Тёмный

S2KIZZY AFICHUA NYIMBO 20 ALIZOFANYA NA RIHANNA, TYLA WA SOUTH AFRICA / NAMTUMIA DM MPAKA JAY Z 

EastAfricaRadio
Подписаться 516 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@RamaNgari-b1d
@RamaNgari-b1d 4 месяца назад
S2kizzy ndio producer Bora east Africa ila wabongo wanajizima data🤣🤣
@ydbranch542
@ydbranch542 5 месяцев назад
Umeongea vizuri san kuwamusha maproducer wengi namna ya kutengenez hit song kwa ushauri wako wengi watafanikiwa big up san
@RamadhanAdam-cq7dl
@RamadhanAdam-cq7dl 5 месяцев назад
Zomb siyo muongeaji sana ni producer ambayo anajitambua sana in short ni number one east Africa
@Soundprobeats
@Soundprobeats 5 месяцев назад
Sio muongeji ??,akati ndo mtu wakujisifia kuliko ata wasanii ,watu wenye uwezo hawanaga mda wakujisifia Huwa wanasifia huyu anapiga makelele tuu hukumtandaoni
@Summerbtz
@Summerbtz 4 месяца назад
Oya we Zombie nakukubari sana mwamba one day wanna do something with you
@issaomary7718
@issaomary7718 5 месяцев назад
Dizain Kama dogo anavimba ivi ....sharaut Kwa niga louis NORTHBLOCK RECORD #ATOWN...
@KigoBilionea
@KigoBilionea 4 месяца назад
Me nakubali zake uyo mtu mbadi
@bakaromar8135
@bakaromar8135 5 месяцев назад
Mchizi anaongea fact japo inaumiza
@Official-bataboy
@Official-bataboy 5 месяцев назад
Sema huyu rich maswali yke mda mwingine ajitazame anapenda kuwafanya watu waongee vitu nje ya uwezo wao sema anastukiwaga hivi
@floodboytz7038
@floodboytz7038 5 месяцев назад
Nataka kufanya Kaz na S2KIZY sikiliza nyimbo zangu nipe ushaur 🙏
@star_onmusic
@star_onmusic 4 месяца назад
Oya huo mtangazaji wenu mwenye aliyepo KWENYE mitambo Hana Quality inayo takiwa by the way Ana jua kuonewa Ila siyo kwenye ule mpangilio unao takiwa pia ra fuzi Ina kuwaza shida kwake kumfanya awe na ule weledi wa kufanya kipindi kibambee so ifike time huyo jamaa aliye pembeni akae kwenye kiti aweke mawe Siyo kwambia simpendi Ila huo Ni ukweli unao endana na UENDESHAJI wa Media huwa inatakiwa WATU makini Kama vile ukimcheki Tgway lile Ni jembe na siyo kitoto ama Yule jamaa wa vipindi vya shule alianza Kama haeleweki lakini sasa ana eleweka so mwambieni aache kujiskiliza Sana yeye askilize na watu mabadiliko ni watu ili we yeye pale anapo tarajia
@MajaliwaChamberi
@MajaliwaChamberi 4 месяца назад
S2kizzy musimuonee girl maana niproduce mkali kwatanzania sokwamba anavimba niukweli sema watanzania wanawivu namaendeleo yamut😅
@MajaliwaChamberi
@MajaliwaChamberi 4 месяца назад
s2kizzy namkubali kinoma niproduce mkali kwahapa Tanzania yaani hata somuongeaji anafanya kwavitendo tunaona
@tuntufyehenry1331
@tuntufyehenry1331 5 месяцев назад
Huyu jamaa shida Muongo Muongo sana hiyo ndio shida yake 😂😂😂
@aliabdallahali6995
@aliabdallahali6995 5 месяцев назад
Ili awe mkweli awe vipi?
@tuntufyehenry1331
@tuntufyehenry1331 5 месяцев назад
@@aliabdallahali6995 kizur siku zote hakikitangazi ila kazi ndio zinaongea. Hakuna hata siku moja Majani au master jay alisema yeye ni mkali kuliko wengine ila mbona mpaka leo wanaheshimika..!.!.😒
@Soundprobeats
@Soundprobeats 5 месяцев назад
​@@aliabdallahali6995awe kama wewe kichaa mwenzake
@Soundprobeats
@Soundprobeats 5 месяцев назад
​@@aliabdallahali6995awe kama wewe kichaa mwenzake
@Official-bataboy
@Official-bataboy 5 месяцев назад
Wewe shida yako sio muelewa sababu huamini vya kwako we amini katika uongo
@AminaOmary-br8us
@AminaOmary-br8us 4 месяца назад
Bongo kila kitu feki ndo utatoboa na ma sample ya kununua
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 4 месяца назад
JAY Z UNA MD??? MTANDAO UPI😊
@shanatatrigger6537
@shanatatrigger6537 4 месяца назад
Instagram si hana eeh 😅 na Twitter vip
@QGmnene-d5j
@QGmnene-d5j 4 месяца назад
Ujue sijawai kuona kitu kwa huyu mtu,,hivi mnamjua duppy
@Siddhart7-772
@Siddhart7-772 4 месяца назад
Dah!! Saiv atakuwa ameishiwa na ubunifu kaanza kiki zakijinga mbna geniusx66 anahiti kibao kampigia jaymelody na hajisifii na ukiangalia kuna abbah lkn hna misifa…akae kwa kutulia mziki uongee yy anamiziki yahitis za siku mbili hazidumu😅😅aache umama wewe kazi yako trap miziki mingine unakopy sana na nyie hizi interview mtakuwa mnatuungia bando interview zakimama hizi🤔🤔😂😂😂
@SelemaniEmail
@SelemaniEmail 4 месяца назад
Aaaa 😂😂uyu jamaa muongo mpaka j z rihhana
@reubenwild42
@reubenwild42 4 месяца назад
Anajua jamaa
@izaboymtykwl
@izaboymtykwl 4 месяца назад
😂😂😂😂
@devisfrank6637
@devisfrank6637 5 месяцев назад
🫡🫡🫡
@Dickson93
@Dickson93 4 месяца назад
Yaani nikiona coment huko nashangaa sana mnataka aongee nini ndio mda wake huu mnasema wakina master na p walikua hawaongei kipindi hicho kulikua hamna social media ili kujua kinachoendelea lazima utumie bbm na bbm kuipata lazima uwe na brackberry sasa jaman acheni aongee na uzuri kazi zinaongea ndio mda wake huu jamani msitake aongee mnachotaka nyie
Далее
Песня РАСПУТИН на русском!🔥
00:56
Women’s Free Kicks + Men’s 😳🚀
00:20
Просмотров 4,8 млн
Пчёлы некроманты.
00:46
Просмотров 22 тыс.
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1
35:15
Просмотров 472 тыс.
The End of Diddy: Many Celebrities Involved in the Case
24:51
Песня РАСПУТИН на русском!🔥
00:56