*Salamu María, umejaa neema; bwana yuname, umebarikibwa kuliko wanawake wote, na Yesu, nzao wa tumbo lako, amebarikibwa. Maria mtakatifu, mama wa mungu, utuombee sis wakosefu, sasa na saa ya kufa kwetu. Amina.*
Mungu awabari ki ninyi wote kwaii sala nzuri yaa subuhi inanimbariji moyo wangu piamimi nimkatoliki nawa shuku ru wo te munao shiriki maombi haya kilasiku kamamimi namungu wetu aliembinguni
Maonbi ya rozari matendo kwa ajiri ufunuo juu ya familia yetu ,pamoja na maonbi zaidi ya mahusiano yangu tusihishie njiani na tuishi katika Imani ya Mungu na tuweze fungal ndoa ndani ya kanisa Amina
Baba yetu uliye mbinguni jina lako lizífiwe ufalme wako uye mapenzi iako yafanyiwe duniani kama mbinguni. Utúpe leo chakúla chétu cha kila ziku utuzamehe makoza ietu kama tunavyowazamehe waliotukosea usituache kushinda na kishawishi lakini utuopoe katina máovu. Amina.
Asante kwa rozario takatifu pia kwa tendo la mwanga Mungu awajalie neema nabaraka katika kazi yenu yautume ilimpate kumtumikia sikuzote zamaisha yenu amina
Kwasala hizi zitalinda kanisa letu napenda sana dini yangu katoliki wamebarikiwa wote walitangazalo neno la mungu ole wenu ninyi mlipotoshalo mmelaaniwa
Asante sana kwa kupost hii rosari takatifu.na hio sauti ya waombaji hapo ni kama sauti ya malaika.barikiweni 🙏🏾🙏🏾 nyote kwa njina la baba🙏🏾 nimefurahi sana. Mungu awalinde
Mae Dalva de Ogum Boa tarde para toda parte do mundo!. Facebook e Caminhos das Rosas alemanha berlin ✿•*¨`•. (¯`v´¯) (¯`v´¯) .•¨`*• Boa tarde Dubai . . . ✿•*¨`•.¸(¯`v´¯)¸.•´¨`*•✿ Boa tarde Berlin ✿•*¨`•. (¯`v´¯) (¯`v´¯) .•¨`*•✿ Boa tarde Brasli . . . ✿•*¨`•.¸(¯`v´¯)¸.•´¨`*•✿ Japan -♥`•.¸.•´♥:¦:. :¦:-♥`•.¸.•´♥:¦: : London -♥`•.¸.•´♥:¦:. :¦:-♥`•.¸.•´♥:¦: : U S A -♥`•.¸.•´♥:¦:. :¦:-♥`•.¸.•´♥:¦: : China -♥`•.¸.•´♥:¦:. :¦:-♥`•.¸.•´♥:¦: : NOR -♥`•.¸.•´♥:¦:. :¦:-♥`•.¸.•´♥:¦: : ENG -♥`•.¸.•´♥:¦:. :¦:-♥`•.¸.•´♥:¦: Bruxelas -♥`•.¸.-♥`•.¸.•´♥:¦:. :¦:-♥`• Nelsi Pdletto oração Terço da Cura e Libertação •.¸.•´♥•´♥: -♥`•.¸.•´♥:¦:. :¦ Deutschland ♥`•.¸.• ♥`•.¸.•´♥:♥`•.¸.• -♥`•.¸.•´♥: Cancer Familia -♥`•.¸.•´♥:¦:. :¦:-♥`•.¸.Good Night weja bem vinda! Amizade virtual: ꔚ ꔘ ꔛꔘ。... Mehr anzeigen Caminhos das Rosas alemanha berlin ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-upsZkBNf0s0.html