Yaani mafundi wana laana,Unamuwekea kila kitu saiti kuanzia cement,Nondo,Mchanga, alaf yeye anapita navyo ikiwa kashalipwa....jamani mafundi ni wezi....
Hapana tusikalili kuna maeneo tunapaswa tupate vionjo tofauti kwa jinsi tulivyojijengea wabongo mwenye mwili mkubwa smart akionekana inareta uharisia flan nanukuu tu jins vichwa vyetu wabongo vilivyo
Joti na Crew nzima km na ata km KIPANDE amnasoma msg zetu Basi mtaona Jinsi gani KIPANDE TAULIVYO MKUMBUKA Tunaomba 🙏 KM MMETOFAUTIANA BASI MUNGU awafanyie wepesi muwe sawa na km Yupo Mbali Inshallah Allah Amjalie awe salama na arud kutupa Burudani 😭😭 Kipande anaweza
Joti sku moja tunaomba utuambie kuhus kipande ujue ishakuw too much yaan kl ukiuluzw hujibu tuambie tu kipande wetu alipo hata akiwa sayar ya Pluto tutamfata
Mwanang sasa iv unazingua tuletee Kipande na Sopa Mambo yawe Bulbul tunakosa radha, Hawa wengine hawako serious,kama Kuna tatizo tatueni ili tupate burdan
Big up sanaa..leo fainaly nimesikia sauti ya Kisingai... ila #Nishai ni mshenzi...kweny mifuko 100 unaiba 90 alaf mifuko 10 tu ndo ya ujenzi...ehhh..hata mi ningekutoa t ubongo😆😆
Wewe CHAWA ni mshenzi. Kwanza ulipanga kumpiga plasta na yeye. PILI, unapiga hesabu ya mafuta kwenye gari? Ya nini sasa? Ili umpalange mwenzako! Dah! hahahaha