Nikiwa Primary kuna beshte yangu alikuja na kanyoka kama hako..alafu tukaweka kwa bag ya boy mwingine akiwa break..acha akuje kutoa vitabu za lesson ya Kiswahili..alipiga nduru😂😂😂😂😂😂😂tukaitwa staffroom tukaambiwa ati sisi niwa devil worshipper😂😂😂😂😂alafu vita ilifuata😢ya githigithanio