sheikh wangu kbx mungu ukupe umle wamyaka mingi nifayidike zaida wallah sheikh nakupenda kwa ajili ya Allah ni Shaff kutoka Rwanda mungu atukutanishe jana tutafutane kama ulivo sema
Hapana Asadullah(Simba wa Allah) ni Hamza Ibn Abdulmutwalib( Radhwiya Allahu 'Anhuu), Ammi yake Mtume Muhammad Swalallahu' Alayhi Wasalaam. Mashia ndiyo wanadai hivyo eti Ally ibn Abitwaliib(Radhwiya Allahu 'Anhuu) ndiye Asadullah.
Hamza ni simba wa Allah ndio lkn Ally ni zaidi ya simba wa Mwenyezi Mungu Msome Ally katika historia hasa vita vya khaybari khandaq swiffin na vingine vingi utamjua huyu Ally ni nani