samaki Huyu anaitwa BARAKUDA, ni mtaamu sana na taste yake kama kuku vile...samaki Huyu ni mzuri kwa mama aliyejifungua ili kuongeza maziwa kwa mzazi anayenyonyesha..ENJOY..!FB: @ZAWADIshezIG: @ZAWADIshezTWITTER: ZDishez
19 авг 2024