Тёмный

SABABU 3 ZINAZOKUZUIA KUTOFANIKISHA MALENGO YAKO : Maisha, Biashara na Mafanikio 

G Online
Подписаться 28 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

Jifunze sababu 3 zinazokuzuia kutofanikisha malengo yako, katika maisha na biashara. Kumekuwa na sababu nyingi tu vijana wengi wanashindwa kutimiza malengo yao. Mimi nilikuwa moja katika ya hao, miaka kadhaa nyuma lakini nimejifumza kwa mengi sana na ndo sababu leo nashare na wewe ujifunze, jinsi ya kuweza kufanikisha malengo yako, epuka sababu hizi 3, usichoke hasa mwaka 2020.Miaka inaenda sasa ni muda wa kuchukua hatua na kufanyia Kazi malengo yako. Ili uweze fikia mafanikio yako. Angalia video hii hadi mwisho, karibu
.............................................................................
Download free Tubebuddy na install Kwenye computer yako au kwenye simu zote Android au iOS na iPad pia ambayo itakusaidia
1.Kurank videos zako
2.Itakuonesha Live subscribers count
3.Itakuonesha Milestones za channel yako na mengi, download sasa 👉 www.tubebuddy....
🔴 SUBSCRIBE MY CHANNEL 👇
www.youtube.co...
🔴Follow me on IG- / zahir11gome. .
🔴Twitter - / zahir11gomelo
🔴TAZAMA VIDEOS ZANGU ZINGINE AMBAZO UTAZIPENDA 👇👇
⚡SIRI ZA MAFANIKIO KWA KIJANA YEYOTE MWENYE MALENGO MAKUBWA MWAKA 2020 👉 • SIRI ZA MAFANIKIO KWA ...
⚡JINSI YA KUTIMIZA MALENGO MWAKA 2020:Kanuni 3 lazima uzifuate kama unataka timiza malengo/ndoto yako 👉 • JINSI YA KUTIMIZA MALE...
⚡KAMA UPO SERIOUS KUBADILISHA MAISHA YAKO MWAKA 2020 FANYA HAYA: Usiweke New Year Resolutions 👉 • KAMA UPO SERIOUS KUBAD...
⚡SABABU 6 ZA WEWE KUPOTEZA MOTISHA/HAMASA: Acha ili ufanikiwe kufanikisha malengo na ndoto mwaka 2020 👉 • SABABU 6 ZA WEWE KUPOT...
⚡KAA MBALI NA MARAFIKI WENYE DALILI HIZI : Ndo chanzo cha kushindwa kufanikisha mengi katika maisha 👉 • KAA MBALI NA MARAFIKI ...
⚡TABIA 3 ZA MAFANIKIO ZA KUWA NAZO: Ili ufanikiwe katika malengo na ndoto zako mwaka 2020 👉 • TABIA 3 ZA MAFANIKIO Z...
⚡KANUNI 4 ZA MAFANIKIO KATIKA BIASHARA 2020 : Nilizojifunza kutoka kwa JACK MA 👉 • KANUNI 4 ZA MAFANIKIO ...
⚡JINSI YA KUFANIKISHA MALENGO YAKO 2020: Kufikia mafanikio, furaha, na kuishi maisha ya ndoto zako 👉 • JINSI YA KUFANIKISHA M...
⚡JINSI YA KUWA MJASIRIAMALI MWENYE MAFANIKIO NA KUTENGENEZA PESA NZURI KATIKA BIASHARA 👉 • JINSI YA KUWA MJASIRIA...
⚡TABIA (9) HASI ZA KUACHA 2020 ILI UTIMIZE MALENGO/NDOTO NA KUFIKIA MAFANIKIO KATIKA MAISHA 👉 • TABIA (9) HASI ZA KUAC...
🔴Background Music from ROSS BUGDEN-INTERSTELLAR - RU-vid link 👇
www.youtube.co....
#malengo2020 #mafanikio #kutokufanikisha

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@rashidonami2660
@rashidonami2660 4 года назад
Na wapenda sana bro munadusaidia sana mungu awabariki
@biaishasaid8494
@biaishasaid8494 3 года назад
Thanks brother mana Mimi ndo kwanza Nimeshtuka Sasa kuhusu taarifa zako mwez huu wa kumi na moja Naimani ntafanikiwa Japo mwaka umeisha
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 3 года назад
Karibu
@Jamani255
@Jamani255 4 года назад
Asante sana! Hata mimi nilichelewa sana kuanzisha youtube channel sababu nilikuwa nasubiria nipate vifaa vyote😰 Ila baadaye nikaona sitaanza kwa kweli kwa hiyo ninatumia simu tu! Kweli siku hizi as long as mtu una smart phone hauwezi kukosa mafunzo mbalimbali yatakayowezesha kufikia malengo!
@pesa360
@pesa360 4 года назад
Gigi Maenda Hongera sana kwa hatua hiyo. Nimetazama Chaneli yako pia. Unafanya vizuri sana. Hongera
@zuhuragomelo5654
@zuhuragomelo5654 4 года назад
Asante sana kaka, umenifumbua macho kwa mengi sana. Nashukuru kwa somo hili
@thomasjoseph3178
@thomasjoseph3178 4 года назад
Asante sana brother kwa elimu hii maridhawa
@movies_store01
@movies_store01 4 года назад
Broo nakukubalii snaa inshalahh mungu akujalie ufike mbali
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 2 года назад
Nimeyapenda masomo yako mazuri hakika unanifungua sana
@mayaswai4891
@mayaswai4891 3 года назад
Asnte kaka hiyo ya kwanza imenihusu sn mie
@Amir-me3tw
@Amir-me3tw 4 года назад
Golden video congret bro
@chrissmalloy9
@chrissmalloy9 4 года назад
Pamoja sanaa
@isihaqkerdehaqker1403
@isihaqkerdehaqker1403 4 года назад
Thank you bro
@pesa360
@pesa360 4 года назад
Umesema vyema. Asante sana kwa hamasa hii. Watu wengi wanahitaji kusikia ujumbe huu.
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 года назад
Shukrani sana
@pesa360
@pesa360 4 года назад
G Online Karibu sana. Nakukaribisha pia kuangalia chaneli yangu mpya. Na mimi nimejaribu kuthubutu 😁.
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 4 года назад
@@pesa360 nitumie link
@ericjonstz3120
@ericjonstz3120 3 года назад
Zahiid gomelo
@allenkeytz4136
@allenkeytz4136 3 года назад
Bro me nataka tuwe marafiki coz najua uta nisaidia sana kupush kile ninacho kifikiria
@GOnlinepositivity
@GOnlinepositivity 3 года назад
Sure why not 0629 718385
@manmentor8965
@manmentor8965 4 года назад
mkuu naomba tuwasiliane 0694267732
@RICHGOLDLOVEOFFICIALL
@RICHGOLDLOVEOFFICIALL 3 года назад
Bro nafatilia San Na mpka Sasa nimekua Na Moyo Na nguv Zaid ya kusonga mbele Nisapot pia Kwa Kaz zangu ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-yOS0UQz6KcQ.html
Далее
Changing The Flag Of The Countries #countryballs
00:18
DOTA 2 - ПРОКЛЯТЫЙ АККАУНТ?!
23:03
Просмотров 261 тыс.
Usiwe Na Aibu Kwa Haya Mambo 6
9:06
Просмотров 2 тыс.
TABIA 7 ZITAKAZO HARIBU MAISHA YAKO/ACHA SASA
15:23
Просмотров 7 тыс.
Kanuni 5 za Kuongeza Kipato Chako
8:37
Просмотров 932