Sheikh nakupenda Sana , unanifanya nalia kutokana na mahaba niliyokuwa nayo juu yako. Mwenye Ku run this RU-vid channel , Tafadali endelea Ku upload video za Sheikh Hashim Rosaganyi , Sheikh huyu ananigusa Sana moyoni , naipenda mawaidha yake siku zote.