We sang this sing at POH(Njo ro Boys High School). At one rally in Tengecha Boys we brought the rally to a stand still... Boys singing six parts....Bass..Tenor 1&2, Sop 1&2, Baritone...Alto.. I bless God for such moments..
Wapendwa bwana ni mwema mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri umenibariki sana lakini niombe radhi kwa hili tuzingatie maadili nawaomba sana jumbe zetu nzuri kupitia nyimbo ziendane na maadili ya kila mmoja ili Mungu azidi kutukuzwa kupitia nyimbo
I don’t know your language because I am Jamaican but when I listen to your songs, I can feel the energy. Love your arrangements and choreography. Keep on ringing those golden bells.
@@justchiff hahahahahha so you went to Entebbe for the Birthday party. Ukaamua ukose kuwepo kwenye video. I am happy kwamba upo kwenye audio. By the way Happy birthday ingawa ni kwa kuchelewa
You people have amazing ❣️ voices napenda sana nyimbo zenu Lilian Kelsey Phyllis and other whom I don't know there name mbarikiwe with your sweet 💗 sweet. Voices
Hongereni sana...but I have few comments to you people of GOD Maadili ya Kisabato yako wazi.....msiishie kuimba vizuri lakini taswira yenu ibaki kuwa ya kidunia Nazungumzia mavazi....ukweli mnatukwaza sana sisi Wasabato, hivyo vivazi vyenu wadada na mitindo ya nywele ni ya Kidunia sana! Wasabato dunia nzima hatuko hiyo... and am reminding you is you are real Sabbath brethren and sisiters .. and mind you tha GOD has NO culture. Tusisingizie kwamba eti utamaduni wa nchi fulani ndivyo ulivyo... NO Culture ya Mungu ni moja tu nayo ni kushika maagizo na amri zake. Rekebisheni hilo Otherwise may God Bless you all..
Bana Tenor voices used to sing this with all they have. Then there was that one solo in every choir who did what Lilian did here, then there were luggages that church members carried when they sang this song. Yaani if Jesus came right then, we'd all go to heaven straight. Church in the 90s was my favorite time. 😌
Tangu zamani huyu JONATHAN anaimba vizuli , ninakumbuka sauti yake ndani ya UENEZAJI GOSPEL choir wimbo #sinzongera #tuamke #amateka,......... tena ninakumbuka wimbo wake #Nyigizahafi !!!!!!! Mungu amubariki kwa yote .
Wimbo mzuri mno ujumbe mzuri pia sana,Ila sijafurahishwa na baadhi ya mavazi waliovaa wadada,Jaribuni kuendana na jumbe zenu,haipendezi kuangalia na familia kutokana na ufupi wa nguo, asante.
I am lost of words. I don't understand your language guys but your voices and rhythm are 💯💯🌹. Am truly blessed. Glory to God. Everyone in this choir has a great voice watching you always from South Africa ❤️♥️🌹♥️
Wasichana warembo tu ndio wanakubaliwa kuimba hii choir? Kuuliza tu. For those who don't understand Swahili, I was saying I can't wait for this song to be out! Be blessed.