😂😂😂😂😂 very nice...l have other one...muweke maji kwa chupa mbili ijae then chupa ya tatu muweke ifike katikati then iyo chupa muweka ikafika katika mkuwe mnarusha isimame kama zile zingine mbili..na mwenye atakuwa anarusha isimame anakimbia to eat chenye mtakuwa mumeprepare..nice one 😂😂😂