samaki 1
garlic powder/ swaum ya unga 1tbsp
onion powder/unga wa vitunguu maji 1tbsp
garlic lemon rub 1tbsp( qu weka likao tu
barbeque rub 1tbsp( weka yeyote
mafuta 3tbsp kupaka kwenye samaki
tumia halogen oven kwa urahisi, lakini unaweza tumia oven, air fryer au mkaa.
subscribe kuona videos nyingine nyingi zaidi
Instagram na tiktok @malkiafoods
7 мар 2024