson7202
@richardkwayson7202 4 месяца назад
Video yake ngoma Kali hii
@sipjaybgname
@sipjaybgname 3 месяца назад
Mnaickiaje hio mkito wazee wkukeshaaaaaaa??
@JesusMarieNshimirimana
@JesusMarieNshimirimana 4 месяца назад
Kaka cukuwa 💐💐Yako kutoka🇧🇮
@derrickigirubuntu
@derrickigirubuntu 4 месяца назад
Fire🔥🔥🔥🔥🔥
@Rushatsiog
@Rushatsiog 4 месяца назад
Ninunuwe mabati je yakinikata😂😂😂
@kichecheBurund
@kichecheBurund 4 месяца назад
Tizama jinsi roma alivyo sema ata rudi Tanzanie 🇹🇿👇👇👇www.youtube.com/@kichecheBurund
@AlexIreme
@AlexIreme 4 месяца назад
😂😅 nipeni Maua yangu
@SylivestaKasele
@SylivestaKasele 4 месяца назад
Romaaaaa nakukubali sanaaa
@oficialychibalover2214
@oficialychibalover2214 4 месяца назад
Kwa raha Zangu on trend no 1
@BarakaGona-o3s
@BarakaGona-o3s 4 месяца назад
Wana harakati❤
@ezrafrancis9519
@ezrafrancis9519 4 месяца назад
Et ninunue mabati yakinikataaaaaaa😂😂😂😂😂
@kaseemhassan3672
@kaseemhassan3672 4 месяца назад
Ebhanee bonge collaboration
@motiverachanger
@motiverachanger 4 месяца назад
AY Masta 🔥🔥🔥
@jacksonjackson3884
@jacksonjackson3884 4 месяца назад
Ngoma kalii🎉
@christopherhaule908
@christopherhaule908 4 месяца назад
Sifagiliiiiiii.....za kigasho...we kajenge......yakinikata 😅😅😅
@suleydamour4059
@suleydamour4059 4 месяца назад
😂😂😂😂😂 we roma taratibu bwana😅
@hollanddutch-day
@hollanddutch-day 4 месяца назад
Kali na Nusu
@DayanatzDayanatzgambe
@DayanatzDayanatzgambe 4 месяца назад
Umetishaaaa
@samirmswahili
@samirmswahili 4 месяца назад
Masta🚀🙌🏿
@KelvinFrank-ru7yr
@KelvinFrank-ru7yr 4 месяца назад
#AY bhana the way unabadilika badilika like kinyonga
@simonshengena-nt9ws
@simonshengena-nt9ws 4 месяца назад
😂😂😂😂😂 bia moja Sawa na tofali mbili
@Mrmagaridubai
@Mrmagaridubai 4 месяца назад
Video inaitajika sana mzee wa Google
@seifmassimba6411
@seifmassimba6411 4 месяца назад
Moto wa mjini hii ngoma
@enoslusekelo5108
@enoslusekelo5108 4 месяца назад
Bonge la goma 🎉
@AbdulyMajaliwa-v4r
@AbdulyMajaliwa-v4r 4 месяца назад
Viva romaaaaaaa viva romaaa
@Adaboychipilr
@Adaboychipilr 4 месяца назад
We nawakubali sana
@FabianAlex-y8c
@FabianAlex-y8c 4 месяца назад
Nawakubalisan❤
@KaskeboyKaskeboy
@KaskeboyKaskeboy 4 месяца назад
Utawala roma
@MussaDhahabu-l5b
@MussaDhahabu-l5b 4 месяца назад
wamekutan bab duuuu😂😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@RichardJavara
@RichardJavara 4 месяца назад
Bonge ya ngoma hiki hatr sana
@ohnsbees3908
@ohnsbees3908 4 месяца назад
AY ni mtu na nusu style yake ni much differ 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@athumaninyituki7011
@athumaninyituki7011 4 месяца назад
Ngoma kali sanaa
@NoelHabie
@NoelHabie 4 месяца назад
nlichelewa kuunga bando anawei nimepita kuna free wifi
@kimathitv
@kimathitv 4 месяца назад
Aaah Jamani!
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki 4 месяца назад
Hii ni moto aisee
@emmanuelassey8904
@emmanuelassey8904 4 месяца назад
Chuma Kali sana
@MichaelPascal-r9f
@MichaelPascal-r9f 4 месяца назад
Sitaki ushauri n nunue mabati yakinikata nipate tetenasi
@gadkims
@gadkims 4 месяца назад
kula jasho sawa ila kuhonga uwongo 🤪