Тёмный

Sababu 10 kwanini ufuge mbuzi 

ShambaniFarm
Подписаться 16 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

Katika video hii tunakupa sababu 10 kwanini uanze kufuga mbuzi. Tunaongelea masuala mbalimbali ya muhimu yanaofanya ufugaji wa mbuzi kuwa na tija na mvuto zaidi kuliko ufugaji wa ng'ombe, kondoo na hata nguruwe (kitimoto). Masuala kama yafuatayo:
1. Uhitaji wa nyama ya mbuzi (soko)
2. Uhitaji wa eneo kwa ufugaji wa mbuzi
3. Uhitaji wa chakula
4. Uzaaji na uongezekaji wa mbuzi
5. Urahisi wa kummudu mbuzi
6. Ubora wa nyama ya mbuzi
7. Maziwa ya Mbuzi
8. Mazao ya ziada - mbolea na ngozi
9. Athari ya mazingira
10. Kufurahisha kwa mbuzi
11. Ustahimilivu wa mbuzi - kwenye kiangazi kujali
12. Mtaji mdogo

Опубликовано:

 

30 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 38   
@abrahamsingano5372
@abrahamsingano5372 3 года назад
Nahitaji mbuzi wadogo wa kufuga chini ya miezi 6
@mebumohammed6844
@mebumohammed6844 4 месяца назад
Nice topic all noted brother
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm 3 месяца назад
Thanks a ton
@twororeturimekijambere5491
@twororeturimekijambere5491 Год назад
Unadufundisha vizuri sana asanteni😍🙏🙏🇧🇮burundi
@alfoncemuteti6230
@alfoncemuteti6230 3 года назад
Hello sir.... Am from Kenya a beginner in goat farming and passionate about it.... Have been following you here on RU-vid and I would request to know whether I can get a young Boer male from your farm by January next year?
@philbertzacharia3087
@philbertzacharia3087 2 года назад
Tunamuomba sana Mungu atufikishe tunakopalenga kufika kiufugaji wa mbuzi na kiuchumi kiujumla. We need to be richer through goats 🐐 🙏
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm 2 года назад
Kabisa. Na tutafika tu kwa uwezo wa Mungu na jitihada zetu zitazaa matunda.
@nicksonmadenge38
@nicksonmadenge38 Год назад
Hii imeendaa hii 😊
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 года назад
Asante nitafuga mbuzi inshaallah
@frankkabera3106
@frankkabera3106 3 года назад
umesahau kipato , pesa , thamani sokoni
@brandusmunansangu9004
@brandusmunansangu9004 3 года назад
Hello Shambani farm. Great video. Kindly do an English version. The pictures explain it all but just to make sure
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm 3 года назад
I did the English version first which can be foubd here ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-UkKP5fXASuk.html
@uzungupoint
@uzungupoint 3 года назад
Please msiwe mnaonyesha namna ya kuchinja, wengine tumejawa na woga na huruma please 😭😭😭
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm 3 года назад
Pole Vedastus.
@uzungupoint
@uzungupoint 2 года назад
Ahsante
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 Год назад
@@uzungupoint sasa docta utaweza lau kumfunga majerui kidondaa
@uzungupoint
@uzungupoint Год назад
@@chonghoswe6255 Dokta ni jina tu, but Mimi ni jobless mmoja hatari😁
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 Год назад
@@uzungupoint hhhkh saw mzee
@mayelabantuqueen832
@mayelabantuqueen832 3 года назад
I don't overstand swahili, but the pictures help me out a little bit ;) there is a great value chain in the goat business ! Thank you for sharing hope baby is doing well. i know one word in swahilie Asane sana.
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm 3 года назад
Its basically the Swahili version of the previous English video titled "The 10 reasons to start goat farming". If you did not get a chance to look at it, here is the link ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-UkKP5fXASuk.html
@agapejosceline7683
@agapejosceline7683 3 года назад
@Queen M-YaH A I can teach you for free If you don't mind
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm 3 года назад
@@agapejosceline7683 This is the kind of generosity I like! 🇹🇿😊
@abubakarymzee2571
@abubakarymzee2571 3 года назад
Vipi kiongozi boar tiari twaweza pata mbegu mimi pia nimfugaji
@aloycesiame4280
@aloycesiame4280 2 года назад
Habari kiongozi. Hujatoa namba za mawasiliano kwa mfano mtu anahitaji. Mbengu
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm 2 года назад
Zipo kwenye info page ya hii channel. Siwezi nikaweka kwenye kila video mkuu.
@alexmakunga4484
@alexmakunga4484 2 года назад
Unatoa sababu mbona usemi Kama Kama mbegu bei gani pia usemi tunapataje mbegu
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm 2 года назад
Hiyo haihusiani na maudhui ya video hii. Video moja haiwezi ikaweka ndani yake kila kitu. Kuna mada zinahitaji sehemu yake maalum.
@tinashemawokomatanda
@tinashemawokomatanda 3 года назад
The english version
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Год назад
Naomba namba yako ya simu.
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm Год назад
0788 455 234, please text first.
@chonghoswe6255
@chonghoswe6255 Год назад
Mkoa gan hapa?
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm Год назад
Pwani
@hussenmilao5791
@hussenmilao5791 3 года назад
nice ones
@rashadmohamed4357
@rashadmohamed4357 3 года назад
Upo mko gani na kama nina hitaji kwa kununua mbuzi wa mbegu nawapataje?
@ShambaniFarm
@ShambaniFarm 3 года назад
Tupo Dar. Ila kwa sasa hatuna wa kuuza kwenye hizi breeds za kigeni kama Boer na Kalahari Red.
@shuusalumu8618
@shuusalumu8618 3 года назад
Kaka naomba kujua kwasasa mbuzi wanapatikana au bado?
Далее
Wanyama Ep.3 Malisho ya ndama
27:42
Просмотров 8 тыс.
Barno
00:22
Просмотров 749 тыс.
FATAL CHASE 😳 😳
00:19
Просмотров 1,5 млн
SIFA ZA BANDA BORA LA KUKU#Kuku Uchumi
26:39
Просмотров 1,3 тыс.
FAHAMU KUHUSU MRADI WA MBUZI
3:11
Просмотров 6 тыс.
What you need to know about goat farming
11:36
Просмотров 142 тыс.
JINSI YA KUANZA UFUGAJI WA MBUZI | #MAVUNOTIMES
10:15
MBUZI AU KONDOO???
10:24
Просмотров 3,7 тыс.
Mabadiliko ya mwili wa mbuzi akikaribia kuzaa
10:47
Просмотров 3,1 тыс.
Barno
00:22
Просмотров 749 тыс.