kwanj kaacha kifua wazi? mana tuseme avae shungi ukimbea maziwa yote.mbele na ndio.mayuhimiza yavaliwe heri mitandio ina kuwa na stara.mana inajikunja kifuani. muhimu haonekani maungio
Ukhty ile kaswida yako ya ramadhan na elimu naipataje nazipenda ad naumwa nmetafta you tube hamn napataje mm jmn zile qaswiid ndo zilinifanya nikujue jmn😢😢😢