Huyu jamaa huwa namkubali sana jinsi alivyo deep kwenye kuzungumzia mpira wetu kwa vigezo halisia. Sijui kwanini mamlaka hazimchukui na kumtumia katika kushauri katika kuendeleza soka letu kitaifa.
Wewe ni CHAWA wa VIONGOZI MBONA Mwandishi hujadili Athari za tajiri MMOJA kuweka pesa kwa TIMU 6? Kwenye Ligi moja? Wewe wachambuzi WENZIO.umebaki nilisema nilisema.Mwandishi bora ni yule mwenye FACTS ZENYE MASHIKO.ACHENI BRA BRA ETI LIGI YETU BORA AMBAYO FIXED MATCHES KIBAO PAMOJA LA MAAMUZI MABOVU.