Тёмный

SHEIKH AULIZWA SWALI ZITO JE MASHIA NI WAISLAMU NANI MWANAZUONI WAO, JE MAIBADHI MWANAZUONI WAO NANI 

KHIDMA TV
Подписаться 41 тыс.
Просмотров 5 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 97   
@moestate9982
@moestate9982 День назад
Unaweza akawa mshia na akawa na hofu ya mungu na akapambania dini yake na unaweza ukawa msuni ukawa huna hofu ya mungu ukawa mnafiki usiweza hata kuipambania dini ya mungu kma tunavyowaona baadhi yao madhehebu sio sababu hizo ni tabia za mtu binafsi
@ahmadseaman3487
@ahmadseaman3487 День назад
Allah akbar
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 2 дня назад
Sina Elimu kubwa ya dini ila ALLAH ndie anajua zaidi. Lakini hao mnawanyooshea vidole ndo wanaopambana na madhalimu wa magharibi. Kuhakikisha waisilamu hawadhulumiwi.
@jumamaulid3577
@jumamaulid3577 День назад
Safi kabisa mashia ni watu wenye kufanya uislam uheshimike
@9119-r4t
@9119-r4t День назад
Soma wewe wacha kuropokwa
@jumamaulid3577
@jumamaulid3577 21 час назад
Mashia elimu Yao kubwa wanaifata elimu ya mtume an imam ali na ndie mtume mwenyew kwa dhahir kuwa Mimi n jiji la elimu na ali n mlango wake na anayetaka elimu na apite mlangon mwake wewe unaejifnya msomi elimu yako unaitoa kwa kiongoz yupi ambae mtume aliyemtaja kam anaelimu?
@jumamaulid3577
@jumamaulid3577 21 час назад
Unafiki mwngi saiv umepandkizwa kwenye din nyie mnajfnya mnawatetea masuni viongoz wenu wanawafaa nn watu wa Palestine zaid kula bata 😂 sis tupo zetu iran watu safi unafiki c hatuna
@MadieMtimbuka
@MadieMtimbuka Час назад
@@Aziz-p6s kupambana na madhalimu kama vp?
@hamynas
@hamynas 3 дня назад
je kama ktk vitabu vya masuni imeandika kuwa MAMA AISHA ALIRIPOTIWA KUWA KUNA SURA NZIMA INAITWA SURATUL RAJM ILILILIWA NA MBUZI NA MPAKA LEO HAIJAONEKANA...JE MASUNI SIYO WAISLAMU KWA SWALA HILO
@KoleYasini
@KoleYasini 3 дня назад
Kaachini usome uislamu ulio sahii..
@mtutulaclassic6207
@mtutulaclassic6207 3 дня назад
Hiyo ndokwanza nakusikia wews mshia acha uzushi mbuzi wa blue wewe
@hamynas
@hamynas 2 дня назад
@@KoleYasini wewe unesoma, jibu swali basi?au na wewe juha tuu unaficha ujuha wako kwa kuniambia nikasome?nimeshasoma nimekuta hiyo hadithi,nifafanulie sasa msomi wetu?
@azizaj776
@azizaj776 18 часов назад
@@KoleYasini, Jibu hoja acha kukurubuka imeandika kwenye VITABU VYENU acha kujitetea pasipo na hoja
@azizaj776
@azizaj776 18 часов назад
@@mtutulaclassic6207, Huna hoja jibu kwa kashfa huna elimu umelishwa matango pori
@soudsoud335
@soudsoud335 14 часов назад
Je ili uwe muislam uwe dhehebu gani na Mtume muhammad (S.A.W) alikua dhehebu gani?
@SalumMusafiri
@SalumMusafiri День назад
Tafauti ya sunni na shia ni yawapi Wote wamoja mtume hakuwacha shia ama sunni
@isaackmlayy6228
@isaackmlayy6228 День назад
waislamu tumieni iman naakili kwasababu akili ulipewa na mungu
@hamynas
@hamynas 3 дня назад
vitabu vya kisuni vinavyonukuu kuran kupungua ni hivi hapa 1. Sunan Ibne Majah, Volume 2, Page 39, Published Karachi. 2. Musnad Imam Ahmad, Volume 6, Page 269, Published Beirut. 3. Taweel Mukhtalif Al hadees, Page 310, Published Beirut
@rahmahamisi6021
@rahmahamisi6021 2 дня назад
Taja milango (Chapters) )باب ya hizo hadithi Kwa kila kitabu, ili iwe rahisi Kwa asiyekuwa na publication hizo atafute kupitia chapters.
@hamynas
@hamynas 2 дня назад
@@rahmahamisi6021 we mgeni wa rejea? usiogelee maji usiyoyaweza tafadhali
@hamynas
@hamynas 2 дня назад
@@rahmahamisi6021 hata unachouliza hukijui maskini ya mungu,umewekewa unachouliza bado unauliza kiko wapi?duh ujahili kitu ngumu saana
@hamynas
@hamynas 3 дня назад
shekhe ana mbwembwe saana
@hamisimkoma7380
@hamisimkoma7380 3 дня назад
Mawahabi wote maarufu kama answaru sunnah sio waislamu bali ni makafiri
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 3 дня назад
MASHIA NI MAKAFIRI PERIOD 😢😢😢😢😢😢TAQIYA
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 дня назад
@@hamisimkoma7380 ukafiri wao ni nini au waropokwa tuuh unamjjuwa kafiri ni mtu wa aina gani ww au unatoa hukumu waropoka tuuh hujui haya maneno utakwenda kujibia mbele ya allah ukiambiwa thibitisha ukafiri wao ni nini utasemaje
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 3 дня назад
Acha jazba zaki shaytwan hakuna mawahabi bali kuna waisilamu wahabi jina la mtu ilo naso Dini jazba zako pereka kanisani
@MadieMtimbuka
@MadieMtimbuka 2 дня назад
@@hamisimkoma7380 watu shida na Imani zao
@mizumo6935
@mizumo6935 20 минут назад
SHEIKH HUYU ANAYO MAARIFA MAKUBWA SANA HUYU
@azizaj776
@azizaj776 18 часов назад
Nenda kawaulize Palestina watakujibu
@9119-r4t
@9119-r4t День назад
Wewe waruka ruka.jibu waislamu ama la. Kwa mtizamo sio waislamu
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 2 дня назад
Wote ni waisilamu haya mengine ni maneno tu. Mapungufu km binaadamu ni lazima. Leo hii saudia wana ligi ya mpira wana mamiss. Wanafukwe watu kukaa uchi gonna linauzwa umo. So hii ni dunia tu
@MohammedSaid-zk7yg
@MohammedSaid-zk7yg 3 дня назад
Nyinyi wenyewe mliokaa hapo nyote hapo ni washirikina kwa msimamo wa kiwahabi 😂😂😂😂😂
@abdallahkaskas6168
@abdallahkaskas6168 3 дня назад
😂😂we jamaa ww..
@MohammedSaid-zk7yg
@MohammedSaid-zk7yg 3 дня назад
@@abdallahkaskas6168 aakh maana naona wanahukumu wenziwao wao tuu,ukimuona mwenzio kapotea na yeye ndio anakuona wewe ndio muovu kabisaaa
@DuniaHassan-p8v
@DuniaHassan-p8v 2 дня назад
Soma kwanza ndo ujue ukwel upo wapi mtume wetu katuachia vitu viwili Quran na Sunnah zake sass ww endelea kuwa mshabiki tu ​@@MohammedSaid-zk7yg
@muhammadal-bimani8120
@muhammadal-bimani8120 4 часа назад
Wacheni upuuzi wa madhehebu. Kulikuwa na Ahli Sunna, Shia, Ibadhi wakati wa mtume? Nyinyi ahli sunna muko makundi mane. Kubalianeni muwe kundi moja tu. Sasa katika nyinyi makundi mane lipi hilo litaingia peponi? Hao ahlu sunna wengine muna itiqadi kwa makapu hazina faida hata mtu unastaajabu, tele yamo katika vitabu vyenu. Wacheni hayo. Alokuwa sahih au si sahihi ni kazi ya Allah pekee.
@MohammedSaid-zk7yg
@MohammedSaid-zk7yg 3 дня назад
Sheikh umesahau maibadhi wanatukana maswahaba as well
@Sharifuhabiby
@Sharifuhabiby 3 дня назад
We nyamanza ma ibadhi hawatukani ma Swahaba koma koma. Kabisa
@MohammedSaid-zk7yg
@MohammedSaid-zk7yg 3 дня назад
@Sharifuhabiby maibadhi hawawatukani maswahaba kielim Lakin kwa masuni ni kuwatukana,masuni ukisema Kuna baadhi ya maswahaba walikua walevi umewatukana,ukisema Kuna maswahaba walipenda sana Dunia,mali,madaraka umewatukana Sasa inakua mtihani kidogo,halafu kua na adabu unaporeply Sawa eehh punguza mihemuko uwe unatumia akili zaid feelings ok
@SalehLofy
@SalehLofy 2 дня назад
​@@Sharifuhabiby muogope Allah ushawahi kusikia muibadhi akatukana swahaba yoyote yule? Wewe ni Wahabi hamsomi mnasikiliza masheikh zenu tu na hata mkisoma mnasoma vitabu vyenu tu utaijuaje Haki kwa njia hio?
@mohammedkhimji7505
@mohammedkhimji7505 19 часов назад
duh! huyu shekhe mbona anaropoka vitu sivyo??? Eti kuna ma Shia hawaamini Quran hii yetu imekamilika????? Tuambie basi ni ki na nani hao????
@AhmadMohamad-ew8vo
@AhmadMohamad-ew8vo День назад
Unaogipa mashia
@AhmadMohamad-ew8vo
@AhmadMohamad-ew8vo День назад
Ungeulizwa je sheikh uthaimini ni kafiri? Ungejibu moja kwa moja
@musarashid3482
@musarashid3482 3 дня назад
Sheikh umejib kisomi sn ila watu ambao awajasoma ndio wanataka Majin ya ndio au hapana 😂
@AhmadMohamad-ew8vo
@AhmadMohamad-ew8vo День назад
Unawaogopa
@MudathirJamal
@MudathirJamal 2 дня назад
Al Imam Mahdi Ajalallah Taallah Faraja Wa Sharrif yupo kwenye kheibat kama Nabii Issa ibn Mariam Allah ndie anajua watarudi wote siokama ulivyosema kwamba yupo Pangoni rejelea vitabu vizuri kama Najul Balagh kwenye Kheibat ya Al Imam Mahdi utapata elimu kubwa sana na utaweza kufafanua vizuri sio pangoni hakuna mashia wanasema hivyo
@fabssaleh7273
@fabssaleh7273 3 дня назад
Je shahada zao ni sahihi?
@KoleYasini
@KoleYasini 3 дня назад
Shekh usikwepe swali nyooka..
@taurehassan7399
@taurehassan7399 2 дня назад
Jibu ww ili ulinyooshe Hilo swali,
@mtindikoja8837
@mtindikoja8837 2 дня назад
Nyooosha sheikh Shia sio waislamu
@jumaciza461
@jumaciza461 2 дня назад
Muislamu ninani sasa.
@taurehassan7399
@taurehassan7399 2 дня назад
Ww c umeshanyoosha yatosha,ww c wajua Zaid na umesoma kuliko huyu
@SalehLofy
@SalehLofy 2 дня назад
Mawahabi wametumwa wao wanaunga mkono makafiri tu waislam wenzao wanawapga vita peleleza nchi zote za Mawahabi kuanzia Suudia na kuendelea hawa ndio aliowatabiri Mtume s.a.w mwisho wa Dunia watakuja mjue Dunia ishaisha
@azizaj776
@azizaj776 18 часов назад
Toa hoja kwa nini Shia SIYO WAISLAMU ?????? Siyo kubwabwaja umelishwa matango pori
@MadieMtimbuka
@MadieMtimbuka 2 дня назад
MAKUNDI YA NINI! tumuachie mungu hakuna ajuae hukmu ila muumba. kuliko kunyoosheana vidole
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 2 дня назад
Yaani mtu anatukana maswahaba na mke wa mtume (saw) halafu unataka waachwe tu?
@MadieMtimbuka
@MadieMtimbuka 2 дня назад
@@Kekulebenzene unataka uwafanyaje?
@soudsoud335
@soudsoud335 13 часов назад
Kutukanwa kama vipi ? Hivi umesoma vita vya siffin Bi Aisha (R. A) alitabiriwa vipi na bwana Mtume (S.A.W) katika vita hivi ?
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 3 дня назад
Shekh , Nyooosha tu maneno Ashia cio waislamu full stop!
@ramadhanjuma610
@ramadhanjuma610 3 дня назад
Acha jazba zaki shaytwan hii Dini na Dini upelekwa kwa Qur'an na sunna acha jazba
@assadyabdull5146
@assadyabdull5146 День назад
Alafu ukute umesilimu jana 😅😅😅alafu unasema unajisemea huna hta herufi moja
@thenlion4260
@thenlion4260 День назад
Ww tu ndio muislam
@mohammedkhimji7505
@mohammedkhimji7505 19 часов назад
mwislamu wewe peke yako yakhe
@soudsoud335
@soudsoud335 14 часов назад
Kweli maneno yako mtu hana dalili wala ushahidi wowote huropokwa tu hana Alifu wala bee dini yenyewe kaingia Kwa kusilimu halafu halafu yeye ndio wa mwanzo kuwaita watu makafiri na kuwaingiza watu motoni wakati hukmu ni ya mungu Mie nataka mashekh wanijibu hili swali langu Je Mtume Mohammed alikua dhehebu gani ? Kama yeye ni muongozo wetu tujue yeye alikua ni dhehebu gani afuatwe
@Jumaupnda
@Jumaupnda 3 дня назад
makundi yaliobuniwa ktk uislamu yametuletea majanga makubwa mpaka dini yetu hatuijui ipo wapi. sijui nani atatuwekea mambo sawa.
@ibrahimabdillah5729
@ibrahimabdillah5729 3 дня назад
Soma Dini yako Acha kusubiri Mtu aje kukuwekea sawa Dini yako Soma Dini yako kwa maana ya kusoma...penda kuufungua moyo wako katika kukubali haki kwa Mtu mwengine.
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 дня назад
@@Jumaupnda tafuta ilmu arafu muombe mungu akuongoze katika njia ya sawa mwambie mwenyezi mungu katika uislamu naona kuna makundi mengi naomba umuongoze katika njia ya sawa kikundi lipi katika hakki uniweke na wao na ufungue moyo wangu kukubali hakki Allah atakuongoza maana kashasema hawaongozi watu wasotaka kuongoka ukiomba duwa hiyo na ww ufungue kifua chako Allah atakuongoza maana makundi ni mengi kweli na mtume katika hadithi yake ametabili kuzuka kwa makundi mengi katika umati wake na yote yattaenda motoni isipokuwa kundi moja tuuh hilo litaongoka na moto sasa usipofanya juhudi ndugu ukarizika tuuh huwezi kuongoka leo kila kundi kila watu wana nadi uislamu mtihani kujuwa hakki ilipo
@MadieMtimbuka
@MadieMtimbuka 2 дня назад
Lakini usumbufu unakuja kwa viongozi hawa, maneno kibao wanasababisha sana makundi
@Jumaupnda
@Jumaupnda 2 дня назад
@@ibrahimabdillah5729 sasa wewe hiyo dini utapokea kutoka kwa kundi gani. wakati kila kundi linasema lenyewe ndilo bora kuliko jengine.
@jumaciza461
@jumaciza461 2 дня назад
​@@Jumaupndaumeuliza vizuri kbs yani kiufupi nikubaki muislamu bila kundi lolote
@muhammadal-bimani8120
@muhammadal-bimani8120 23 часа назад
Hao ahli sunna walikuweko wakati wa mtume? Quran imetuita sisi waislamu sio Shia au ahli sunna au nani wala nani. Nyinyi Ahli sunna mumejigawa katika madhehebu mane, kwanza kubalieni muwe kundi moja tu maana huko akhera hadithi imrkuja kundi moja ndio la peponi. Sasa nyie muko makurdi manne Shafi, Hanbali, Maaliki na Hanafi. Basi kwanza jiekeni muwe kitu kimoja mana mtume saw kafa hakuna hata dhehebu moja. Siasa ndio yameleta yote haya. Kwa hiyo musiingilie dhehebu nyengine kabla nyinyi kuwa na dhehebu moja nalo ni Muislamu. Jitizameni kwenye kioo kwanza. Ibadhi haimfati Abdallah bin Abadhi. Ibadhi inafata dalili tu itoke wapi popote.
@azizaj776
@azizaj776 18 часов назад
Huyu Shekh kichaaaaaa ikiwa Imam Jaffer Sadiq amekataa kumtukana Abubakar na huyo ni Kiongozi yaani Imamu wa Sita Şaş’a Shia gani anayethubutu kuwatukana kina Abubakar ???? ACHENI UONGO Shekh MUONGO HUYOOOOOO
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 дня назад
Wale ni makfiri tuuh wamechupa mipaka hta hawo wasotukana wanaitikadi za kihirikina tuuh
@AngumbwikeNdumbwinee
@AngumbwikeNdumbwinee 3 дня назад
Daah haya mwisho unakuja,,wafuas wa ahlul bait tuna furaha saana
@adamhashim3352
@adamhashim3352 3 дня назад
Mhhh nyie ndo wale hata aje jibril utabaki na mismamo
@MohamedMeja
@MohamedMeja День назад
Mimi siku soma lkn mashia nimakafirii wawatukana maswahaba na wakea za mtumea na ahalalishaa mtu kumgiliaa bibi yakea nyumaa
@soudsoud335
@soudsoud335 13 часов назад
Kwa iyo ili usiwe kafiri katika uislam uwe upande gani
@hamynas
@hamynas 3 дня назад
tusi ni lipi?kumtukana matusi kama haya tunayoyasikia ktk mitaa au kusema mtu tabia zake na ukweli wa matendo yake?
@taurehassan7399
@taurehassan7399 2 дня назад
Ww matendo yko wayatja ktk jamii pale ulipokwenda kuzini?
@hamynas
@hamynas 2 дня назад
@@taurehassan7399 umehamishia hoja kuwa ni mtu bianfsi...hioja ni kuwa maswahaba ni vipimo vya uislamu sahihi wa mtu,je kusema madhambi yao ni kosa au tusi?
@taurehassan7399
@taurehassan7399 2 дня назад
@@hamynas kusema madhambi Yao ni kosa kw dalili mtume amesema hv أذكروا محاسن موتاكم وكفوا عن مساويهم.yatajeni mema ya maiti wenu na jizuieni kuyataja makosa yao.alfu pima wema walifnya maswahb ktk dini na ww upime jitihada zko mpka ifikie kuw ww unahadhi y kumtukna swhb
@hamynas
@hamynas 2 дня назад
@@taurehassan7399 kwa hiyo kusema na kusoma makosa ya swahaba kama thaalaba ni dhambi?
@taurehassan7399
@taurehassan7399 День назад
@@hamynas nimkupa dalili Ila kw ziada ni kwmba kusoma makosa waloyafnya c dhambi lkn ukawa ww kazi yko ni kuwasema maswahaba vbya tu mema waloyafnya hta huyataji Hilo ni kosa kw7bu Allah maswahaba amewasamehe lkn kuwasema watu wa kawaida km vile ndgu zko au wazazi wko ukawasema vbya unawsengnya lkn pia unawaongezea adhabu kw Allah,km hujanielewa niulize plz
@alisaadmohammed
@alisaadmohammed День назад
Wewe kama hufwati quraan na sunnah za mtumi basi wewe ni shia na wew ni kafiri
@soudsoud335
@soudsoud335 13 часов назад
Mtume Muhammad ( S.A.W) alikua dhehebu gani ustadhi?
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 дня назад
Hujui na hawoo ibadhi wanaituhumu quruani ni kiumbe nyote vipofu tuuh hakuna ujualo au mkijuwa mnaficha kulingana na maslahi yenu wao wanatukana swahaba pia na huoni aibu kudanganya vijana hao
@ahmedbadi5822
@ahmedbadi5822 3 дня назад
Waonaje ukafungua ukumbi wako ukayaongelea wewe? Sote tunajukumu la kidaawa wala sio watu Fulani pekee.
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 3 дня назад
@@ahmedbadi5822 mashekh zetu waniongelea hayoo so kila siku wanatumbua uozo wa mashia na maibadhi Sasa Hawa wazee wa matumbo mbele vilemba vikubwaa wanaficha ukweli lengo watu waone kitu kimoja hakuna umoja wa namna hiyoo kwani ukisema ni makafiri kuna nini wamemtukana mama aysha kumsema ni mzinufu inama wamepinga Allah alipoteremsha Aya ya kumtakasa na uchafu walomzulia lakini hii Hawa jamaa wamemtukana mpk leo, arafu wanasema omari ni shoga, wanasema pia abubakari kafiri na ndugu zao ibazi wamekanusha mengi pia unaporemba remba kutaja makosa yao kuna nini utakufa nao hawoo au watakuzulu Nini mmewageuza vipenzi wenu hawoo na kuwashambulia masalafi mnaowaita mawahabi mkawaona ni adui kwenu kuliko hiyo mishia
@allymwinkyambi9689
@allymwinkyambi9689 2 дня назад
Wewe huna adabu, kwhy kuwa makin na wanazuon
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 2 дня назад
@@allymwinkyambi9689 ah. ah ah mwazuini mwennyewe huyo.mzee. au yupi. Wakusudia Ana ilmu ya. Kuwa mwanazuoni au. Kila mtu mwanazuoni
@SalehLofy
@SalehLofy 2 дня назад
Duniani Kuna khaaliq na makhluq Muumba na viumbe waliokuwa sio Muumba basi ni viumbe ALLAH peke yake ni Muumba waliobaki wote ni viumbe hio kufuru iko wapi hapo? mnasema maneno ya Allah ndio na Ibadhi Wanasema hivyohivyo tofauti wao Ibadhi Wanasema ALLAH kayaumba, Mawahabi wanasema hajayaumba tafakari chukuwa hatua
Далее
новое испытание
00:40
Просмотров 91 тыс.
Ilkinchi hotin oberasanmi deb o’ylabman🥹😄
00:26
AL - HABIB USIWAZAMISHE WENZAKO. SHEIKH BAHERO
9:22
SHEIKH KISHKI AVURUGWA NA MASHARIF FEKI
29:55
Просмотров 10 тыс.