Tangu nimuone huyu kijana Siku ya kimataifa ya vijana kaunti ya Kwale namfuatilia sana Mashairi ni kipaji na lugha imetulia kongole sana kaka Mungu amueke mahali pazuri mwendazake Prof.Ken Walibora
Swadakta ndugu! Kweli ni shairi ya aina yake ewe mola akuzidishie yako talanta. Na kwa mwendazake Ndugu Ken Twakupenda zaidi na kweli kidagaa na vingi vitabu vitabaki kama kumbukizi daima! KWAHERI PROF KEN WALIBORA
Naanza nazo salamu loreto habari zenu ....lovely intro........just subscribed ...hamisi wa mwagarashi rshi ndio la asili hamisi Ni la wakilishi...na hapa nime asili...likoni ndio naishi ....woow
Karibu Sana Kerubo Janice. Naomba kujua Jambo kutoka kwako. Nilitunga SHAIRI lilo husu kifo cha Mama Pamela Kerubo NTABO. Je una uhusiano na familia hii Dada.