Тёмный
No video :(

SHAMSA FORD AMCHAMBA AUNTY EZEKIEL/UNATEMBEA NA WATOTO WADOGO/MIMBA SIO YA KUSAH 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 202 тыс.
50% 1

#wasafi

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 341   
@reginajustin2432
@reginajustin2432 4 года назад
Nakupenda sana Dada saut yako naipendaga we star mkubwa tu
@sponsor7882
@sponsor7882 4 года назад
Eti sta
@bugdadiajm1832
@bugdadiajm1832 4 года назад
@@sponsor7882 Sidhani!!!!
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 4 года назад
Shamsa nakupenda
@zou7470
@zou7470 4 года назад
Kwel kbs na mim nampenda kwakwel
@mariamjohn87
@mariamjohn87 4 года назад
heeee
@sponsor7882
@sponsor7882 4 года назад
Ila kweli mademu wa bongo wamezidi na vibenten.
@fildaussadiki9773
@fildaussadiki9773 3 года назад
We mama nakupenda kinyama... Chausiku mwenzangu🥰🥰🥰🥰🥰🥰 nakupenda sana yani
@gracesanga5532
@gracesanga5532 4 года назад
Shamsa nakupenda sana staili yako ya maisha,uko kama mm vibenteini tupa kule
@thehearthealertv5241
@thehearthealertv5241 4 года назад
I just see the cuteness in her❤️❤️
@rachealkitawa2153
@rachealkitawa2153 4 года назад
vitoto vidongo dongo makubwa ya aunty anajua anacho pata kwa uyo mdongo mapenzi hisia 💃💃
@symelitawyra2220
@symelitawyra2220 4 года назад
Kabisaa
@aishahamisi2390
@aishahamisi2390 3 года назад
Umesema💯
@jacklineulomi7780
@jacklineulomi7780 4 года назад
Hahahaha asanteee shamsa nakupendaga wachanee hao
@gonga1986
@gonga1986 4 года назад
Shamsa it's nat right kum'judge mwenzio like that remember that none is parfect and we all gat our weaknesses...all in all every matured-person has a right to live the kind of life that he/she wishes to live as long as she chooses to and can afford..anae hisi niko sahihi thumbs up or nat thumbs down!!!
@pikolaizaog7303
@pikolaizaog7303 4 года назад
Aunty anamdundisha kama kitenesi 😀
@amanimanase5794
@amanimanase5794 4 года назад
Uongo mbaya uongeaji wa uyu Dada naupenda sana ungekuwa ndo mke wangu ukweli sauti yako ingekuwa yanibembeleza sana
@alickodaniel4611
@alickodaniel4611 4 года назад
Ukweli lazma usemwe bigup #shamsaford
@msophemsophe7944
@msophemsophe7944 4 года назад
Kwl kabisa
@graceyahurassa5321
@graceyahurassa5321 4 года назад
Tenaaaa
@ellynethmwaseba6199
@ellynethmwaseba6199 4 года назад
Kiki
@ashamduluh4674
@ashamduluh4674 4 года назад
@@msophemsophe7944 wanabaka watoto wawatu
@maryamjey6340
@maryamjey6340 4 года назад
Anatia aibu anty, hivi yeboyebo alivyompole🤔 maskini .
@waheedahtanzania5884
@waheedahtanzania5884 4 года назад
Shamsa mmhu MashAllaah unajua kunyoosha na Wala hupindishi😃
@zou7470
@zou7470 4 года назад
Yani shemusa kukupenda kam kote 😍😍😍
@YoungVee994
@YoungVee994 4 года назад
Mrembo Mpole Sauti weyeeee
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 года назад
Ya, young mpole
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 года назад
Ndio madela yanalipa mana siku hizi watu wanayavaa sana
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 года назад
Eti au na wee unatafuta chansi😂
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 года назад
Shamsa bana😁
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 года назад
Nayapendaga, hayo magar
@mumspencernleah8037
@mumspencernleah8037 4 года назад
Nakupenda bure shamsa😍😍😍😍
@Noah-se3ni
@Noah-se3ni 4 года назад
Ukweli hunauma Lakini unachokisema ni Kweli Kabisa. Watafute wanaume wa size yao. Wache Kabisa kuwamaliza wanaume wadogo.
@shanatatrigger6537
@shanatatrigger6537 4 года назад
Nani kaziona nguo kama za mke wapili wa Lukamba afu kama la Zuchu vile😂😂😅😂😂
@latifahjamal2999
@latifahjamal2999 4 года назад
Ila imempendeza shamsa. Yule kimbao mbao hapana🤣🤣🤣🤣
@henriettenkuba7078
@henriettenkuba7078 4 года назад
😀😀😀😀😀
@ameenasur656
@ameenasur656 4 года назад
Nimeziona 😆😆
@ivaniavianarodrigo7201
@ivaniavianarodrigo7201 4 года назад
nyie ndo washenzi wa tabia, angalia na zikiliza mahojiano na jifunze kitu.
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 4 года назад
Zimefanana maana hii Pana zuchu na mke2 wa lukamba ni nyembamba ila kapendeza Sana shamsaaa
@winnerhapila155
@winnerhapila155 2 года назад
👌yako yamekushinda ya wenzio huyawezi hayawani wewe umri namba👌 povu linakutoka
@christinapeterntibagiligwa2556
@christinapeterntibagiligwa2556 3 года назад
Mtoto anazalisha achen ujinga wamelithiana wenyewe mlienda kuchungulia mkaona Kama anambaka huyo kijana hakuwaona vijana wenzake,au mlienda kuchungulia mkaona Kama mbooo inagoma,wawil wakipendana adui Hana nafas anti mama shikilia kijana huyo naona povu linawatoka huku,Kama ulikua mzembe kitandani ongeza mama zungusha kiuno Kama feni, waachen wapendane,kwahiyo alivyo achana na baba kuki mlitaka akae bila kufanya akipe Nini Sasa,waaacheni jamaniiiiiiiiii
@mabyserolouchcraig2431
@mabyserolouchcraig2431 4 года назад
My Samsha😍
@naimasaid7763
@naimasaid7763 4 года назад
Ni kweli Ant kakosea lkn na ww shamsa punguza kulizungumzia hili, maana hata ww bado hujajua mbele yako, so punguza kulizungumzia kwenye media
@mwajumamohamed6426
@mwajumamohamed6426 4 года назад
Kakosea nn sasa kudate na kusah ama si maamuzi yake yy inamuhusu nn utopolo mtu
@naimasaid7763
@naimasaid7763 4 года назад
@@mwajumamohamed6426 Tatizo Ant kakurupuka yani alivyotoka kwa iyobo tu hakupumzika moja kwa moja kahamia kwenye mahusiano mengine mbaya zaidi kabeba na mimba, anahisi kama anamkomoa Iyobo kumbe anajikomoa mwenyewe, ilibidi akae kidg afikiri. Ok yetu macho
@maryamselemanabdalah4086
@maryamselemanabdalah4086 4 года назад
mohamed kweli utopolo yeye inamhusu nini
@naimasaid7763
@naimasaid7763 4 года назад
@@maryamselemanabdalah4086 Ndo hapo sasa, yani anamuongelea sana utafikiri yanamuhusu
@abdulazizsharif2984
@abdulazizsharif2984 4 года назад
@@naimasaid7763 haezi kuvumilia na kitu kinavibrate everytime
@renadachaguchagu2596
@renadachaguchagu2596 3 года назад
Nakupenda.bure mdada
@renadachaguchagu2596
@renadachaguchagu2596 3 года назад
Unajitambua
@hellenmanzi4740
@hellenmanzi4740 4 года назад
Mh shamsha acha umbea nawewe....!!c uache na maisha ya watu fight na madira yako umbea tu!!Mapenz hayana umri
@ciayobiayo4614
@ciayobiayo4614 3 года назад
Mueleze. Hajui huyu mnafiki
@anusiatajovin6249
@anusiatajovin6249 3 года назад
Mnashauriana ujinga cku ibiwa ww ndio nyie nyie mnatakaga kujiua
@marysiom6321
@marysiom6321 4 года назад
Dada acha wivu, MAISHA ya aunt yanakuhusu nini? MBONA umekereka sana na mausiano ya kusah na aunt?????
@sponsor7882
@sponsor7882 4 года назад
Amezidi aunt kutembea na watoto.
@kisalaTV
@kisalaTV 4 года назад
Wacha ampe ukweli , nifunue uchi wangu kwa vipaka poda phoooo sharmsha mpe ukweli wake huyo, kinyaa ki2pu bora nikalale na kizee kuliko mtu ane lingana na mdogo wangu wa mwisho💉🤨🤮
@dulla1hassan236
@dulla1hassan236 4 года назад
Na kweli anawivu na ni mwizi dada shamsa kanichukulia pesa zang na vijola hajanitumia ila tutaonana siku ya kiama dada jua hilo
@brownmaterial6751
@brownmaterial6751 4 года назад
@@dulla1hassan236 mmh huyo shamsa ulipa hiyo pesa mkononi maana sasaiv kunamatapeli wengi
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 3 года назад
Mary Simon wewe Malaya kama anti Ezekiel wewe unaona anachokifanya ni powa??
@happymaiga8940
@happymaiga8940 4 года назад
Yaan shamsa unavyoongea🤣🤣🤣 kweli nishoga ako mtaaongea tuuu 🤣🤣🤣
@kessynurutajiri4940
@kessynurutajiri4940 4 года назад
Shamsa nakupenda kwa ukweli wako, mchane tu Bi Mkubwa Aunt.
@zakyahya4645
@zakyahya4645 4 года назад
Wanawake kusemana sio vizur fanyeni maisha yenu kila mtu atizame maisha yeke ata km akiwa mtot mdogo ni yeye me sizani kama mtoto mdogo anaweza kumtia mimba mwanamke kusah sio mtoto unaroho mbaya wewe shamsa nilikua nakupenda lakini kwa kusema wenzio leo umeniboa umekua Juma lokole sasa sio poa ata akija achwa sio wewe aikuhusu na wala sio wa kwanza yeye aunt kuachwa
@sarahtony3937
@sarahtony3937 4 года назад
Nilikuwa nakupenda kumbe ni mbeya yanakuhusu nn kaishauri familia yako
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 года назад
EGE IS NOMBER
@sabrinasab2910
@sabrinasab2910 4 года назад
Bd tu shamsa unaendelea na auntezekel😄
@mwanaidiathumani2621
@mwanaidiathumani2621 4 года назад
Acha wivu wewe yanakuhusu nini wewe tafuta wakwak kikaragos wewe
@hadijagumbo92
@hadijagumbo92 4 года назад
Nilikuwa Nakupenda ila unafeli mambo yawatu hayakuhusu
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 4 года назад
Na yeye kapitiwa
@Tiktome1228
@Tiktome1228 4 года назад
Kesho unasikiaa wameibiana
@tinahjoseph5096
@tinahjoseph5096 4 года назад
na yy anamtaka huyo Kussah, kwan Kussah hakuona Aunt n mkubwa au ana macho, wawaache na mapenzi yao.
@anethjoakim8444
@anethjoakim8444 4 года назад
Shamsa amezungumza ukwel jaman tusijizalilishe embu kila mtu amweshimu Mungu, laan nyingine tunajipatia wenyewe kisa kisa mapenzi , mtu hufanikiwi ukija kutazama history ya life na matendo yako ndo unajua ulimkosea Mungu, ndomaan majanga yamekuwa mengi ndo Kama hivyo mapenzi yasiyokuwa na ustara, ushoga na Mambo mengine tujiulize mbona haya Mambo hayakuwa enzi hizo kwann kwa wakati huu tu yatupasa kumrudia Mungu
@shanishosho911
@shanishosho911 4 года назад
Rubi aliimba mapenzi hayana mwenyewe
@mussabaucha8175
@mussabaucha8175 4 года назад
Nakupenda shams a unapendeza manake hujichubui
@matildamkombachepa4320
@matildamkombachepa4320 4 года назад
Ni kweli kabisa anaharibu watoto wa watu, sijui haoni aibu ,yaani umenifurahisha sana Shamsa huu ni uungwana
@ramadhanimdugilo8094
@ramadhanimdugilo8094 2 года назад
Ww shamsa wivu hui achaaaa
@user-mm5tf7yn6p
@user-mm5tf7yn6p 4 года назад
Mwenzako agikosa mutiye pembeni umupe ushauri siyo vizuri ata uriongea ukweri 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@alal745
@alal745 4 года назад
Shamsa umeanza kua Juna lokole,,,, xaxa issue za Auntie Ezekiel za kuhusu ni wewe😄😄😄😄🤫🤫
@mamaikram9612
@mamaikram9612 4 года назад
Tulia we tusikilize ubuyu
@sifaovyo7058
@sifaovyo7058 4 года назад
Nikweli jamani looo watuwamezini kuwa mwagia raziwadogozao jamani kaa
@symelitawyra2220
@symelitawyra2220 4 года назад
Nammshangaaa mbn asiseme yake
@symelitawyra2220
@symelitawyra2220 4 года назад
Shamsa una nn lkn
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 4 года назад
Muache amchambe
@saadamohd7976
@saadamohd7976 4 года назад
Ckiliza hata huyo cmba alitolewa na wema waacheni jamani na mapenzi yao. Umri ni namba mapenzi majani yake yameota hapo
@dggxxxxfgff3876
@dggxxxxfgff3876 4 года назад
Shemsa ni muswahili sana😂😂😂unangngana
@jaclecia3279
@jaclecia3279 4 года назад
Dada local hyu ni mdananda anatafua kushindana na aunt mweny miradi yake hataweza wapi anadandia sana wanaomjua m/mymala na kinondoni wanaelewa naongea nini
@subirahkhamis4869
@subirahkhamis4869 3 года назад
Nakupenda dada
@zaitunisinamenye1799
@zaitunisinamenye1799 4 года назад
Azungumze maisha yake, mbona yeye ameacika?sasa mbona rashidi mumeacana?mapenzi hayaingiliwi
@anethjoakim8444
@anethjoakim8444 4 года назад
Embu kuwa mwelewa Zaituni, Kama umemsikiliza vzr shamsa point yake watu wasitembee na watoto wadogo na si watoto tu hata vijana wasitembee na watu waliowazidi umri wengine ni mama na baba zetu tunaweka laana katika vizazi vinavyokuja jamani embu ifike mahala tumwogope Mungu wetu
@hadijasaidi7709
@hadijasaidi7709 4 года назад
Kweli kabisa yeye mbona aliolewa na waumri wake yameshinda .?huyu anavisa vyake km niumalaya wote ni wamalaya yeye mwenye hana mume ni mdangaji km anaemsema yani wabongo kutwa kuchambana mitandaoni wanaona sifa sijui nini mfanye muolewe mkazikamatie ndoa zenu namisifa yenu wanawake wazuri alafu hamna bahati yakudumu na ndoa nanyie wanaume muwaowe hawa sio mmawasifia tuunakuwahoji tuu hivi hamuwiani km wanahitaji nusura.?
@sarahtony3937
@sarahtony3937 4 года назад
Safi sana
@hadijasaidi7709
@hadijasaidi7709 4 года назад
@@anethjoakim8444 swala sio wasitembee waache uzinifu waolewe na watulie na waume zao Kwani wananini hao mpaka hawakai kitako kwa waume zao .?
@upendozahaki304
@upendozahaki304 4 года назад
kusa mtoto mtoto anatia mimba acha kuingilia maisha ya watu yasokuhusu
@suleimansalim8744
@suleimansalim8744 4 года назад
Shamsa umependezaa umejistrii vemaaa
@sofiasofia7557
@sofiasofia7557 3 года назад
Acha kuingilia maisha ya mwenzako kwani huwezi kunyamaza mpaka useme mtandaoni
@alimashabani2252
@alimashabani2252 2 года назад
Ebu mumu shauri mondi kwazari nachamte nabisandra mapenzi ayana umri
@bennamush5856
@bennamush5856 2 года назад
Kwani wewe maisha ya watu yanakuhusu Nini acha wivu usiyokuwa maana mwenzako kapendwaa kaa kushoto hukoo Mimi unaniudhi kuongelea familia za watu vibaya Kama vip na wewe Kama unateseka tafuta kibenten chako acha kusumbua watu chefuu
@ThiagoMessi10-f4g
@ThiagoMessi10-f4g 4 года назад
Age is just a number we believe in true love
@ndzmah47ali6
@ndzmah47ali6 4 года назад
Wabongo kwa kufatiliana Maisha munapenda sana.kama wataka kumpa ukweli kwanini usimfate ukaenda kumwambia mwenywe iweje utangaze😏😏😏😏😏😏
@fatumaally3266
@fatumaally3266 4 года назад
We shamsa achana na maisha ya ant mbona wewe ulimzidi sana chd
@priscapaschal9068
@priscapaschal9068 3 года назад
Kweli kabisa aunt atalia
@marynestory7462
@marynestory7462 4 года назад
Hunalolote unampenda kusah roho inakuuma, nampenda sana ant
@marleybobbrown1362
@marleybobbrown1362 2 года назад
Sis I like you
@mumspencernleah8037
@mumspencernleah8037 4 года назад
Hapo ndio shugurih wallah 🤣🤣🤣😂😂😂😂😁😆
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 года назад
Kumbe mtangazaj yupo wasap namuonaga Sana umu washa Anza vuma watangazaj wa wasafi
@sesyurio7609
@sesyurio7609 4 года назад
Usimjaji mtu na maisha Yake
@monicalorry9849
@monicalorry9849 4 года назад
Shamsa vibaya hivyo kuzungumzia maisha ya mwenzako afu sio we pekee unayeyajua hayo mbona wengine wasiseme afu hayo ni mapenzi hayaingiliwi na wala hayana umri waache wenzio
@nassorsada213
@nassorsada213 4 года назад
Ukwel siku zote unauma mwaya shamsa umeongea point Bongo movie acheni kubaka watoto wa wenzenu
@gullaalex6590
@gullaalex6590 4 года назад
🤓🤓
@josephinepeters909
@josephinepeters909 4 года назад
Hii jmnii
@aishahamisi2390
@aishahamisi2390 3 года назад
Shamsa mapenzi hayana udogo wala ukubwa, haanzi anty ezekiel, na mapenzi hayana umaskini wala utajiri dada
@juliusakida6272
@juliusakida6272 4 года назад
HAO WOTE NI WALE WALE.TU,HAKUNA STAA WAKIKE YOYOTE HAPA TZ, MWENYE MAADILI,WOTE WAMEOZA HAO
@sadruhsnowwhite668
@sadruhsnowwhite668 4 года назад
Saw
@elizabethnorbet9339
@elizabethnorbet9339 4 года назад
Shamsa mkavu jamn kha😂😂😂😂😂 hana hata wasiwasi anaongea afu taratibu😂😂😂😂
@vanessacute5766
@vanessacute5766 4 года назад
Yani hana wasiwas kawaida🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@leylamohamed9939
@leylamohamed9939 4 года назад
Nimempenda, yaani hana stress kabisa amerelax
@neeysahbenson3467
@neeysahbenson3467 4 года назад
Hiii ni Kiki au wameamliana tuu🙄🙄🤣🤣🤣🚶🏿‍♀️
@sekelamwangosi3289
@sekelamwangosi3289 4 года назад
Afu mi naona kiki kabisaa
@sherin3171
@sherin3171 4 года назад
True... ata huyu pia atafuta kiki.. mbona wa yobo hakusema
@neeysahbenson3467
@neeysahbenson3467 4 года назад
Sekela Mwangosi umewaza kama mm
@neeysahbenson3467
@neeysahbenson3467 4 года назад
Saumu Kadzo si ndio hapo sasa akat na iyobo nae ni mtoto🤣
@neeysahbenson3467
@neeysahbenson3467 4 года назад
Modrin Maufi mmh
@cellyjoseph5382
@cellyjoseph5382 4 года назад
Shamsa unakosea mwanaume anaezalisha sio mtoto huyo..Na mapenzi hayana umri kikubwa kuridhiana na unaposema hana kitu hafai kuwa na Aunty mahusiano hayaangalii hayo wapo wanawake wengi tu wana uwezo zaidi ya waume zao na maisha yanaendelea na wanaheshimiana...kwa hiyo waache Watu Na maisha yao hakuna aliekamilika hata wewe unayo mapungufu yako..mimi binafsi mume wangu nimempita umri namheshimu sana sana Ndio kichwa cha familia mwanaume hata awe mdogo kiumri ni mkubwa kwa mkewe Ndio utaratibu
@bintiiddy7043
@bintiiddy7043 4 года назад
😂😂😂me vile spendagi viwanaume vidogo dogo Mumgu niepshe na vibe 10
@zaerajuma9159
@zaerajuma9159 4 года назад
Watoto njo wazuri
@roselinebernard1421
@roselinebernard1421 4 года назад
Kama mm
@kingssports157
@kingssports157 4 года назад
KAMA WEWE NI TIMU AUNTY EZEKIEL PIGA KELELEEE SUBSCRIBE NA KWANGU MTU WANGU
@olivervalentino9788
@olivervalentino9788 3 года назад
🙌🙌
@samiasaidy4841
@samiasaidy4841 3 года назад
Walaaaaaaaaà mpenda vibenteni uyo
@mwajabuhamis6234
@mwajabuhamis6234 4 года назад
Love u shamsa
@mjasiriamalishupavulailamu7163
@mjasiriamalishupavulailamu7163 4 года назад
Nataka dira hilo nipe no ili unitumie hill dira liko poa
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 3 года назад
Nimesoma comments nimegundua wanawake wa bongo asilimia kubwa mnatupenda kudet na wadogo zenu
@abdallahmwanyende2208
@abdallahmwanyende2208 4 года назад
Hili dada zuri kinoma aisee
@youngsimbawcb1814
@youngsimbawcb1814 4 года назад
Acha ufalaaa,,,,,,,,shamsa
@sadikimwalongo7871
@sadikimwalongo7871 4 года назад
wanawake wa bongo move mmelaaniwa sana humo vichwani mwenu mnaisha na shetani
@paskiislaa5592
@paskiislaa5592 4 года назад
Nakupenda sanaaaaa
@mahewamahewa6461
@mahewamahewa6461 4 года назад
Yakwenu mmeyakalia
@grolyqueen5833
@grolyqueen5833 4 года назад
Sasa wew ulichokosea ni kumuanikaa kwenye media kwanin usimwambie mkiwa face to face 🤔
@alimairakoze3784
@alimairakoze3784 4 года назад
🤔
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 года назад
Mi nampenda tu shamsa 🥰
@juniorsmart2483
@juniorsmart2483 4 года назад
Kama kamtia mimba huyo x mtt, na mapenzi hayaangalii umri miaka ya mtu ni namba2,huo ni wivu2 achana na maisha ya watu we!!
@mussajuma7460
@mussajuma7460 4 года назад
Vua miwani unapofanya interview hiyo ni heshima kwa watazamaji
@roselinebernard1421
@roselinebernard1421 4 года назад
Nimefiruhai hapo mm sipend vitoto naona unaegemea gari langu
@bbb6nnn561
@bbb6nnn561 4 года назад
Wajiamini kweli shemsa kweli bora tu kumwambia ukweli
@rosegasto6665
@rosegasto6665 4 года назад
Nakupendaga tuu shamsaaa ukweli upewe nafasi hahhahhahaha
@adijaniyonkuru9731
@adijaniyonkuru9731 4 года назад
Shamsha kasema kweli. Utakuta mimba siyo ya kwisa. Auntie Ezekiel danga la mjini
@btskookie4453
@btskookie4453 4 года назад
kusah bhn sio kwisa😅😅
@mariamuthobias4836
@mariamuthobias4836 4 года назад
Siyo kwisa ni kusa
@abbaskeyah2287
@abbaskeyah2287 4 года назад
Kwani kulikoni mosey yobo kapigwa kibuti vipi
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 4 года назад
Mambo hayoooo 👌👌👌👌👌👌
@ashayassin2406
@ashayassin2406 3 года назад
Nakupenda Shamsa umempa ukweli aunt ata akuchukie ukweli ushampa
@honeymakeovertzmakeupartis3451
@honeymakeovertzmakeupartis3451 3 года назад
Kabsa samsha umeongea ukwer wasanii hawana kitu zaid ya midudu hyo.....
@georgekishuke5518
@georgekishuke5518 4 года назад
...#onelove.
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 года назад
Wote wadangaji nyinyi 😂😂😂
@neemaelieza6958
@neemaelieza6958 3 года назад
Sijaelewa unaongelea umri au kipato?
@barackhuncho2432
@barackhuncho2432 4 года назад
Oooooh kumbee
@hadijagumbo92
@hadijagumbo92 4 года назад
Ww ilikuwa unamtaka kusa
@jorgettemwajuma5428
@jorgettemwajuma5428 3 года назад
Ni mependa umevyo sema da shemsa
@hawa4968
@hawa4968 4 года назад
Mimi naomba NAMBAR yake nataka nifunguw madira pambe Zanzibar
@maryamjey6340
@maryamjey6340 4 года назад
Anaitwa Shamsa , Huyo dadako anatia aibu. 😄😅 anazungusha sana nyau😅
@zamoyonimohamedimam1695
@zamoyonimohamedimam1695 4 года назад
Nataka hyo baibui naipataje shamsa
@imaculatebite8568
@imaculatebite8568 3 года назад
💕💕💕💕💕💕 shamsa
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 4 года назад
Shemsa Ford unachamba sana 😁😁😁😁😁
@mosekombo3657
@mosekombo3657 4 года назад
Ww shamsa kumbe mshari hvyo
@estherminnahboaz6956
@estherminnahboaz6956 4 года назад
Nampenda shamsa
@mejumaaharunigaluzagaluza9249
@mejumaaharunigaluzagaluza9249 3 года назад
Lipi la ajabu alianza bi khadija zamani watu wanafata sunna ya mtume
@mwanawetuabdallah7925
@mwanawetuabdallah7925 3 года назад
Hana ujinga aunt muache adharirike
Далее
Cikakken Tarihin Hadiza Gabon
6:20
Просмотров 190
MBUNGE ANATAKA TENA
8:32
Просмотров 559 тыс.