Тёмный

SHEIKH ALHAD AZUA GUMZO MSIKITINI AKITOA SHUKRAN, MAZISHI YA SHEIKH ADAM AHMAD 

BABDEO MILADU
Подписаться 257 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Mazishi ya Sheikh Adam Ahmad, Msikiti wa Kichangani Magomeni Dar Es salaam. Yalifanyika tarehe 19/07/2024, alifariki tarahe 18/07/2024 Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Na amezikwa Makaburi ya MwinyiMkuu Magomeni Mapipa.
Follow Us On:
INSTAGRAM: / miladu_tv
FACEBOOK: / babdeo miladu/
TIKTOK: www.tiktok.com...
RU-vid: / @babdeomiladu

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 40   
@AleiHadji-js3ed
@AleiHadji-js3ed 2 месяца назад
SHEKHE wa Mkoa Piga Dua sanaaa Allah atakulipa kila la kherry na Utafika mbali ondoa hofuuu❤❤❤❤❤
@JUBRANBULAYHl-yb4ke
@JUBRANBULAYHl-yb4ke 2 месяца назад
Na maisha yetu, wala usinipe dhulma ya walio dhulumu yameondolewa kwetu, kwa kuwa sisi tunajifunga nyinyi kama mnavyojifunga, basi mjue anayemjia na adhabu, naye atadhalilika. Mola, ni nini kitokacho kwa mwenye kushuka, isipokuwa kinachukua pamoja na matamanio yake, Ikiwa Mola wangu yuko juu ya Mislaq, ni kwamba Mola wangu yuko juu yao wote الم الم الم الم Na uadilifu wa Yaaqub aliyekufuru na akaizuilia njia ya Mwenyezi Mungu peke yao, hao ndio njia zao. Hiyo ni sadaka ya Mwenyezi Mungu kwa watu wanaofanana nao. kwa hivyo wao ni baada yako, lakini watakuwa wao kwa wao. Na mkishinda, Mwenyezi Mungu akubariki Walichukia aliyoyateremsha Mwenyezi Mungu, basi akabatilisha vitendo vyao, ewe Mwenyezi Mungu, muangamize kila dhalimu, dhalimu dhalimu juu ya ardhi na chini ya mbingu, kwa ajili ya Muhammad, swalah na salamu za Mwenyezi Mungu zimshukie yeye na familia yake na maswahaba zake Uamuzi wa maneno na ubainifu kuhusu waja wako wema na hukumu baina yao kwa haki, uadilifu, na uadilifu walimwengu.☝☝🤲🤲☝☝
@MwanaidiJuma-hw8tb
@MwanaidiJuma-hw8tb 2 месяца назад
Sheikh walid Allah akupe afya njema na umri mrefu nakupenda ❤❤❤❤❤
@ramadhanaldawiyya8659
@ramadhanaldawiyya8659 2 месяца назад
MIMI NAMPENDA SANA SANA SANA SHEIK ALHAD,NAMPENDA KWA AJILI YA ALLAH ( S.W),NATAMANI SANA SIKU NIONANE NAE INSHA ALLAH NIKIWA NA FAMILY YANGU,NA PIA KUMUOMBEA DUA MWANANGU MDOGO.NINAHAMU MWANANGU AWE MFASAHA,MAARIFA,Taqwa,ELMU,ubunifu NA UVUMILIVU KAMA WA SHEIKH ALHAD
@saidsafari2814
@saidsafari2814 2 месяца назад
Allah yupi?
@Mahmud-g1p
@Mahmud-g1p Месяц назад
Mashallah ipo siku Allah atatimiza ndoto yako
@Mahmud-g1p
@Mahmud-g1p Месяц назад
Mashallah ipo siku Allah atatimiza ndoto zako
@AdamYussuf-bd6sh
@AdamYussuf-bd6sh 2 месяца назад
Kuweni na adam na mashekhe usimhukumu mtu wewe na mimi tuombe matendo mazuri na mwisho mwema ukiona mwenzako kateleta mfate mrekebisha siyo kumdhalilisha kwenye mtandao tuiogope siku ya mwisho wewe na mimi inshaallah.
@khamisswalehe
@khamisswalehe 2 месяца назад
shekh kishki ni mtu wa nyiradi mashallah
@kondomrisho8776
@kondomrisho8776 2 месяца назад
Ulimi ulimi ulimi ulimi 😢😢
@hassanmpwepwe3826
@hassanmpwepwe3826 2 месяца назад
Inna lillahy wainna lillahy rajiuun
@ayoubrashid8392
@ayoubrashid8392 2 месяца назад
Daah anamdhalilisha kwenye watu wengi hivo Allah amsamehe uyo jamaa
@omarimavura8407
@omarimavura8407 2 месяца назад
Tabia za kuoa na kuacha mabinti za waislamu ni Uharibifu sana, Sijui wanatumia Fatwa zipi. Dah
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 месяца назад
Huyu anaonekana bado ana kinyongo na sheikh Walid ambaye kwasasa ni sheikh wa Mkoa
@OfficialA83640
@OfficialA83640 2 месяца назад
Hujaona walivyopeana mafumbo kuhusu kutembea na bastola😂
@RamadhaniAlly-wu8wv
@RamadhaniAlly-wu8wv 2 месяца назад
Umesema kweli anatamani neema ya mwenzake imtoke utani hapa si mahala paka. Anakinyongo
@KassimMiagi
@KassimMiagi 2 месяца назад
Huyu sio mzima kiukweli😂
@IssaHamisi-z2v
@IssaHamisi-z2v 2 месяца назад
Shekhe unaziguwa
@YussufPandu-es7ou
@YussufPandu-es7ou 2 месяца назад
ALHADI NAMKUMBUKA KWA ZILE KAULI ZAKE ZA KUKUFURU ALIPOSEMA MAKUFULI NI BORA KULIKO NABII ISSA NA MTUME WETU MJHAMMAD,,,DAA ANANIPA WAKATI MGUMU KUWEZA KUWAMINI HUYU NI SHEHE,NA PALE ALIPOSEMA ALELUYA ALELUYA NI SAWA KUSEMA LAILAHA ILA LLA,,DUU HUYU JAMAA ALHADI ANATIA KJCHEFU CHEFU NA ULE UGOMVI WAKE NA SHEHE WETU KIPENZI MUHAMMAD ALIPOMWAMBIA MSHAMBA KAMKARIBISHA YEYE HAPA MJINI NA ALIKUJA NA MFUKO WA RAMBO KUTOKA KIJIJINI
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 месяца назад
Hasad mbaya jamani
@ayoubrashid8392
@ayoubrashid8392 2 месяца назад
Amemvunjia heshima
@amanisalum1638
@amanisalum1638 2 месяца назад
Sasa huyu mtu kwenye shukran analeta upuuzi wa Bastola inahusu Nini? Tatizo alidhania kile cheo atazikwa nacho. Ana kijicho,husda na fitani.
@SultanMohamed-q9z
@SultanMohamed-q9z 2 месяца назад
Usimkosoe hakusema kwa nia ya ISTIDHAI hao wanajuana halafu hao ni ndugu hakusema BAYA HAPO
@SultanMohamed-q9z
@SultanMohamed-q9z 2 месяца назад
Wote hao ni ndugu zangu wamepokeza kijiti tuu CHEO NI DHAMANA Kila mtu ana haki ya kuwa KIONGOZI Kama ana sifa zinahitajika.
@nouraynaasheikhunkabir3749
@nouraynaasheikhunkabir3749 2 месяца назад
Watu wa kisiju tunajuana utani ni jadi yetu
@IssaHamisi-z2v
@IssaHamisi-z2v 2 месяца назад
@@amanisalum1638 nimemdharau kwa maneno yake ya kijinga mbele ya viongozi wakuu wadini halafu ndani ya simanzi kubwa ya msiba tena msiba mkwe wake akili hazikufanya kazi kwa pale aisee
@NunuKupela
@NunuKupela 2 месяца назад
Yan husda inamtokota Yan anashindwa kujizuia baada ya mwenzio kutoa history yake nae anajikosesha sifa na Imani
@FatumaSaid-t4r
@FatumaSaid-t4r 2 месяца назад
Inapendeza.mashehe wetu mshikane ,na penye itlafu zisiwe endelevu
@HassaniMteteni
@HassaniMteteni 2 месяца назад
Binafsi hapo sjaona baya Kwanzaa kasema wao wanajuana
@IssaHamisi-z2v
@IssaHamisi-z2v 2 месяца назад
@@HassaniMteteni ndugu tizama watu wapo katika hali gani halafu pia ni mkwe wake
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 2 месяца назад
Huyo bint wa Sheikh Adam ulimuacha muda mrefu kila siku unaoa na kuacha
@HusseinSaguti-sj9nh
@HusseinSaguti-sj9nh 2 месяца назад
Naaende zake Alitumiwa vbaya sn
@muhudhariomari9238
@muhudhariomari9238 2 месяца назад
لا تتبع الجنازة بصوت ولا نار
@saidsalim4524
@saidsalim4524 2 месяца назад
Jamaa kichwani mwake nahisi kumejaa funzaa
@ramadhandiwani3410
@ramadhandiwani3410 2 месяца назад
Huyu alhadi katania lkn kama anajambo kwa mwenzie
@hishamally4846
@hishamally4846 2 месяца назад
Mambi nakshi manii
@HaririHamisi
@HaririHamisi 2 месяца назад
muislam mwenzako akikosea mpe udhuru hata mara 70
@mwaramially2651
@mwaramially2651 2 месяца назад
Hajitambui huyu na nafasi hana tena abaki na husda zake tu
@KhalidAlly-je8ky
@KhalidAlly-je8ky 2 месяца назад
Chuki zanini wewe Alhaadi
Далее
小丑调戏黑天使的后果#short #angel #clown
00:16
TAWASUL QADIRIYYA - SHEIKH MKOYOGOLE
1:01:14
Просмотров 52 тыс.
MAMBO YALIYOZUSHWA KATIKA MAZISHI SHEKHE NASSORO BACHU
56:06
小丑调戏黑天使的后果#short #angel #clown
00:16