Oooh Hallelujah hallelujah 🔥 servant of God,,,,,,,,,,,, Bwana Yesu akutanguliee Mtumishi na Akuongezee Mafuta zaidi ya Roho Matakatifu Kwa huduma hii Wimbo umenigusa sanaa Kaka🙏🙏🙏🙏🙏🙏♥️♥️❣️❣️❣️🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nko hapa bwana zungumza nami usinifiche uso wako mm bado ni mtoto wako Mungu🥲🥲🥲 barikiwa son of God nisongeshe kiwango katika kukuimbia,,, pitia yangu pia barikiwa