Тёмный

SASA MAMBO HADHARANI KUHUSU MAKONDA ALICHOMFANYA TUNDU LISU AMTAJA MTOTO WA RAIS 

KUSAGA TV
Подписаться 172 тыс.
Просмотров 3,6 тыс.
50% 1

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
RU-vid : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Опубликовано:

 

24 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 25   
@PeterJonathan-c8k
@PeterJonathan-c8k 2 часа назад
Huwa sina imani nae kitambo ,pamoja na kuvaa kofia iliyoandikwa Jesus,
@chezariboy
@chezariboy 2 часа назад
Tigo Mungu atwanyoosha kama mlihusika kutaka kumwaga damu ya wasema kweli WAPENZI WA MUNGU.
@BossiLaizer
@BossiLaizer Час назад
Mimi nahama tigo leoleo kumbe ni wanafiki sana
@jacksonsilaa415
@jacksonsilaa415 Час назад
Na ndiyo maana anaweweseka anafahamu alichokifanya kikiwa siri siyo siri tena.
@WilbertMalula-vv7ml
@WilbertMalula-vv7ml 2 часа назад
MUNGU ATATENDA
@bensonpaul3672
@bensonpaul3672 43 минуты назад
Wasijulikana ipo siku watajulikana,ipo siku Mungu atafanya watu washangae!
@mussakilo4916
@mussakilo4916 2 часа назад
Mkitoka huku mna hamia huku wanasiasa bhana tuna waangalia tu
@aloycempiri4161
@aloycempiri4161 2 часа назад
🎉🎉🎉
@karimdaud3993
@karimdaud3993 2 часа назад
Tundu. .ukitaka kufungua kesi hutoi ushahidi vyomboni wewe usitishe watu
@edsonpetro3754
@edsonpetro3754 53 минуты назад
lakin lisu kunavtu vingine uzalendo unakataa ndege zetu tena?
@DataICT-n8s
@DataICT-n8s 25 минут назад
@@edsonpetro3754 amezungumzia swala la ndege zetu c kwa ubaya nilivyomuelewa mimi nikwamba endapo watu kutoka huku kwetu wakajipanga kwenda kupoteza ushahidi au kufanya cha tofauti na mahakama ya inchin UK hapo london ilichokitoa ndo wakifika na ndege ya huku watashughulikiwa
@DataICT-n8s
@DataICT-n8s 22 минуты назад
@@edsonpetro3754 ko hajazungumza katika hali ya ubaya ni katika hali ya uzuri tu,tusisahau kujiandikisha katika daftar letu la makazi ili tarehe 27 mwez 11 mwaka huu me binafsi ninajambo langu la kupiga kura kuwachagua watu wenye uzarendo na nchi yetu sio salange salange majizi majizi
@asinahussein2176
@asinahussein2176 Час назад
Yani huyu anazidi kupunguza ubora wake
@DataICT-n8s
@DataICT-n8s Час назад
Ungepigwa wew au mzaz wako ndo ungejua maumivu yake ya risasi
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 18 минут назад
Ubora utapungua kwa wewe punguani.
@mussakilo4916
@mussakilo4916 Час назад
Ndege za kina nani?hapo ndipo unapo chemka mkuu
@KopiscoIsaya
@KopiscoIsaya Час назад
Tundu bovu tumesha kuchoka Bora urudi Ubelgiji,huna jipya
@DataICT-n8s
@DataICT-n8s Час назад
Acha ujinga wewe,umelisoma gazeti la the guardian la uingereza au unaropokaa tu kama ujasoma kaa kimya usiongee
@KelvinAbsalom
@KelvinAbsalom Час назад
​@@DataICT-n8shajui kusoma kaka
@anafikamugisha8834
@anafikamugisha8834 5 минут назад
Duh!! Aisee naona pameanza KUCHANVAMKA
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 25 минут назад
Uñapoteza mda mzee hutoshinda kamweee
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 3 минуты назад
Tigo siwatu wazuri wao kuisujudia serikali utasema siku wakiukumiwa watatetewa na serikali uko akhera
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 14 минут назад
Washitakiwe ata hawa polisi wa tz washitakiwe ili iwe fundisho waheshimu wenzao na waeshimu iyo katibayao waliotunga wenyewe afu wanaisotea
@HarsonNjau
@HarsonNjau 43 минуты назад
Raha rahaaa yaani leo nalala usingizi wa raha ,natamani hayo mashetani yajulikane kwa haraka
@IssaAlly-lp4uf
@IssaAlly-lp4uf 11 минут назад
Wanajiona wako madarakani wanaondo wamefika naayo madaraka kua watadumu nayo yule mwenzao kauwa watu kwa maerekezo lakini nae kaondoka analiwa na funza lakini awajifunzi wamelala wakifa ndio wataamka
Далее
🌭 BBQ Chili Dog Skillet #Shorts
00:36
Просмотров 4 млн
Artist 4-Mavsum 20-son FINAL  (21.09.2024)
2:20:46
Просмотров 452 тыс.