Тёмный

Rose Muhando ft Oliva Wema - Lazima Wakae{Official Music} 

KitimTim Promotion.
Подписаться 87 тыс.
Просмотров 244 тыс.
50% 1

Rose Muhando ft Oliva Wema - Lazima Wakae

Опубликовано:

 

11 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 136   
@carolinemwanzia7956
@carolinemwanzia7956 3 года назад
Rose hakuna wimbo wako utapotea tena mikononi mwa adui, lazima mavuno yako yawe yako, NA hayatapotea kwa jina la mwokozi wetu Yesu kristo.
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 года назад
Ameni ameni huyu Ni Simba wa like
@mwambamubarikiwenamunguwet8302
Usiwatazame watu wataokufa kesho utazame yesu atakaye ishi milele
@ElizabethKitsao-dm9mb
@ElizabethKitsao-dm9mb 6 месяцев назад
Wimbo wenye mafundisho mbarikiwe Kwa vipaji vyenu
@CeciliaWambua-j3x
@CeciliaWambua-j3x 17 дней назад
Ata Mimi nasema lazima wakae,queen and princes nawapeda sana,mungu awainue zaidi
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 5 лет назад
Lazima wakae, lazima wakae, watakaa tu. Hakika watakaa Amina amina mbarikiwe sana Mungu azidi kuwainua ktk kazi hii kubwa ya kulitangaza jina lake kwa njia ya uimbaji.
@VincentMomanyi-jt7je
@VincentMomanyi-jt7je 4 месяца назад
Lazima wakwe adui zetu wote.highly appreciated and am blessed
@dianamasai1786
@dianamasai1786 10 месяцев назад
Wenye viherehere kama mumbwa wa police 😂😂😂😂😂
@bahaticongobahatimasauti6834
@bahaticongobahatimasauti6834 2 года назад
👏👏🤸🤸 you napendasana iwimbo
@seifsharrif4461
@seifsharrif4461 4 года назад
Penda sana nyiee mwaaaa Lazima wakae watakaa tuu huwa nafarijika na nyimbo za huyu dada jamani yani cuteee
@godfreynyansira8227
@godfreynyansira8227 5 лет назад
Amina, ,,nilikumis sana, ,karibu sana da rose mhando, ,,usiwatazame watu wanaokufa kesho
@bahaticongobahatimasauti6834
@bahaticongobahatimasauti6834 2 года назад
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 good biles Kenya pipo👏🙏🙏💯mungu akubariki
@consolatemunyao5566
@consolatemunyao5566 4 года назад
Av watched Rose Muhando live performance of this song and it was my first time to hear it,"lazima wakae"Good job Oliver and Rose
@maryndunge8348
@maryndunge8348 5 лет назад
Yametosha Rose .... watake wasitake lazima wakaeee.... yesu akikuinua lazima washidwe. ... ni kwalazima hakuna kuwabebeleza... by fire 🔥 by foce.... shetani hana mamlaka juu ya maisha Yako....qr Rozy. Nice 👍🏼 song👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻.
@sayonaaroberty3920
@sayonaaroberty3920 4 года назад
Kaza buti mam razima wakae kwajinarayesu nakuombea uzidi kuwakarisha wanbew
@styneaugustine142
@styneaugustine142 5 лет назад
uko juu mum kama mawingu, haki hii nyimbo imehit kuliko zote be blessed. by samuel karisa,bamba county ya kilifi. najivunia kuwa mkenya
@phinamunishi8881
@phinamunishi8881 5 лет назад
Dada Rose wimbo mzuri Mungu akusaidie usimame upya kwa nguvu mpya ya Yesu
@isayazakayo653
@isayazakayo653 5 лет назад
Wimbo mzuri ubarikiwe sana
@bettynyongesa6702
@bettynyongesa6702 3 года назад
Majaribu ni upanga wa kuchonga Imani kweli ni lazima wakae
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 2 года назад
Jamaniiiii bwanayesu nikalishie Hawa mbwa wa ofcn kwetu maana watanilarua jmn😪😪😪😪😪😪😪😪
@nancymokeira3183
@nancymokeira3183 4 года назад
lazima wakae wenye vihelehele wa hii duniaaa eeeeeeeeeeeeehhhhhhhhhhhhhhh
@mwambamubarikiwenamunguwet8302
Wanawaza kushindwa kwako wanaona ushindi wako
@gladyskatiku3831
@gladyskatiku3831 2 года назад
I like it touched my heart
@bitekileo8030
@bitekileo8030 5 лет назад
Kweli watakaa hahahaha mtizame bwana ako anaishi melele
@angelesangel7088
@angelesangel7088 Год назад
Lazima wakae in Jesus name Amen
@ApostleRoselyne.come2293
@ApostleRoselyne.come2293 4 года назад
Lazima wakaae eeeeh na Wenye mapengo wataota me no, hallelujah.
@watsonmbesigwe7070
@watsonmbesigwe7070 7 лет назад
Tishaa sana, lazma wakae. na watisoma namba kwa lugha ya kwao kama kiingereza, kichina, kiswahili watajua wenyew
@lizbeckymaurice6935
@lizbeckymaurice6935 6 лет назад
Biiiiiig up bravo lazima wakae wenye vierehere 4 sure u are the queen of gospel
@aarpp4907
@aarpp4907 2 года назад
Lazima wakae kwa uwezo wa Mungu
@danielkaria6625
@danielkaria6625 6 лет назад
Lazima wakae chini kwa Jina la Yesu
@danielkaria6625
@danielkaria6625 6 лет назад
Wimbo mzuri huu unaobariki kwelikweli , video nzima sasa ishuke kwa mpigo
@agnesaggy9191
@agnesaggy9191 7 лет назад
Really nice song!rose God bless aki lazima wakae madui zangu ndio waone mema na kuinuliwa kwangu!
@elizabethmuthoka3082
@elizabethmuthoka3082 3 года назад
Na wenye mapengo wataota meno I like it lazima wakae
@rosinamandebarasa775
@rosinamandebarasa775 7 лет назад
Waaaah Hii ni kali Sana Madui zetu Hamna Bahati Lazima mkaee hahaha naupenda Wimbo huu God bless you
@ezekielbarasaofficial8162
@ezekielbarasaofficial8162 3 года назад
Wenye viherehere kama mbwa wa polisi ....mkaeeeeeeh🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@maryndunge8348
@maryndunge8348 5 лет назад
By fire by force ..... watakaaa kabisaaaaa.
@mwambamubarikiwenamunguwet8302
Wana tamaza kuanguka kwako wataona kuinuliwa kwako
@mwambamubarikiwenamunguwet8302
Watakaa kabisa
@joahuasalimnangawe4602
@joahuasalimnangawe4602 5 лет назад
Hapo sasa lazi wasalut wachawi okokeni vita vikali kila pande mtachapwa
@emusiemusi2858
@emusiemusi2858 4 года назад
Let people agree with their situations, and bless God for the far they are, so far. #Lazimawakae
@Zeddywehu
@Zeddywehu 6 лет назад
😂😂😂😂😂😂lazima wakae ,watakaa tu, Aki hii Kali taptaptap congratulations wadada mungu azidi kuwatumia zaidi nanyi mzidi kumtumikia mungu zaidi katika jina la yesu
@OmanOman-cr2xz
@OmanOman-cr2xz 5 лет назад
Hahahahah nilazima wakae tu mungu awabariki sana
@daizzykolman9371
@daizzykolman9371 7 лет назад
Lazima wakae watake wasitake lazima wakae mungu atawakalisha
@franceskaunga7005
@franceskaunga7005 6 лет назад
I hope thi song will be dance that we have never seen good combination
@joshuawaithaka1281
@joshuawaithaka1281 5 лет назад
Wenye humtusi Oliver ati ameiba nyota ya Rose waje sasa tuwaone Umbea na wivu utatumaliza jamani
@jamesunyangi8482
@jamesunyangi8482 5 лет назад
Hahahahahahaaha J nakupendaga sanaa
@nemaalmarri4521
@nemaalmarri4521 6 месяцев назад
Kabisa❤❤❤❤
@christinennyagiro1114
@christinennyagiro1114 6 лет назад
Rose wewe mpenzi wangu unanipa furaha ya Roho katika Yesu
@irenemuyeyela6160
@irenemuyeyela6160 7 лет назад
Lazima wakae waone nikibarikiwa.Na viherehere vyao lazima wakae. Na watakaa sana
@ceciliamwikali22
@ceciliamwikali22 4 года назад
lazima wakae watusikilize ata wakisema nini shauri yao
@mwambamubarikiwenamunguwet8302
La zima wakae watakaatu,
@gloriajaenette9226
@gloriajaenette9226 6 лет назад
injili isonge mbelee mubarikiwe
@misschero7463
@misschero7463 6 лет назад
Lazima wakaeee kwa jina la yesu.can I be your dancer plz
@kipkoechson5188
@kipkoechson5188 4 года назад
Kuja
@consolatemunyao5566
@consolatemunyao5566 4 года назад
Ukipata io chance call me am a dancer too
@emmysulley6419
@emmysulley6419 6 лет назад
Nimeupenda wimbo wako rose ubarikiwe
@wensesrotich3897
@wensesrotich3897 6 лет назад
lazima wakaee.,, the best song .cnt wait for the video.can i be your dancer plz
@mwambamubarikiwenamunguwet8302
Wanawaza mabaya kwako wanayaona mema yako
@evalineoyenyboth8878
@evalineoyenyboth8878 2 года назад
Am so blessed with this song , amazing wonderful ladies of God , please more grace
@mlyanmwaba1576
@mlyanmwaba1576 6 лет назад
pleti namba wataisoma kwa lugha wanyoijua wenyewe
@janetnafula6963
@janetnafula6963 2 года назад
Yeswabyama
@witinessnombo4717
@witinessnombo4717 5 лет назад
Tena lazima wakae
@winfred2546
@winfred2546 6 лет назад
Best Gospel singer I love most
@xkingx8041
@xkingx8041 7 лет назад
wakaeeee hehe, Amina
@dominickbugerula352
@dominickbugerula352 5 лет назад
Songa mbele
@juliusjonyo6042
@juliusjonyo6042 6 лет назад
Hahaha, Lazima wakae,,,,,, watakaa wapende wasipende
@juliusmario4431
@juliusmario4431 6 лет назад
lazima wakaeeee
@reginaaminga5944
@reginaaminga5944 10 месяцев назад
Lazima wakae
@dinnershy3077
@dinnershy3077 6 лет назад
kwa ukweli ni hatari wimbo kama na huu siamini macho yangu naipenda sana. lazima zawadi yako iongezeke nyimbo kama na huu liendelee. Oliva Wema chapa kazi wangu malipo yuaja njiani.
@cestjolie5574
@cestjolie5574 7 лет назад
The best Tanzanian Gospel singers twawaon wenzenu. Yan twawapongezn kwa nguvu mnazo kw akumuimbia Mungu.
@samuelchibikajuma6669
@samuelchibikajuma6669 6 лет назад
inabamba sana nakunbuka ukiwa kaptembwa ndo nilikujua
@rejydemavocco7093
@rejydemavocco7093 6 лет назад
mungu akubariki mama yetu
@franknsato6373
@franknsato6373 7 лет назад
Hiyo kweli lazima wakae- big-up Rose
@christinennyagiro1114
@christinennyagiro1114 6 лет назад
Lazima wakae watake wasitake watakaa
@morrismuema3797
@morrismuema3797 6 лет назад
Lazma watakaa tu......
@mckish6294
@mckish6294 5 лет назад
Kudos good work ever blessing me 🥰🥰
@mercynamusia4506
@mercynamusia4506 7 лет назад
Maadui nilazima wakae
@faithmumbua8490
@faithmumbua8490 6 лет назад
Lazma wakae wapende wasipende,,,
@carolshiru4110
@carolshiru4110 7 лет назад
kabsaaa
@mosesbariki7116
@mosesbariki7116 7 лет назад
Ni kweli nisiwatazame wanaokufa kesho nimtazame Mungu pekee
@myshylysh3554
@myshylysh3554 7 лет назад
vida ndo twangoja ndo wakae Cha lazma!
@esthersarai9703
@esthersarai9703 5 лет назад
Lazima wakae sana tuu in juses name.
@jacklynedaisy9954
@jacklynedaisy9954 7 лет назад
lazima wakae wapende wasipende watakaa waone nikibarikwa
@musahtrophy
@musahtrophy 6 лет назад
Amen..... keep it up.
@marionrehemaraphael1849
@marionrehemaraphael1849 7 лет назад
Hahahaaaa....watakaa tu!
@moureenpassaris9051
@moureenpassaris9051 7 лет назад
i like A gospel music
@dorismulonziofficial7275
@dorismulonziofficial7275 6 лет назад
lazima wakae na wenye mapengo wataota meno
@PENDOYOTHAM-ds2mx
@PENDOYOTHAM-ds2mx 11 месяцев назад
Lazima wkae kimya
@jeremiabarani5626
@jeremiabarani5626 6 лет назад
Na midomo watafunga
@mara-cb3gx
@mara-cb3gx 7 лет назад
aisee ubarikiwe
@johntumgusamunguswai7105
@johntumgusamunguswai7105 7 лет назад
lazima wakae
@mwambamubarikiwenamunguwet8302
Yule mtetezi wako yuko
@simonfundi5472
@simonfundi5472 7 лет назад
Haleluyaaaa barikiwa sana
@safielmsuya4673
@safielmsuya4673 7 лет назад
Hahahahaaaaa Lazima wakae wakae lazima wakae wakae watakaa tuuuu Heee wenye vihedemswede kama mbwa wa police lazima wakae wakae lazima wakae watakaa tuuu Watakalishwa tuuu Yesu anaishi
@ncchieforio241
@ncchieforio241 7 лет назад
Elly Tramp Kweli mungu umpa mtu kile anacho mwomba kutoka moyoni ndicho kilicho tokea kwa Olivia wema
@shukranisarah9375
@shukranisarah9375 6 лет назад
I love this music because it's so hot and he said good music I love so much
@johnmarkselebwa4982
@johnmarkselebwa4982 5 лет назад
Soo good! bt hi stori ya uchawi ni ukweli au ni gossiping ya washenee!?
@mercynamusia4506
@mercynamusia4506 7 лет назад
laxima wakae maaduwi Amen
@joahuasalimnangawe4602
@joahuasalimnangawe4602 5 лет назад
Nilazima
@travispenn125
@travispenn125 7 лет назад
tamu sana
@angelazalia3807
@angelazalia3807 6 лет назад
safi sana Rose this is nice song lazima wakae Hat kwenye misumar watajua wenyewe
@mary123shushogodblessugood4
@mary123shushogodblessugood4 7 лет назад
God bless u sister rose
@dianamwende505
@dianamwende505 7 лет назад
in fact Lazima wakaee,
@margretnthenya4861
@margretnthenya4861 6 лет назад
Amina
@_christine0
@_christine0 7 лет назад
nice song
@sikuzanibusanya6423
@sikuzanibusanya6423 5 лет назад
Amina🤲🤲🙏🙏👏👏
@amaninyambulapi3650
@amaninyambulapi3650 6 лет назад
good song
@landcruiserkwamboka3113
@landcruiserkwamboka3113 7 лет назад
wow blessngs
@marryalex8423
@marryalex8423 7 лет назад
lazima wakae tu
@papafikiri
@papafikiri 7 лет назад
dah
@djchristzboy7479
@djchristzboy7479 7 лет назад
nawenye mapengo wataota meno
Далее
Rose Muhando ft Oliva Wema - Nisaidie
7:21
Просмотров 311 тыс.
GREAT idea for Camping #bushcraft #survival #lifehacks
00:24
ROSE MUHANDO BEST SONGS MIX PART 2
51:44
Просмотров 130 тыс.
Bahati Bukuku - Waraka (Official Version Video)
12:54
YESU ANAKUJA - FPCT KAGONGWA
5:30
Просмотров 131
ROSE MUHANDO  -  MAMA MKWE
15:40
Просмотров 929 тыс.
ROSE MUHANDO,sONG: BABELI Official audio
9:45
Просмотров 429 тыс.
rose muhando  niangalieni mimi
6:57
Просмотров 1,9 млн