Тёмный

SAKATA LA KUCHOMA MOTO VITENGE VYENYE PICHA YA RAIS SAMIA LAIBUKA MBEYA KWENYE MKUTANO. 

KAYUNI ONLINE TV
Подписаться 36 тыс.
Просмотров 4,1 тыс.
50% 1

AHSANTE KWA KUTAZAMA KAYUNI TV, TAFADHALI SHARE VIDEO HII KWA RAFIKI ZAKO. TUFUATILIE KATIKA MITANDAO YOTE YA KIJAMII KWA JINA LA @KayuniTV

Опубликовано:

 

8 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 9 часов назад
Mbeya Naona kumechangamka 💪🏽✌️👋🙏🏼
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 16 минут назад
Mbeya powerful ❤❤🎉🎉🎉
@boniphacetenende-py8tc
@boniphacetenende-py8tc Час назад
MUNGU Atusaidie,Atupe hekima na ustahimilivu,Thanks my President Samia kwa Uvumilivu,MUNGU Akupiganie
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 22 минуты назад
Sasa hapo anavumilia kwa lipi ikiwa watu hawavitaki?
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 16 минут назад
Chadema 🎉🎉🎉
@Anandezi
@Anandezi 4 часа назад
Nimekuelewa Mama wa CHadema. Kweli ni vizuri kusaidia wenye mahitaji. Kuhusu mpira ni vizuri sana kuhamasisha vijana kunakofanywa na Muheshimiwa RaisMama Samia Suluhu hassani, kuwahamasisha vijana kunafanya nchi Julikane na ndipo watakii wengi watakuja Tanzania 🇹🇿 na kukuza uchumi wetu. Mimi na kubaliana na nyie wote kila mnachofanya kinaltakia nchi mafanikio mema. Wamama chadema vitenge mlivyopewa nipeni mimi.
@ShamteMohmed-ed2kk
@ShamteMohmed-ed2kk 32 минуты назад
Busara ziro, na hapo kwenye mpira mnachemsha
@kilangiza
@kilangiza 50 минут назад
😂😂😂😂naipenda hyo chomeni hao ccm
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 11 часов назад
Vitenge ni nini bwana eti vitenge kutekwa vijana inauma sana
@jeremiahblazio4781
@jeremiahblazio4781 18 минут назад
Sasa mlivipokea vya nn
@petro8010
@petro8010 Час назад
Hapo kwenye goal la la mama unatukosea wana yanga......serikali hela zipo za kutosha wew omba tu mama atawaletea lkn kulikataa goal la mama hapana.
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 9 часов назад
CHADEMA OYEEEEE
@safiaothman5175
@safiaothman5175 Час назад
Chadema mnatekana wenyewe,Mwenyezi Mungu Subhaanahu Wata'ala anawaona. Mh.Samia mitano tena.
@StellaCharles-zk4kb
@StellaCharles-zk4kb 12 часов назад
Makamanda na wakubali sana
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Час назад
Lakin mnateka wenyewe! Huduma gan hazipo hospital?
@moshiwasua5749
@moshiwasua5749 2 часа назад
Ushu ya mpira iache. Kabisa maana imejumuisha watu wote seikali iko vizuri maana michezo ni afya,,burudani,,uchumi. Inaunganisha watu
@safiaothman5175
@safiaothman5175 Час назад
Chadema Ziiiii hamfai kupewa nchi Vitenge mmevivaa hadi vimechakaa.
@MaryMwamwezi
@MaryMwamwezi 9 часов назад
Unapoteza muda tuuuuu .mama Samia mitano tenaaaaaa
@HabibuSaid-up5sn
@HabibuSaid-up5sn 3 часа назад
Tena anasubiri kuhapishwa 2
@faustinluambano2958
@faustinluambano2958 21 минуту назад
Sultani unaendelea na unaota mizizi. Kosa ni PICHA YAKE
@abrahmanhmd2557
@abrahmanhmd2557 7 часов назад
😢😢ILA JAMAN CHAMA TAWALA😮😮😮 KWANI KUCHOMA KITENGE SHIDA IPO WAPI JAMANI C NI NGUO TU ILE INASHID GAN
@rehemakimungu6494
@rehemakimungu6494 Час назад
Nyee laana zinawafuata, Nani atawapa nchi Vichaaa?
@majaliwasikabenga2536
@majaliwasikabenga2536 7 часов назад
Kuchoma vitenge vyenye picha ya Mh Rais sio upinzani ila ni kukosa Busara. Kwa sababu unapochoma picha ya Mh Rais wakati ndio icon ya Nchi Yako mwenyewe unakuwa unapungua sana kwenye hekima na Busara. Rais ni nembo ya Nchi. Tuhoji mambo muhimu kwa wivu mkubwa wa Taifa letu ila daima tuongozwe na hekima, Busara na uzalendo kwa Taifa letu.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 11 часов назад
Mbeya kibokoooooo tunaomba amani Tanzania mpaka mnamchoma vitenge heri mngewapa wenyeuhitaji
@HanifaUrassa
@HanifaUrassa 4 часа назад
Wakipewa nchi ndo hivyo wataichoma
@salama1113
@salama1113 5 часов назад
Mbona hamkuandamana sasa😂😂😂😂😂😂
@ShesheKaoneka
@ShesheKaoneka 11 часов назад
Hao wana laana hawafai kupewa nchi
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 Час назад
Na mama Yako pia ana laana
@MaryMwamwezi
@MaryMwamwezi 9 часов назад
Muingie ikulu nyieeee .hahahaaaa .mnaota ndoto.
@MzeeOsama
@MzeeOsama 8 часов назад
Ongea amboyo yatakusaidia mama unachoma nguo kuna masikini wangapi
@mbwanahasan2971
@mbwanahasan2971 Час назад
Tanzania sio masikini umasikini unajitakia ww ukiwa chawa sawa?
@Keyjop
@Keyjop Час назад
Maskini ni wananchi serikali Ina umaskini gani
Далее
Little kitten 💓💜❤️🥰
00:17
Просмотров 20 тыс.
NINA UTAJIRI WA ZAIDI YA $10M GOOGLE INAKOSEA SANA
4:47