Тёмный

SABABU YA MZEE KARUME KUJENGA MAKAO MAKUU YA YANGA JANGWANI - KITABU CHA YANGA 

Yanga TV
Подписаться 696 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

#DaimaMbeleNyumaMwiko #TimuYaWananchi

Опубликовано:

 

12 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@benjux2645
@benjux2645 3 месяца назад
Kumbe Nyerere alikuwa YANGA jmn kweli hiii klabu ya wananchiiiii
@FESTOAKARO
@FESTOAKARO 3 месяца назад
Hongera sana Eng. Heris Said. kuweka alama isiyofutika kwenye club yetu. Na hasa jinsi unavyomuenzi Hayati Baba yetu Mzee Karume.Nawe Mama yetu Karume Kongole sana kwa uaminifu wako.na msaada uliutupa hadi kuweza kujenga jengo la makao makuu yetu. Mungu akupe maisha marefu ya Amani na furaha. Deni kubwa kwetu sisi wanachama tulipie kadi zetu kila mwezi na kuhamasisha wengine kujiunga. Mwisho tudumishe Amani na mshikamano na viongozi wetu shupavu ili tujenge Yanga ya kihistoria Barani Afrika.
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 3 месяца назад
Amina
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 3 месяца назад
Mashallah mashallah mashallah mama karume hongera uwe na afya
@amaniomar1755
@amaniomar1755 3 месяца назад
Safi sana kwa kutupa historia 🎉🎉🎉
@nasibmussa2014
@nasibmussa2014 3 месяца назад
Huyo mhandisi kolo alisema hapajengeki mpk wajerumani walipokubali na hata Leo vijana makolo bado wanabisha pale uwanja haujengeki ama kweli watu hurithi tabia za wazee wao, makolo ni pingapinga jazz band😆
@hemedrashid2921
@hemedrashid2921 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
@kingofdecember
@kingofdecember 3 месяца назад
Hii ni fact
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 3 месяца назад
Umenena kweli tatizo Lao wametoka Kwa Wakoloni
@mwanangusana
@mwanangusana 3 месяца назад
Karume karume karume ......mwananchi halisi mwamba sana huyu ...
@saidathuman9513
@saidathuman9513 3 месяца назад
Aiisee kwangu ni furaha kuwa young africans
@mukonoboaz1826
@mukonoboaz1826 3 месяца назад
Karume alikuwa mwamba kwelikweli.
@MwazambaMicrofinance
@MwazambaMicrofinance 3 месяца назад
Very nice but video fupi jmn🤣🤣🤣
@hassanshaibu2163
@hassanshaibu2163 3 месяца назад
Mzee karume alikuwa kiongozi mkweli,mwaminifu na alikuwa kiongozi mwenye maamuzi magumu na sahihi
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 3 месяца назад
Mungu ailaze mahali pema Roho yake
@HusseinKalamba
@HusseinKalamba 3 месяца назад
Kumbe Simba unafki wameanza sikunyingi eti hapajengeki kunamchanga Simba wanafki sana
@dengahmediatz1230
@dengahmediatz1230 3 месяца назад
😂😂😂
@hemedrashid2921
@hemedrashid2921 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂
Далее
ДИАНА в ТАНЦЕ #дистори
00:14
Просмотров 303 тыс.
TASTE OF LUXURY: PACOME ASEMA KIBWANA ANAMATATIZO
3:43
BABA YANGU KIPOFU Full episode /48/ #love
20:27
Просмотров 34 тыс.