Shekhe umenena baba! Binafsi nimeyapenda mno haya mahubiri. Mungu akujaze hekima, busara na wepesi wa maisha. Naam akujalie mbingu kwa ujira wa hii kazi ambayo kwakweli ni kazi yake mwenyewe (Mola)
Wallah sheikh hili swala la nyta naomba mlisemee Sana mana sai.. Kuna hata watu wanadai waganga wavitabu na Hao ndo wanaokuja na issue za nyota na makombe
Mashaalah namuomba Allah akupeni maisha marefu mashekh wote wa mahaasin tv na wanazuoni wote duniani mzidi kutupatia daawa na kwa uwezo wa Allah tutabadilika inshaalah.