Тёмный

Sapna: Jay Melody amenisaliti, ameuvunja moyo wangu, nimemleta mjini, nimemtunza, nimempa pesa 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 114 тыс.
50% 1

Mlimbwende wa video na muigizaji wa filamu, Sapna Filoz anazungumza jinsi ambavyo amesalitiwa na mpenzi wake, mwandishi na muimbaji wa Bongo Flava, Jay Melody..

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 460   
@annachales9623
@annachales9623 5 лет назад
Ukweli dada unaumia ila Mungu ni Mwema sana utampata mwingine mzuri zaidi na mwenye tabia itakayoendana na yako.
@rahmansbsbsbs6096
@rahmansbsbsbs6096 5 лет назад
Pole sana dada angu kuwa na subra mung atakupa mwengin
@subrynerysegerow1323
@subrynerysegerow1323 5 лет назад
Ngoja sikia hii ya ruby "nikisema nitakufaa kisa mapenz mungu nitamkosea maana labda nina ufa ila kuna mwenzangu nyumba inamdondokea me najuwaa sina thaman kwako utanikumbukaa nishatenda weema me nakwenda zangu utanikumbukaa pole sana moyo wee mwaya ee najuwa amekumiza ila yupo mungu huyu baba ee najua atalipiza uuuuuuuuuuuh💃🏻💃🏻
@officialhauzimi
@officialhauzimi 5 лет назад
Huu wimbo waitwaje ety wananzengo
@queengee988
@queengee988 5 лет назад
😀😀😂🤣🤣jaman ww
@fashyahmed4135
@fashyahmed4135 5 лет назад
Nyimbo gn hii ya ruby?
@queengee988
@queengee988 5 лет назад
@@fashyahmed4135 unautwa alele
@queengee988
@queengee988 5 лет назад
Alele
@aminaabdallah3644
@aminaabdallah3644 5 лет назад
Dah pole dadangu I feel you pain am sorry haikuwa riziki Mungu atakupe wa kheri inshallah 🙏🏿😘❤
@ab3ab313
@ab3ab313 2 года назад
pore kks mungu atakurip
@mayacel1391
@mayacel1391 5 лет назад
Pole sana my dada Ur very beutifull and I knw God will be with u dear.love from Kenya my dear
@missmalindikenya6204
@missmalindikenya6204 5 лет назад
Haa
@mariamukige553
@mariamukige553 5 лет назад
Aiseee pore maumivu ya mapenz yanazid musiba kama unakubar leki
@salmaothman153
@salmaothman153 5 лет назад
Pole sana mungu atakupa atakae kufuta machozi ukasahau machungu daah mapenzi yanaumiza sana
@sasherbaiby7277
@sasherbaiby7277 5 лет назад
pole dada ni zaid yamaumivu jitu umelisaidia linakusaliti achananae utapata mwingne Dada mungu yupo atakujibu apaapa
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 2 года назад
Sina hamu mimi .kiukweli nimeumia sana namimi yamenikuta
@aveirastephen9227
@aveirastephen9227 5 лет назад
Wewe dada ni mrembo then unajituma Sana kama mwanamke. Achana nae wako yupo. Mungu kamuandaa. Piga kazi darling
@ashamganga6636
@ashamganga6636 5 лет назад
Nashukuru hilo kama umelijua hilo mana wanaume ndiyo wanaongoza kuwasaliti wanawake km unakubaliana na mm like hapa
@merryn4891
@merryn4891 5 лет назад
Pole sana Dada, naombini mnielekeze jinsi ya kumuunga mtu nataka nimuunge mpenzi wangu, maan uongo umemzidi nataka nipate uhakika ili niwe single
@abuumchina3625
@abuumchina3625 5 лет назад
Asha co wanaume wote lkn ambao hawajatulia sw
@ashamganga6636
@ashamganga6636 5 лет назад
@@abuumchina3625 yani wanaume lati kama mgejua maumivu tunayoyapata msingetusaliti kabisa yani naongea kwa hisia naumia yamenikuta na laiti ningekuwa mchawi mgenikoma nyie kila siku hatuna laha
@abuumchina3625
@abuumchina3625 5 лет назад
@@ashamganga6636 Sikatai Asha lkn narudia kusema co wanaume wote bhn.mbn mm cpo hvy nmetulia alhamudulilah
@credokashinga1918
@credokashinga1918 5 лет назад
Asha Mganga 😂😂😂😂😂
@fauziakarama8581
@fauziakarama8581 2 года назад
Umeongea dear huwa tunajitolea mhanga kwa wapenzi wetu utavumilia mpaka unachoka, na mwanamke akisema basi ni basi, maa Shaa Allah mzuri hodari wa kutafuta utapata alie bora kwako omba dua utafanikiwa tuu.
@KhadijaKhadija-de5os
@KhadijaKhadija-de5os 5 лет назад
Nakupenda sana sapna utapata mwengine atakae kupenda kwazati mamy 💕💕💕pole Sana najua unaumia sana
@elizabethmakori6951
@elizabethmakori6951 2 года назад
Wanaume ni watu wa ajabu sana pengine hivyo ulivyo kuwa unamsaidia alikuona kama mjinga lkn kumbe ni mapenzi tu! Pole sana mrembo wangu
@abbnaiyah6009
@abbnaiyah6009 2 года назад
We achata tu mm nilijitolea kumsaidia mwanaume lkn alivyo kuwa mzuri n amaisha mazuri gafla akanionyesha madharau mara ajibu text zngu akiniona online yy yuatoka online mwisho wa cku nikaamua kunyamaza na mm basi ikaishia ivyo
@msafimediaonlinemmo7817
@msafimediaonlinemmo7817 2 года назад
@@abbnaiyah6009 njoo kwangu tufanye maisha kipenzi km hutojali
@fatumamcharo3929
@fatumamcharo3929 5 лет назад
Duuh!! Wanaume wa bongo shkamooni, kaoeni tu nchi jirani mmetushinda kwa kweli.
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 5 лет назад
Dada Sapna, usilie. Me Nipo kwa Ajili yako.. Nimeumbwa kwa Ajili yako..
@richardmwalyoyo1687
@richardmwalyoyo1687 5 лет назад
Ahahahaha
@asayubeejr1199
@asayubeejr1199 5 лет назад
Nimechekaaa mpka mbavu imepindaa😁😆😂🤣
@dullypambakallydullypambak912
@dullypambakallydullypambak912 5 лет назад
Wewe wakwangu uyoooo
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 2 года назад
Mmmh 💃💃💃
@wemadoktarmichael6448
@wemadoktarmichael6448 5 лет назад
Wadada wa bongo mtawalea hawa vijana mpaka lini jamani
@queengee988
@queengee988 5 лет назад
Yan ckuhiz imekuw kam sheria
@najmasalimsalim2741
@najmasalimsalim2741 5 лет назад
Kila likuepukalo lina heri nawewe utapata mwema dada machozi yamenitoka nahiistory yako fanya subra
@modriface
@modriface 5 лет назад
Pole sana Sapna.Haya mambo usiombe yakukute maana minajua ilo si kwa wasichana tu Sapna maana hayo mambo hata wavulana wanfanyiwa kama ww
@latifajanja2375
@latifajanja2375 5 лет назад
Da unaongea kwa uchungu ila bora ungelia ukapunguza machungu jmn hawo ndo wanaume wa dar alipata bahati ambayo hatokuja kuipata ipo siku atakukumbuka tuh
@ramsokhamis9262
@ramsokhamis9262 5 лет назад
Kwelii kabisaaa ukilia ata sumu ya maumivuu moyoni yanatowekaa... Ndoo maana ata msibanii Kama mtu analia wanamwacha aliyee kwanzaa ili Nyongo yakee itumbukee kabisaa... 😤😤
@maryamhabee1032
@maryamhabee1032 5 лет назад
Mapenz yanauma kavumilia ila kashindwa wanawake wavumilivu sana ila mwanamke akisema bc ujue ndo bc
@Esty1248
@Esty1248 5 лет назад
Pole Dada wanaume ndio hao, umpate akiwa broke akipata vihela anakuona hufai tena
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 2 года назад
Sana .mimi yamenikuta haya haya unammbeba mtu anashida akipata tu wewe mbaya
@asiahmariam3942
@asiahmariam3942 5 лет назад
Wanaume nyoko sana, hawana wema hawana imani siipendi mijitu hiyo mie
@ريناء-ك5و
@ريناء-ك5و 5 лет назад
Kweli hawana kheri kabisa
@tillerbizzy2779
@tillerbizzy2779 5 лет назад
Asiah Mariam umetendwa
@blessshakerz5965
@blessshakerz5965 5 лет назад
Asiah Mariam hahaa
@sudason8467
@sudason8467 5 лет назад
Asiah Mariam so wote
@captainkhalifa7402
@captainkhalifa7402 5 лет назад
Hahahahahahaha Unazingua hiv hapo ww mwanamke hauna baba sio
@mariamkimossa1833
@mariamkimossa1833 5 лет назад
Ila jay alishawahi kusema yuko single alipohojiwa clouds fm.wanaume hebu kueni basi.
@galteo5211
@galteo5211 5 лет назад
Kwl
@mwanajumaomahundumla6504
@mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад
Daah pole sapna mwaya ndio wanaume hao sio ndugu zetu
@queengee988
@queengee988 5 лет назад
Mm mapenz bac 🤚🤚🤚acha nimpende mwenyez mungu na wazaz wang tyu🤚🤚🤚
@hamadirajabu9024
@hamadirajabu9024 5 лет назад
Hàhah
@queengee988
@queengee988 5 лет назад
@@hamadirajabu9024 😂😂usichek Kitu ovyo san mapenzi ctak hat kuyasikia mim😂😂
@credokashinga1918
@credokashinga1918 5 лет назад
queen gee 🤣🤣🤣
@queengee988
@queengee988 5 лет назад
@@credokashinga1918 😕😕😕usichek😂
@credokashinga1918
@credokashinga1918 5 лет назад
queen gee poleee😥
@leylaally3291
@leylaally3291 5 лет назад
Wanaume mungu anawaona mnatutesa
@binbarwan7401
@binbarwan7401 5 лет назад
Co wote bhnaa mbna me ctesi
@saidabdull1813
@saidabdull1813 5 лет назад
mnajitesaa
@elizabethjoseph2116
@elizabethjoseph2116 5 лет назад
Hahahaa
@suleblanko169
@suleblanko169 5 лет назад
Hata nyny mnatesa
@captainkhalifa7402
@captainkhalifa7402 5 лет назад
Hahahahahahaha nabado nimwendo wakaz kazin matusiiiiiiiiiiiiiii
@aysherkhamis1803
@aysherkhamis1803 4 года назад
Daaaah! Tujifunze kupitia hili! Hakuna kuhonga wanaume
@sharmilaoman6389
@sharmilaoman6389 2 года назад
Yaani mie nimejifunza sanaa kuna huyu kiumbe aah!! Asaivi hata ajifanye mpoleee akifie mbele uko bora nisaidie wasojiwezaaa
@nancyalex4804
@nancyalex4804 5 лет назад
Hiv why wanaume wanaojaliwa hiv uwa wanawaumiza haw wanawake🤔🤔🤔
@oneonego705
@oneonego705 2 года назад
Pole sana ata mimi sijapenda ivyo yaani mungu akufungulie njia nyingine tena
@meekhoon1378
@meekhoon1378 5 лет назад
don’t cry 😢 gal! and sometimes ujue hasira zinaisha bt maneno hayakwishi so stay calm!!!
@ramadhanzmlay1331
@ramadhanzmlay1331 5 лет назад
aise nimekupenda sana
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 лет назад
Yalio kutokea dd hata mm yalishawai kunitokea mijimwanaume hii ya tanzania inalaana sana yan bora ukalibebe hata libabu la kitaliano .. Ulibebembeleze tu kuliko hawa wakina juma lokole wa bongo wa pumbavu sana
@faidhakibayanga3047
@faidhakibayanga3047 5 лет назад
jackrin aman mbavu zangu uwii
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 лет назад
@@faidhakibayanga3047 wanazingua sana hawa wakina juma lokole wa bonho
@faidhakibayanga3047
@faidhakibayanga3047 5 лет назад
jackrin aman kweli my mm sikuping
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 лет назад
@@faidhakibayanga3047 wanaboa sana hawa wavaa boksa
@oliviamboma1347
@oliviamboma1347 5 лет назад
jackrin aman hahahahahaha
@chainbre275
@chainbre275 5 лет назад
Yani nilichogundua now dayz wanaume ndio wanao saliti wanawke doh
@credokashinga1918
@credokashinga1918 5 лет назад
Metrine Bilunji aawap
@chainbre275
@chainbre275 5 лет назад
@@credokashinga1918 kweli umpa mapenzi ya dhati anakusaliti kisa namaana anadhani hiwezi ishi bila yy they should style up
@credokashinga1918
@credokashinga1918 5 лет назад
Metrine Bilunji poleeee
@credokashinga1918
@credokashinga1918 5 лет назад
Metrine Bilunji ila inauma mtu umejitoa kwake lakini mwisho wa siku anachukuliwa na mwengine
@chainbre275
@chainbre275 5 лет назад
@@credokashinga1918 nilijiepusha na nikauguza kindonda kutamboooo sai pole hainifai coz nipo shwari kabisa
@blacknature7637
@blacknature7637 5 лет назад
Ukimsamehe atakuja kufanya zaidi ya hayo
@monicajulius905
@monicajulius905 5 лет назад
Nimempenda sana huyu dada jaman(pole kipenzi Mungu atashusha neema zake
@fatumarajab3139
@fatumarajab3139 5 лет назад
Pole Sana Mimi mwenyew nauguza kidonda changu tu yan Hawa wanaume sio watu Kabisa
@captainkhalifa7402
@captainkhalifa7402 5 лет назад
Ni mazishi mkija chuga nahayo style mtacheka
@jamilahathumani4222
@jamilahathumani4222 3 года назад
Huyu dada anamapenzi yakweri ila alikuwa hajapata mtu sahihi
@haluarahma3071
@haluarahma3071 2 года назад
Waaa ..dadangu hata mm inaniuma xna wanaume fanyenyi huruma jamani,bt pole xna dada
@elizariwa971
@elizariwa971 5 лет назад
daah pole usjali Mungu atakupa chaguo lako
@mathconcepts4457
@mathconcepts4457 5 лет назад
Naomba namba ya mdada huyu asee . Nimuoe.....nimuoneshe how real love z. ...
@khadijajuma7142
@khadijajuma7142 5 лет назад
Atajuta kwa tamaa zake,bahati haiji Mara mbili.Mwanamke gani siku hizi eti anatunza mwanaume 😁😁😁Yaani kama mwanao!!!!! Aiseee habahatiki tena,ila nawe ukome unamleaje mwanaume kama umemzaa khaaa!!!! Unasaidia jitu lisilojielewa na halina shukran,hela halina,mtoto umempatia,kumtunza unamtunza khaaa 😁😁😁
@hafidhali4336
@hafidhali4336 2 года назад
Jaman. Nakupenda we nakutaka we kwako sijiwezi.
@mwanaherhussani7425
@mwanaherhussani7425 2 года назад
Oohh my love mpenzi wangu roho yangu we kwako sijiwezi oohh my love,😁😁😆😆😂😂🤣
@mayaproducts5294
@mayaproducts5294 2 года назад
Pole sana kipenzi but ipo siku Mungu atakulipia
@fatmamajuu5255
@fatmamajuu5255 5 лет назад
Pole sana dada piga moyo konde jifunze kulingana na makosa ya kufuga mwanaume ndani siku nyingingine usirudie tena kufuga mwanaume ufanye mwisho mimi binafsi siwezi fuga mwanaume bola nikae peke yangu sitaki kuumizwa
@muhibbualii4580
@muhibbualii4580 2 года назад
Huyu dada Masha Allah mzuri sana,anajituma sana.
@hadijamkilila2048
@hadijamkilila2048 5 лет назад
Kawaida ya wanaume ukimtengeneza akabadiika a nakuona ww c wa hadhi yake km uyo alivyokufanya
@radhiamlacha3515
@radhiamlacha3515 2 года назад
Hata kama hukupaswa kuyaweka kwenye mitandao ooh nimemtoa kwao namlisha na mvisha madamu ushampoteza hakuna mwanaume anae penda kuzalilishwa umefanya yote kwa ajili ya mapenzi ungeacha to mungu angekulipi hujafanya vizur kwakweli
@sixtusjoseph996
@sixtusjoseph996 5 лет назад
Inauma sana sana kudanganya hisia ya m2 akajitoa kwako then ukazchezea hisia zake ofcoz ni zaidi ya maumivu
@meekhoon1378
@meekhoon1378 5 лет назад
jst wait for da special one ☝️
@gradygrady1058
@gradygrady1058 5 лет назад
Mm sijui ni kwann Ila kulea mwanaume nashidwaga kabsaa wakiamua kubadilika 🙌🙌🙌🙌
@goodlucknziku5557
@goodlucknziku5557 5 лет назад
😂😂🤣
@ashaabdallah1718
@ashaabdallah1718 5 лет назад
Asante kwa ushauri dada... Yan mpk nimeumia.... nimejifunza kweli
@lovinomwamtambulo6629
@lovinomwamtambulo6629 5 лет назад
Sisi wanaume Shida
@wemanatenda383
@wemanatenda383 5 лет назад
Pole sana Dada angu jamani wanaume ndivyo walivyo hawabebeki hata kidogo ila steel yataisha tu mutaendelea kukaa vizur
@amoszelamula3957
@amoszelamula3957 2 года назад
Nyie ndo hambebeki mnapendwa lakini hampendeki.
@chichihammy5424
@chichihammy5424 5 лет назад
Daah iv wanaume mna nini? Chombo kama iki kimesimama unasukuma ndaani jiko ilo
@kwzjkwz3532
@kwzjkwz3532 5 лет назад
chichi hammy mm mwenyewe nashangaa
@suzanamwangingo2995
@suzanamwangingo2995 2 года назад
Kiukweli wanaume wachache wenye shukulani .kiukweli hata mimi yamenikuta haya. Pole mpenzi umenigusa sana naimeniuma sana kwasababu na mimi ni muhanga wa haya.muombe mungu atakupa mwingine zaidi ya huyo
@lilianurio9781
@lilianurio9781 5 лет назад
Inauma sana, i know the situation hii nimepitia mpaka sasa moyo unaniuma sana pia kwa mtu wangu
@saumuali1875
@saumuali1875 2 года назад
Me pia daa wallah huwa moyo unauma sana
@msafimediaonlinemmo7817
@msafimediaonlinemmo7817 2 года назад
@@saumuali1875 mm pia tufalijiane mwanamke kaniacha gizani
@sharmilaoman6389
@sharmilaoman6389 2 года назад
Aah nimejitolea kwake kwa kiasi nilivyogundua hii ishu asaivi anajielezea tuu na mkaushia akienda nitaumiaa kidogo sanaa sanaa mungu anipe moyo wa ushindi maana hawa wanaumee baadhi hakii siyo watu wazuri
@msafimediaonlinemmo7817
@msafimediaonlinemmo7817 2 года назад
@@sharmilaoman6389 nipe communication tuyajenge aisee
@msafimediaonlinemmo7817
@msafimediaonlinemmo7817 2 года назад
@@sharmilaoman6389 mawasiliano yako
@priscajohn6090
@priscajohn6090 5 лет назад
Pole sn dada! Kunawanaume huwa hawaliziki! Roho imeniuma km mi2!mtu unatafuta hela kwashida halafu mtu anafanya ujinga!
@angelinajolie4253
@angelinajolie4253 5 лет назад
Sapna na ukimfatilia mwanaume umchunguze simu yake dah mwezi mwingi mtaachana. hawa wanaume hawana dhamana. wengi hawaaminiki
@ummydaudi4940
@ummydaudi4940 5 лет назад
Angelina Jolie kbsa na hapo wengi ndo wanapokosea ht cku moja usithubutu kumchunga mwanaume mwisho wa siku ww ndo utakaeumia
@zennahwangare3952
@zennahwangare3952 5 лет назад
Umenifunza kwakweli manake hata mm nalipa mpaka kodii kwa beby wangu nimapenzi tu ila na yeye ni hadsome naona atanisaliti yani huu mwezi anajilipia wallah😌😌simtakii😆😆😆😆😆najitoa kabla sijaadhirika na usaliti
@beatricekamengekamenge5543
@beatricekamengekamenge5543 5 лет назад
Waoo jitoe kbsaaa
@moniedwese5778
@moniedwese5778 5 лет назад
@@beatricekamengekamenge5543 😂😂😂umeona eeh
@moniedwese5778
@moniedwese5778 5 лет назад
Kuna watu mnajiweza😂kuumizwa na umizwa lkn sio nimuhudumie jaman
@aminakazogolo9914
@aminakazogolo9914 5 лет назад
😂😂😂😂😂😂
@angelinajolie4253
@angelinajolie4253 5 лет назад
jamani hawa wanaume hawabebeki
@sudicktvonline7676
@sudicktvonline7676 5 лет назад
Kama untaka mume muombe Allah atakufanyia wepesi
@tausmohammed3531
@tausmohammed3531 5 лет назад
Dah pole sana mmy me nxhakoma kabisa na sirudii tena kabsa!!!!!
@kalamuyantajajr2605
@kalamuyantajajr2605 5 лет назад
Rudia kwangu tu, hahahaaaa
@queengee988
@queengee988 5 лет назад
😂😂😂aiseeeee hiyo kitu mm sitak hat kuisikia kabisaaaa bora kuw cngle😂😂
@sophiajoseph4267
@sophiajoseph4267 5 лет назад
Coment nying ni wadada wanaume wanajijua tabia zao ndo maan hpa wapo kimya pole sana dada mung atakupatia wako wa milele
@captainkhalifa7402
@captainkhalifa7402 5 лет назад
hahahahaha Sophia tuache bas Hahahaha
@sophiajoseph4267
@sophiajoseph4267 5 лет назад
Kwel mbn mpo kimy
@yunusjohnson4170
@yunusjohnson4170 2 года назад
Pole mama njoo kwangu upate faraja
@mikerkayombo3147
@mikerkayombo3147 5 лет назад
halaf dada plz naomba uache kusema ulimchukua mume ukamfikisha Dar ukampa conetios ya THT Kwamaana ipi?
@achouraachoura5763
@achouraachoura5763 2 года назад
Dah uyo kijana mpumbavu Sana kashapata jina sasa ndio mana anavimba Ila atakuja kukukumbuka
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 2 года назад
Pole dadaangu wanaume wengiwao awabebeki
@jumamawechampion3867
@jumamawechampion3867 5 лет назад
Duh pole Sana napna
@hasnaabduly4945
@hasnaabduly4945 5 лет назад
Ivi ujasili wakukonect sm za wapenz wenu kinachoingia unakiona mnautoa wap mbona watu mnajipa maradhi ya moyo jamani kaaah me sisubutu
@quentinsylvia3877
@quentinsylvia3877 2 года назад
Pole Santa nadhani wakati was kwenda ulipotea njia ila wakati was kurudi njia uwezi kuipotea ila wema ihsan na fadhila ulizomtendea malipo ni hapahapa duniani .mwache aende mwanza akijikuta Uganda ndiyo ataimba sauti ya kukazana
@mariammbughi2702
@mariammbughi2702 5 лет назад
Wadada mnapenda kujipa majukumu yasiyowahusu
@elizabethjoseph2116
@elizabethjoseph2116 5 лет назад
Usiseme ivoooo
@bakarininga4100
@bakarininga4100 5 лет назад
😂😂😂😂
@captainkhalifa7402
@captainkhalifa7402 5 лет назад
Umetishaa hahahaha
@credokashinga1918
@credokashinga1918 5 лет назад
Mariam Mbughi mmmmh
@halimayusufu829
@halimayusufu829 4 года назад
Etiiiiiiieeeeeh
@wardamushi1311
@wardamushi1311 5 лет назад
Dada zinamuuma nguvu zake alizotupa kwa Jay melody
@jackrinaman7521
@jackrinaman7521 5 лет назад
Ko dd ulioa au uliolewa ila wanaume wa dar bhna hatali sanaaa tena mungu anawaona jamn
@Josezle
@Josezle Месяц назад
Pole sana
@wardamushi1311
@wardamushi1311 5 лет назад
Huna kosa dada sema huyo mwanaume hana shukrani achana nae mshenzi huo tena limbukeni
@minnahjay7676
@minnahjay7676 3 года назад
Mapenzi ni Kama duala ukiangalia pande zote Kuna makosa wapo wanaume wanaosomesha wanawake na baadae wanaachwa imepelekea wanaume saiv kutomsomesha mwanamke na ivyo ndivyo wanawake walivyo ukimpenda mwanaume akakuumiza uamini tena ivyo jinsia zote zina mapungufu
@blesseddeebrownie7334
@blesseddeebrownie7334 5 лет назад
sns hebu wapatinisheni hawa watu da gurl anaonekana still anampenda na Jay anaonekana kajifunza and anahitaj kuomba msamaha ...nobody is perfect jamaan ...forgive n forget ..na nyie wanaume basi badilikeni thou najua sio wooote😢😢
@shabanisalummanywele4257
@shabanisalummanywele4257 5 лет назад
Blessed
@ramsokhamis9262
@ramsokhamis9262 5 лет назад
Daaaa mapenz ayaaa jamanii.... 🤓🤓
@blesseddeebrownie7334
@blesseddeebrownie7334 5 лет назад
Shabani Salum Manywele ........Bee
@veylogeorge5427
@veylogeorge5427 5 лет назад
Duuuuuh....inaumiza sana pole sana Sapna
@roserisasi5441
@roserisasi5441 5 лет назад
Wifi punguza hasila jamani nitaongea na kaka
@yunusabeid74
@yunusabeid74 5 лет назад
Pole sana mrembo njoo kwangu nikulee maana mimi huwa sipendi kulelewa.
@elizabethjohn4507
@elizabethjohn4507 3 года назад
Mmmmh
@seifdavidmkama7752
@seifdavidmkama7752 5 лет назад
Sabna uliharibu kutrack cm lazima uumie pole Ila wakija wachumba wako serious kuwaoa mnawakatalia mnawataka superstar
@nasraseif9756
@nasraseif9756 5 лет назад
Nimekupenda bure sapna 😂😂😂unadeka mpaka raha
@lucyjeremia1381
@lucyjeremia1381 2 года назад
Pole Sana dear mungu akupe nguvu jmn wanaume hawa 🙌 🙌 🙌
@baranyikwamohammedamorosso5080
@baranyikwamohammedamorosso5080 2 года назад
Daah kigoma kikali kam nakupenda ,kisha ashindwe kupita na kijiji cha madem
@aminakawawa1935
@aminakawawa1935 5 лет назад
Tatizo lenu mastar mnapenda wanaume wazuri na mastar wenzenu tafuteni wanaume wa kawaida kila siku mtakuwa mnalalamika jamani badilikeni wapendwa🙏🙏
@oliviamboma1347
@oliviamboma1347 5 лет назад
Amina Kawawa hii kitu in bahati aseeh unaweza ukapata MTU ambaye sio star afu bdae akaja kujulikana akakutema
@aminakawawa1935
@aminakawawa1935 5 лет назад
@@oliviamboma1347 lakini kweli kabisa maneno yako
@mwansitijumaa3728
@mwansitijumaa3728 2 года назад
Inauma sana pole mdogo wangu yaani mpka nimelia
@chainbre275
@chainbre275 5 лет назад
Kweli wanawake tuliubwa naroho yakuvumilia ila haya yote wanaume hawaoni wakatuheshu 👌
@maryamm7765
@maryamm7765 5 лет назад
Mmmh🤔🤔wanaume hawa mtihan
@mirifatrama2632
@mirifatrama2632 5 лет назад
Raha ya mapenz upendwe huyo wa mwanza atakuwa kapendwa na j ww kwako alikuwa anatafuta life tu ulijua pesa ndokila kitu mapenz ya kwl sio pesa dada
@floramussa9887
@floramussa9887 5 лет назад
Akiliuna wewe kaka nyooooooo
@angelkweka3303
@angelkweka3303 5 лет назад
Kabisa dada yangu kwel wanaume nimkoj tu awafah kabisa pole sana nimekubal uko vzr sana Nakupenda dada yangu
@سبحانالله-ح7د
@سبحانالله-ح7د 5 лет назад
Inaonyesha bado unampenda, mtasameheyana tu.
@sharmilaoman6389
@sharmilaoman6389 2 года назад
Unaeza sema huyu mtu basi kutokana na madhila anayokufanyia lakini moyoni bado unampenda kibaya zaidi alidiriki mpka kuekeza nguvu zake yaani
@queengee988
@queengee988 5 лет назад
Mbon kam analia 😀😀duuh jamn mapenzi hay mm ndo maan nayachukia sitak kabisa mim🤚🤚
@suleblanko169
@suleblanko169 5 лет назад
Kweli ww
@queengee988
@queengee988 5 лет назад
@@suleblanko169 nayachukia ndio
@suleblanko169
@suleblanko169 5 лет назад
@@queengee988 kwaiy una taka kusema huna mapenzi ww
@aveirastephen9227
@aveirastephen9227 5 лет назад
Nakupendaga wewe kaka. Huchekagi upo serious. No smile dah
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 2 года назад
Mmmh 💃💃💃 ila we acha
@nasrimohamed7556
@nasrimohamed7556 5 лет назад
Kwa jnc unavyoongea inaonyesha ulmpenda sna na bdo unampenda nawaombea mrudiane na inshallah muache kuzini muoane
@doricenyange7151
@doricenyange7151 5 лет назад
Wanaume ni watu kwan!?? 😁😁😁 kulko umfadhili mwanaume mfadhili hata nyau atakusaidia kufukuza panya 🏃🏃🏃
@afelistmichael5318
@afelistmichael5318 5 лет назад
Dorice Nyange 😁😁
@sekyetemakungu1581
@sekyetemakungu1581 5 лет назад
Bora niwe bila mwanaume maisha hawabebeki awa
@afelistmichael5318
@afelistmichael5318 5 лет назад
Sekyete Makungu hata nyie wanawake nae mko hivyo hivyo msijisahaulishe
@sekyetemakungu1581
@sekyetemakungu1581 5 лет назад
asilimia kubwa ni wanaume
@Waberoya
@Waberoya 4 года назад
Ulijuaje?
@sharmilaoman6389
@sharmilaoman6389 2 года назад
Yaani najikuta kuumia sana aah kwann hasaa imekuwa niupande wa wanaume 2 much, lamsingi kumsaidia mpenzi haki bora ukatoe sadaka kwa watoto yatima kuna faida ya kesho akhera, haya pia nimeyaoana kwangu nimejaribu kumsaidia mtu mpka familia yake nilivyongundua tuu tofauti asaivi tuu nakausha namsikiliza tuu nakausha tena kwahapa nazidi kujifunza
@seifmohamedseif9384
@seifmohamedseif9384 5 лет назад
nendeni na wakati tafuteni mic za wireless
@ramadhanzmlay1331
@ramadhanzmlay1331 5 лет назад
unajielewa sana najuwa IPO cku utapata mwanaume Kama mm
@afelistmichael5318
@afelistmichael5318 5 лет назад
Ramadhan Zmlay 👆😂😂😂😂
@rajabuomary5057
@rajabuomary5057 5 лет назад
rizika nagoroka angaria usijechoka penzi lenu game LA nyoka
@zulfamangapi1219
@zulfamangapi1219 Год назад
Dada uyoh dada najiona mm kabisa
@gentillehassan3018
@gentillehassan3018 2 года назад
Oh pôle sana dada! Mungu ataku panguza manchozi siku moja inshaAllah utampata anaekustahili…usiliye mama
@maryamalhabsi4364
@maryamalhabsi4364 2 года назад
Polee my maripo yapo hap hapa ln shaa Allah kheri 😍😍😍😍
@kairatiswahilli7024
@kairatiswahilli7024 Год назад
Mie huwa najiliza kwani Wanaume munataka nini jamani mboba Hatuwaelewi😔
Далее
НЮША РОЖАЕТ?
00:17
Просмотров 948 тыс.
Diamond Platnumz - Zuwena Behind The Scene Part 1
29:31