Тёмный

"Safira sio msichana wa kawaida" - Pete | Maisha Magic East 

Maisha Magic East
Подписаться 508 тыс.
Просмотров 102 тыс.
50% 1

Kalume ameachishwa kazi. Bi Komo anamwambia Jinale achunguze Safira. Nuru anamkanda Jasiri na Nimimi ni mjamzito lakini Mbura anakataa.
---
Official Website for more bit.ly/maishama...
Watch more series and movies on Showmax, start your 14 day free trial here: bit.ly/36PFSr0
Follow Maisha Magic East:
Twitter: / maishamagiceast
Instagram: / maishamagiceast
Facebook: / maishamagiceast

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 49   
@mariawawuda
@mariawawuda Год назад
Hua napenda Sana Nuru wakiwa pamoja na Jasiri msiachane watu wangu aki feel loved my people 🥰🥰🥰❤️ ❤️
@halimasssomar8793
@halimasssomar8793 4 года назад
Jasiri na nuru minapendezana💞💞💞💞💋💋💋
@zeddydaqueensy4612
@zeddydaqueensy4612 4 года назад
Kama wakubali uzuri wa Nuru gonga like hapa
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 года назад
Ila nuru kazuri.dimpoz na smile yke mmependezana na mutrah sana.mutrah ongeza mke wapili. Kanakufaa ka nuru.kajizuri.ila NAWAPENDA wanaoact pete.WANAJUA NA NI WAZURI
@najmagudeh203
@najmagudeh203 4 года назад
Shukran
@khadijaamour7654
@khadijaamour7654 4 года назад
Mbn pete haipatikani part zote kwa mpangilio
@mumyally5901
@mumyally5901 4 года назад
Nilidhani ni kwangu tu jamani
@bensondena8739
@bensondena8739 4 года назад
Sijui kwanini
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 4 года назад
Hata mie
@bettymogga8385
@bettymogga8385 4 года назад
Sudi and karume I like the way you act
@fatumamwaita7639
@fatumamwaita7639 4 года назад
Shukran sana , wanapete muko
@abdurrashiyd1112
@abdurrashiyd1112 4 года назад
Tupo ila haipangiliwi jamani pete 😲😲😲
@fatumamwaita7639
@fatumamwaita7639 4 года назад
@@abdurrashiyd1112 wanatuonjesha kila siku wallahi
@zubeidamohd8916
@zubeidamohd8916 4 года назад
Nuru sifa yke apewa mzur sana mashaa allah
@mtorosaidkassim9587
@mtorosaidkassim9587 4 года назад
Kweli
@ivychepkorir2465
@ivychepkorir2465 4 года назад
Thank God they are now updating
@محح-و6ش
@محح-و6ش 3 года назад
Haki nawapenda sana nuru n jasiri mko poa 💋💋💋💋❤❤❤
@murshidalam9398
@murshidalam9398 3 года назад
Mashaala Nuru na jasili ❤️❤️❣️
@tatukachingwe2290
@tatukachingwe2290 4 года назад
Ninawapenda sn Nuru na Jasiri
@zubedasima1864
@zubedasima1864 4 года назад
Mko vizurii
@tatydjuma6340
@tatydjuma6340 3 года назад
Sudi jmn anavyo nichekesha mm 😂🤣😂🤣😂🤣 nakupenda bure sudi
@mikyfosikama8752
@mikyfosikama8752 3 года назад
Nuru mzuri mashallah
@bittybitty2712
@bittybitty2712 4 года назад
Jasiri na nuru haki nakupenda 💋💋💋💋💋❤❤❤
@bintibakari1995
@bintibakari1995 4 года назад
Asate mwedelezo plz
@iamiconboy
@iamiconboy 4 года назад
10 comment Kama umesikia labda.... Nakutaman tu Click subsceibe to @breezmedia
@azizaosman6286
@azizaosman6286 4 года назад
Seemu nazo zipenda sana kwa nimimi na mbura
@bensondena8739
@bensondena8739 4 года назад
Nice movie
@umukul-thumabadalla1702
@umukul-thumabadalla1702 4 года назад
Jmn hawa ni wakenya au mombasa
@sistertalks692
@sistertalks692 4 года назад
Fine
@sistertalks692
@sistertalks692 4 года назад
Woow
@user-ex1ld4ee2f
@user-ex1ld4ee2f Год назад
❤❤❤❤
@yasintaswahasni4747
@yasintaswahasni4747 4 года назад
Mnazingua
@jaffarumar5258
@jaffarumar5258 4 года назад
Mtatuonjesha adi lini bana??Refusheni episode ama makali sio marefu....
@sophieshyrin4209
@sophieshyrin4209 4 года назад
nimimi napenda maringo yako sanaa
@munnababygal8460
@munnababygal8460 4 года назад
Labda Labda 😀😀😀 nuru wew ni mrembo kweli
@Doomy-ef4ez
@Doomy-ef4ez 4 года назад
Jasiri wewe nimitanzania lakini muowe Nuru nimurembo nahizo dipo zake
@seluwahabdull7223
@seluwahabdull7223 4 года назад
Wamaanisha mbura auwezi mpatia mke mimba au vip kiongozi nakulewa tena kisa nimmi mjamzito🙏
@kilungodionizi1865
@kilungodionizi1865 4 года назад
Ckuhiz cjui mmekuwaje amtumi kwa mpngilio jaman
@fatumamngumi2069
@fatumamngumi2069 4 года назад
Asante lkn naomba kujua kila siku gani maana sielewi
@samanthaali873
@samanthaali873 4 года назад
Jasiri lamda nn nakutamanix😂Chukua jikoni Jasir Nuru karembo na dimpoz zake
@janethallyurio4138
@janethallyurio4138 4 года назад
Hatarii petee. Ilaa ipo vipande vipandee.
@sarahpreciousmwende98
@sarahpreciousmwende98 4 года назад
Wah naona pete ndio ilikua akili ya bura adhawaiz imeixha nguvu akabakia bwege tuuu
@asinatikarim5401
@asinatikarim5401 4 года назад
Hahaha mwanzo ilikuwa nzur unalazi umalize mb kwa kutizama mala kwa mala ila sasa ivi ukitizama wapeleka mbele ishe tu
@sarahpreciousmwende98
@sarahpreciousmwende98 4 года назад
@@asinatikarim5401 kabisa aki nikama inaelekea kuixha😥😥
@margaretsam6696
@margaretsam6696 4 года назад
Nuru kanogewa
@kassimjuma1279
@kassimjuma1279 4 года назад
Nimekumiss karembo
@mwajumamrishosuleiman9703
@mwajumamrishosuleiman9703 4 года назад
muendelezo jaman tunaomba
@mozzaliuleiza9288
@mozzaliuleiza9288 4 года назад
Nuru I'm crazy about those dimples
@amynamsomaly3315
@amynamsomaly3315 4 года назад
Muendelezo tafadhal
Далее
Jasiri na Nuru wako wapi? - Pete | Maisha Magic East
4:04
Моя Бывшая - Зомби Вернулась!
24:45
Mbura aita mkutano sokoni - Pete  | Maisha Magic East
3:38
HUYU DADA MCHAWI
8:01
Просмотров 1,5 млн
Karembo hana mimba - Pete | Maisha Magic East
4:17
Просмотров 293 тыс.
The secret's out - Pete | Maisha Magic East
4:05
Просмотров 104 тыс.
Becky long legs is back - Kina | Maisha Magic Plus
4:17
Nimimi loses her baby - Pete | Maisha Magic East
4:06
Просмотров 100 тыс.
"Jasiri, unanipenda?- Pete | Maisha Magic East
4:29
Просмотров 136 тыс.
Safira arudi kisiwani - Pete | Maisha Magic East
5:38
Просмотров 138 тыс.