Тёмный

SHEIKH KANDAUMA AFUNGUKA MAZITO JUU YA MAREHEM DIDA AMKUMBUKA DIDA ALIVYOFANYA NAYE VIPINDI VYA DINI 

KHIDMA TV
Подписаться 38 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Tufuatilie mitaondao ya kijamii;-
Facebook: / mzeewakhidma
Instagram: / khidma_tv
Tiktok: / khidmatv1
RU-vid: / @khidmaonlinetv350

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 57   
@azizaali8506
@azizaali8506 День назад
Innaalillaahi wainnaailayhi rajiuun masha Allah masha Allah ikiwa umewajulisha wenzako tu kuchangia ktk mambo ya khayraat basi watakapofanya nawe unajipatia fungu lako jema yaarrabb nakuomba umlipe mema mja wako huyu huko aakhir alikoo innaalillaahi wainnaailayhi rajiuun tupoeni kwa msiba Allah atupe subra Allah amfanyie wepesi ndugu yetu huyu ktk safari yake hii nzitoo ampe qauli thaabbit amsameh makosa yake ampe kitabu chake kwa mkono wakuliaa amuepushe na adhabu za qabri amtilie nuru ndani ya qabri yake ampe makaazi mema jannat firdausil Aalaa amuepushe na adhabu za qabri amtilie nuru ndani ya qabri yake ampe makaazi mema jannat firdausil Aalaa iwe ndio makaazi yake yaarrabb na waislam wenzetu waliotangulia kwakee na sisi tuliobakia atupe husnilkhaattima yaarrabb innaalillaahi wainnaailayhi raajiuun tushkurieni msibaa yeye wametangulia tuu na sisi tuko nyuma yakee na wale ndugu zetu wenye nafsi zisizofaa za kuwahukumu watu waliokufa nawaomba waache hizo nafsiii kwani mwenye mamlaka hayo ni mwenyewe Allah tuu nasio wao na sisiii na pia marehemu dida ameshayajua yakeee bado mimi na nyinyiii na ndio mana tunaambiwa hata anapokufa qaafir tuseme innaalillaahi wainnaailayhi rajiuun sababu sisi soote ni wa Allah na kwake tutarejeaa kinachotakiwa tuwaombee duaa njema wenzetu waliotangulia kwakee ili nasisi tutakapofikiwa na hii safari tuweze kupata wakutuombea duaa njema enyi wanangu enyi ndugu zangu ktk imaan basi nawaomba tukithirisheni kuomba maghfira kwa ajili ya nafsi zetu na pia tuwaombea maghfira wenzetu waliotangulia na wazee wetu na ndugu zetu na jamaa zetu na majirani zetu na waislam wenzetu waliotangulia kwake Allah yaarrabb warehemu waislam wenzetu waliotangulia kwako Allaahummaghfirlil muuminiina walmuuminaat walmuslimiina walmuslimaat al ahyaai minhum wal amuwaat birahmatika yaa arhamarraahimiin Allahumma antassalaam waminkassalaam tabaarakta yaadhaljjalaal wal ikraam Assalaamu alaykum warahmatullahi wabarakatuh jamiann innaalillaahi wainnaailayhi raajiuun 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@AbdallahKifundo-t5e
@AbdallahKifundo-t5e 22 часа назад
Mashehe munawapaka watu mafuta kwa mgongo wa wachupa, kwa maneno hayo watu wataendelea na ujana wao, nahofia siku atakufa shoga mwenye jina la kiislam na atasifiwa hivohivo kuwa ni siri yake na mungu matendo yake na mashekh wakubwa watakuwepo mbelembele, hivo ni kuwa tia moyo wengine wanaodhihirisha maasia mcheni allah mashehe.....ewe allah msamehe na umhurumie dada yetu khadija ...aamiin
@aishaomar9621
@aishaomar9621 16 часов назад
Allah amuepushe n adhab za kabri amuhifadhi janatul firdhaus 🙏😢
@tallyfa05saeed67
@tallyfa05saeed67 19 часов назад
Kuingia ndani ya kaburi na kumstiri maiati ni familia ndio wanatakiwa waingie sio watu baki wala wasafi kupanga hili sijui ilikuwaje familia wakakubali kuingia mtu baki ktk kumstiri ndugu yao Allah amsameh pale alipokosea na ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia 🤲 Na sisi Allah atupe mwisho mwema na stuchukue iwapa ameturidhia
@zainabzain3434
@zainabzain3434 17 часов назад
Allahumma Amiin 🤲
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 17 часов назад
@@tallyfa05saeed67 Mimi ninachotaka kukijua leo nyinyi wanasanaa kwanin mmekua ndio waja walaana pombe nyinyi kukaa uchi nyinyi kutangaza riba ya bei nafuu nyinyi kutangaza kamari nyinyi kwani mkoje hamuogopi kuswali hamtaki mna nini ndo mmeambiwa muje kuwa wasanii wakukaa uchi?
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 16 часов назад
@@tallyfa05saeed67 mi tatizo lipo kwenu nyinyi mnojifanya wasanii hivi kwanini mmekua viburi sana hamsikii mnajifanya nyinyi ndio masera watoto wa mjini mnatembea uchi hamjistir kuswali hamtaki pombe mnakunywa kamari mnachez ribaa mnachukua kwanini mmekua viburi sana naomba mnijibu
@IsmailJuma-zb5ni
@IsmailJuma-zb5ni День назад
Innalillah wainna ilayh rajiuun, ila na unafiki tuuwacheni ili tupate Kufaulu.
@FekiHappy
@FekiHappy День назад
Dida.mtu.wa watu Allah.Akujalie kheri umati.mkubwa umedhihirisha matendo yako licha ya mwonekano.wako Allah Atujalie.mwisho.mwema sote.hakuna mkamilifu hata kidogo ila tumejifunza jambo kubwa hapa
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 22 часа назад
Amin Yarabbi Amin
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 21 час назад
@@FekiHappy Huo mwisho mwema unoutaka kama wa dida au kama wa bi aisha na ummu dardaa? unahisi mwisho mwema hata swala hukumbuki nhe unahisi mwesho mwema kutwa kushinda na kimini mbele za wanamume? au kupata watu ndio mwisho mwema je pdd hakifa hapati watu wengi waonesha hata mwisho mwema huujui.
@zainabkatanga4847
@zainabkatanga4847 13 часов назад
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c День назад
Mshekhena muwe mnawapa watu nasaha za kweli acheni uoga hamsemi ukweli leo hii huyo Juma mwambieni aache kusuka yeye simtoto wakike Allah hapendi
@sygtamks1643
@sygtamks1643 21 час назад
Wewe huwajuu bakwata kwani
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 21 час назад
@@sygtamks1643 Siwajui vizuri
@sygtamks1643
@sygtamks1643 20 часов назад
@@AbuuAyubu-t7c pole ndo uwajue sasa
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 20 часов назад
@@sygtamks1643 Haya ntaanza kuwafatilia niwajue
@HeboniBabu
@HeboniBabu 10 часов назад
Kwani kazariwa Dini Gani Kama mwisilam atahakiwa Mtoto Amna asiyejuwa kwamba Ni airusiwi
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c День назад
Mlishindwa hata kumwambia asivae vimini mbele ya wanamume ajnabiyya kwake kazi kumdoe visent vyake tu
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c День назад
Qur ani imekuja kumuonya alie hai sio kuwasomea waliokufa wasomeeni walio hai leo huyo Juma mnaxhindwa hata kumwambia asisuke baadae mtaanza kumsomea huo ni wizi tu acheni utapeli ktk dini ya Allah
@WahidaAlharthi
@WahidaAlharthi 11 часов назад
Shukran sana sheikh
@mozaally7643
@mozaally7643 21 час назад
Mbora wenu mbele ya allah nimchamungu
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 21 час назад
@@mozaally7643 Kwahiyo mcha mungu ni yule kutwa apiga miziki na kuvaa vimini mbele ya jamii hata swala hakumbuki ndio mchamungu kwa elimu yako?
@WahidaAlharthi
@WahidaAlharthi 11 часов назад
Mwanandani. HUINGIYA. Muhrom wake anae muhusu zaidi
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 17 часов назад
Allah ni msafi na hapokei Ila kilichosafi. Mtu km anabiashara za haramu pesa yake hata akifanyia mema haikubaliki.
@Hot_rod-lies
@Hot_rod-lies 14 часов назад
Mlivia mzinifu mlareba wote wanazikwa hukumu heyo mwachiania mungu sio ss kuhukumu
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c День назад
Hamna lolote nyie mlishindwa kumnasihi kipindi yupo hai leo maneno mengi mashekhe ubwabwa
@tabuomary1016
@tabuomary1016 День назад
Innalillah wainailayh rajiun
@saidymudiiry4197
@saidymudiiry4197 Час назад
Mmhh.nyinyi mashekh nyinyi ittaq llah.
@rahmaismaily3358
@rahmaismaily3358 13 часов назад
Kikubwa wanawake tujistili na tuswali ....kwanza hayo mengine yatafuata... Tunaambiwa swala ni kama kikapo sasa unaenda sokoni kikapo kimetoboka nyanya zinaanguka chini.... Tuswali na kwenye swala haina siri....
@taifakhamis552
@taifakhamis552 23 часа назад
Hatutakiwi kumuhumu mtu kwani sisi wenyewe hatujijui siri ya kiumbe kwa mola wake .tusinifanye tumetakasika. Siri ya kila kiumbe anaijua Allah Subhanahu wa taala.
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 21 час назад
@@taifakhamis552 Kwenye uislamu matendo ndio yanayobainisha watu kua huyu muovu au mwema huyu muislamu au kafiri ndio maana twamjua huyu muislamu kwa matendo yake huyu kafiri kwa matendo yake tumeambiwa tusiseme huyu wa motoni na huyu wapeponi hili ndo tulokatazwa sasa mtu alikua kutwa kupiga mziki hajistir kama alivyoamrisha Allah swala hakuna wewe hujui kua si mtu mwema kwa sheria ila haifai kumsema wa motoni tutaishia walikua muovu na watu wasiige kwake si mfano mzuri. Usilete misemo ya wakristo kwenye uislamu
@taifakhamis552
@taifakhamis552 23 часа назад
Hatuna haki sisi waislam ya kujitabiria pepo na wenzetu tukawatabiria moto. Tumuachie mwenyewe Allah Subhanahu wataala. Kubwa sisi waislam ni kumuombea dua kiumbe mwenzetu Allah ampe kauli thabit na amsamehe pale alipokosea ili nasi tukiondoka kwenye ulimwengu tupate nasi wa kutuombea dua
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 20 часов назад
@@taifakhamis552 Kwamujibu wa itikadi ya Ahli sunnat waljamaa haifai kusema fulani ni mtu wapeponi na fulani ni mtu wa motoni. Lkn muovu na mwema hujulikana kwa vitendo vyao kuna mtu ataitwa muumini mwingine kafiri mwingine mwizi mwingine mchawi mwingine mzinifu mwingine taariku swalaah hizi zote si sifa za watu wema hili ulijue na kusema fulani haswali sio kuhukumu bali ndio kweli haswali na huo ni uovu sijui unahoja gani?
@KidawaMkwega
@KidawaMkwega 3 часа назад
Halivokua hai ata kumpa nasaha.leo kafa kanzu zimeenea madua kama yote mbona alivokua anavaa uchi mulikua amusemi nywele za bandia mulikua amusemi..
@HamidakomboKombo-xs2ju
@HamidakomboKombo-xs2ju День назад
Acheni kutaka sifa mtu akishakufa tu basi ndio anakua maarufu muna nini? Kilamtu ana lake
@AnasaMaliki
@AnasaMaliki 22 часа назад
Njaa zitatupeleka Motoni masheikhe wetu hawa mh
@sygtamks1643
@sygtamks1643 21 час назад
Hao ndo bakwata
@fifo262
@fifo262 20 часов назад
Njaaa haijawahi kumuacha mtu salama , allah mwema yarrabi
@saidymudiiry4197
@saidymudiiry4197 Час назад
8:48
@taifakhamis552
@taifakhamis552 23 часа назад
Kuasana tunapokosea katika maelekezo ya dini yetu jukumu hilo ni letu sote waislam . Tusiwatupie mashekhe peke peke yao . Lawama kama hatukatazani ni zetu sote
@halimamuketi6738
@halimamuketi6738 21 час назад
La msingi tubadilikeni yake yameisha kuna mm na ww bdo hatujajijua mwisho wetu utakuaje Allah atupe mwisho mwema mauti yatosha kua mawaidha
@taifakhamis552
@taifakhamis552 22 часа назад
Na kama tuliyaona maovu tukanyamaza basi si mashekhe peke wenye makosa ni sote tusijitoe tukawatupia lawama mashekhe
@AlyAly-dp7iv
@AlyAly-dp7iv День назад
Wewe muongo iv dida alikuwa mumini wa zehebu gani mbona yu namirast pia masuruwali acheni uwongo semeni kweli huyu dida hakuwa muisilam sheria ya uisilam ikoje kama kweli ni mumini
@SurprisedBoardGames-eg3hk
@SurprisedBoardGames-eg3hk День назад
@AlyAly-dp7iv..usimjaji mtu kutokana na mavazi yke wala muonekano huezi jua alikua akisaidia vp au moyo wake ulikua vpi ..nakupa mfano wakati wa maswahaba kuna watu waliojawa na dini wanazuoni kweli kwl lkn kama tunavojua mbwa kidi ya kiislam ni najis bc mbwa yule alikua amedhohofika kwa njaa na kiu ya maji yn anakaribia kukataa roho bc wale wasoma dini wanazuoni walishidwa kumsaidia yule mbwa kisha akatokea malaya mwanamke akamuona yule mbwa anavo teseka bc yule dada malaya akaingiwa na huruma akavua kiatu chake akamchotea maji yule mbwa na akamnywesha na mbwa yule akarudi kwenye hali yake yule malaya akashkuru lkn siku mauti yalipo mfika yule dada malaya Allah akampitisha na kumuingiza peponi akaulizwa mbna huyu mama alikua malaya mtume kipenzi cha Mungu akawajibu huyu alimuokoa mbwa abae alikua na dhiki ya chakula na kiu lkn mashekhe walisema mbwa yule ni najis so nakwambia dungu yng usi mjaji mtu .....nakupa kisa chengine enzi za mitume kulikua na msikiti ule msikiti ulikua haushi umeme hata siku moja hakuna siku ambayo utafika kwa msikiti huo utakosa umeme bc bwana kuna mama ambae ni muasi mkubwa alikua malaya kila mtu akiimlaani mtaani kwa matendo yke na maisha yake kwa ujumla siku alipo kufa yule mama kwa uwezo wake Mungu akapitishwa kwenye milango ya pepo mitume ikamuuliza Mungu vpi huyu mama alikua mchafu enzi za uhai wake mbna amepata daraja ya pepo Allah subuhanna wa taalAllah akawajibu wale mitume ule msikiti ambao ulikua haushi umeme kila siku bc alikua huyu mama akipeleka mafuta kila siku kwenye huo msikiti ...funzo tusiwe wa haraka ku muhukumu mtu cc tumuachie yye Hakimu wa Haki....nakama nitakua nimewakosea munisameh
@SaidiKilobo
@SaidiKilobo 14 часов назад
Ach maneno ya kebeh ujafa ujaumbika ww unajuaje km hakuwa muislam sijione ww mkamilifu
@KoleYasini
@KoleYasini 19 часов назад
Kemeeni uovu,gomeeni kuwazika walevi na matarku swala acheni njaa..
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 День назад
Je sh3kh ulimfukishia kuhusu kukaa uchi tena mbele yako ??
@taifakhamis552
@taifakhamis552 23 часа назад
Katika dini hatutakiwi kumhukumu mtu kwa matendo yake tunayoyaona sisi. Hatujui Allah mwenyewe kampokeaje mja wake tusijifanye sisi waislam sana na kumuona mwenzetu yeye sie.hivyo sivyo. tunakosea
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 20 часов назад
@@taifakhamis552 Juma lokole anachokifanya ni ukhanithi katika sheria yetu tumekatazwa wanamume kujifananisha na wanawake na wanawake wamekatazwa Kujifananisha na wanamume tena mtume صلى الله عليه وسلم Amewalaani wafanyao hayo sasa ukisema kuhukumu sijui unakusudia nini je wewe unadhani dini ya kiislamu haijabainisha matendo ya makosa na ya sawa? je unahisi mwenye kufanya kosa kwenye uislamu anaitwa kapatia? ndio maana mwizi ana hukumu zake na mwenye kuzini ana hukumu zake vip unasema mchamungu anamjua Allah wewe kwani mlevi hujui kua amekosea na anahukumiwa kiislamu? sasa maneno ya wakristo wewe unayabeba ujumla sisi tumekatazwa kusema fulani ni mtu wa motoni au peponi.
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 20 часов назад
@@taifakhamis552 Katika dini mtu anahukumiwa kwa matendo yake anaemuomba Alla atasemwa muislamu anaemuomba yesu atasemwa mkristo anaekunywa pombe atapigwa viboko kwa matendo yake anaezini atapigwa mawe au viboko kwa matendo yake wewe kanuni hii umeitoa wapi mtu ahukumiwi kwa matendo yake nikuulize je anahukumiwa kwa matendo ya nani?
@maryamadam5622
@maryamadam5622 17 часов назад
Kabisa . katika Uisilamu mtu akisha ondoka juu ya mgonho wa ardhi, inatakiwa kumtaja kwa yale Mema yake. Sio kumtangaza kwa maovu..huyu ni mja wake Allah. Mmungu ndie ajuaye zaidi..Tuseme na kubakisha. Sasa Shk akae anadi kwa umma yale maovu Kuna maovu watu hufanyankwa siri na Mmungu anahukumu kwa siri.
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 17 часов назад
@@maryamadam5622 unachotakiwa kukijua kwenye dini kila kitu kiko wazi kwakupitia kitabu na sunna na kauli za maulamaa wewe unatakiwa uishi kwa mujibu wa dini kwanini nyinyi ndugu zetu hamtaki tuanze na swala kwanin ukatae kuswali utuambie kwakina kwanini unaleta ubishi je hukumu ya mtu asieswali hakuna? kwanin upige miziki tena haina maana yoyote zaidi ya matusi tu ndani yake? Kwanini ulewe pombe? Tena hadharani kwanini kisha unataka heshima ukifa heshima gani? أفنجعل المسلمين كالمجرمين(٣٥) ما لكم كيف تحكمون (٣٦) القلم hivi tuwafanye waislamu walio wema ni sawa na watu waovu? Manakitu gani nyinyi mnahukumu vip kwani?
@AbuuAyubu-t7c
@AbuuAyubu-t7c 17 часов назад
@@maryamadam5622 kwanin mnapenda uhuni na kuacha hamtaki kwani mtume kaja kutufundisha kupiga miziki mnijibu nakunywa pombe kunyoa viduku hamjui katukataza hamjui?
Далее
BABA YANGU KIPOFU Full episode /46/ #love
22:33
Просмотров 20 тыс.
DALILI ZA KIAMA//DUKTUR ISLAM MUHAMMAD
31:10
Просмотров 2,9 тыс.