Segere ni filamu inayomuhusu chifu (Gabo) ambae anaamua kupigania uhuru wa wanakijiji wake baada ya kijiji hicho kuvamiwa na mwekezaji ana roho mbaya, muuaji, mnafiki ambaye ana nia ya kufukuza kila mtu kijijini hapo ili aanze kuchimba madini ya dhahabu. #bongomovie #filamu
15 сен 2024