Тёмный

Serikali kuifanyia mageuzi ya kibabe Tazara 

Mwananchi Digital
Подписаться 1 млн
Просмотров 1,1 тыс.
50% 1

Dar es Salaam. Ili kuongeza ufanisi katika usafirishaji mizigo kupitia reli, Serikali kupitia Wizara ya Uchukuzi imesema inafanya jitihada kuboresha Shirika la Reli la Tanzania na Zambia, (Tazara) kwa kuongeza uwezo wa idadi ya mizigo itakayosafirishwa na reli hiyo.
Kauli hiyo imetolewa leo na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile alipofanya ziara kwenye ofisi kuu za Tazara na baadaye kwenda katika karakana za shirika hilo zizizopo jijini Dar es Salaam.

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Просмотров 34 млн