Happy to see Senior Dave back at work.aki nililia when I show mark beating Dave,but Dave know that when God wants to take you to another level such things happen.Dave Know that God loves you
deve please ambia jay rafiki yako akuletee pastor mwenye aliombea office yake nimekwambia mara nyingi lkn unapuuza tu, kuna uchawi hapo kwa office yako please please fanya ivyo
S dave talk to the pastor ule mulieda kanisa yake mukiwa team yote .Akupe announting oil na holy bible uweke karibu na mlango ya studio ndio evil spirits zote zitoweke
Yaani mtu akitunzwa vizuri, vibaya, mtu akikosa chakula vibaya, yaani jamani!! What's wrong with people!! I can't just understand how devil lives.. So sad 😭😭
Heee Dave pole san umeingiliwa na shetani yamwanamke heeee😢😢malaya muuwaji .ona sura yake mbaya kwanza🤧Abraham pole san ila baadhi ya ladies kenyan mna cheat san daaaah🤧🤧🇧🇮🇨🇦🧚♂️
Dave be a prayerful person....keep calling God all the time...He has been fighting for you and He will continue. Your work is ordained to reveal evil and killing of innocent people. Be strong
Davi kwanza hiyo kufungia watu hapo eti sijui kunguni na siafu, inaweza kukugeuka mbaya. I have heard the two officer wakikuuliza "Yani unafungia watu hapa, n unajibu yes.
Mwili si mwili italingana na vile unaji behave Kwani sisi tuko hiyo miaka yote mbona hatujakufa pumbavu wewe cjui mbona ninaona huyo mwanamke anakaa TU wa club na anaonekana kuwa na kamundundu Anakaa kuwa damu yake Iko na sumu 😢😢😢😢
True send videos live because we can see many things when things are happening. Like when you called tom Kwa office he wanted to sit close to the so called mother in law. Tom alikuwa anamfinya hapo side. And I think alikuwa anamwambia alushe hiyo powder Kwa macho yenu. And again kuna kitu iliangushwa hapo chini alafu tom akasignal hiyo mother in law akaisukuma Yuma ya kiti. Kitu ilikuwa kama yama or small intestines.
Senior Dave ...we hujui ,, umemturn off haraka Sana...ju ni information unataka..mtu huzubaishwa Hadi last minute ukishapata full info ndio unamturn off kinyavumbu...
Huyu dem NI muuaji...hutu tudem twa siku izi...Kwani ni tudevill aje!!!! Sasa huyo mama WA watu jameni..😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 nahisi vibaya .. msichana usiwahi pata Amani Kwa Maisha yako...nakizazi chako...wewe..
Mali safi mafi ya kuua n kuangamiza family uyu anajua place dad in law ako afinywe 😢😢what's goes around comes around jamaa wa Qatar anakwamilia kwa jina baibe while mum is missing 😢
Malaya hii Kama Mimi nilienda Sudan for good 4years Believe me nilirudi kenya kijijini kwetu nyumbani kwangu Nilimpata my lovely wife and my handsome baby girl Wakiwa salama bila shida yeyote wala akuna mwanaume aliwai kupisha mlango ata Simu yake haikuwai pigiwa na wrong number