Their relationship is their business till they come out .sisi tunawapenda hivyo hivyo bebi na bebii wa bebii keep it under the water confuse them till they learn to mind their business .❤️👌💯
Heartbreaks obina amepata kutoka kwa baby mamas na watu amedate ni mob ,on my side Obina ako comfortable kufanya kazi na huyu dem na stress nowadays hana ka apo nyuma , kuna possibility waendelee kufanya kazi akimtengeneza na kuchange kwao before waamue , i like the way wanakaa juu nowadays Obina hataji ladies eg Amba ray wakiwa life then heshima pia imekuja
Obinna hataji Amberay anymore because he is in a real relationship out of respect for his woman na si dwfb. If you are a true Obinna fan you’ll see very subtle clues in his videos especially pale with his kids. Y’all get excited over content but delulu is the solulu.
Nakwambia ambia alfu Kuna maumbwa eti ju wako Na nyash bdo wakatia Obinna Wa bebii shame on your nose you milayas kwani bebii Hana nn Kwanza yake n tight ndio mana Obina amempenda team bebii team gulf hoyeeee
@@KamammywasBusia yani awaamini kama kienyeji anaeza win roho ya obinna inko sure kuna watu waliongezuwa maji,kuna wenye pressure imepanda let them know na bado next year gari ingine inaununuliwa ,shamba na nyumba ndio wajinyonge poa😂😂
@@joanatima I think anaona bebii ataoccupy space yao Kwa life ya obi,,you know hataki aoe maybe because ya Yale mambo aliona akipitia ,, ni kahater chini ya maji ,
@@VillyVilluscheny e najua obbina wanadate chini ya maji n Ile ataki kutuonesha coz hao madem wengine watajam na yy mbaya sana ..bt atakuja kuweka public Kila mtu ajue ❤❤❤
Hakuna eti Madem wengine watajam cc Team bebii ndo akiruka bebii tko kama millions ttajam na yy vibaya xana Hao wengne n wapita njia tu bebii to the World
Omosh i think ni kawivu bt for real they love each other juu huwa wanasema hawataweka dating online na huwa anasema tutumie macho hapa mm nilijijazia kitambo sasa wale wa macho mjionee
Awa watu wana date bt chini ya maji ss wataki watu wajuwe sai lakini time itafika ukweli itaonekana atakama ni ww siwezi ona bwana yangu akipea mke mwigine mapenzi hivo obina ana mtu pia bebii ana mtu ss wako wawili wacha Mungu atende
You mean Oga making good memories with this lady is for content purposes only, na vile alisema tumuite dem wa Obinna, hawa ni couple by fire, obinna amenunulia gari, tena atamnunulia shamba, tena build her a house, tena .... yaani sisi hatukusoma ndio tukose kuelewa. We know there are opposing forces and -ve wishes, do you see Oga hurting our gal noò
@@Everlyne-r3bthe girl was given to Obinna by the parents on condition that she must grow or mature up before making a family but they are fighting our pressure of wanting them to marry soon and yet both are not ready yet.
Na sasa watu pia simutumie macho tu kwani obinna na bebii n watoto jamani ama obinna n mjinga abuyie bebii gari kama si wapenzi surely wakenya styly up he said several time he is in a good space finally he said he is in a very serious relationship period