Mashallah kila siku tunafaydika kwa kuwacha sadaqatul jariya yako mwenyez mungu akusamehe makosa yako akuweke kwenye pepo ya Firdaus na cc mwenyez mungu atupe khatma njema
inshaallah!!!umeacha manufaa ',na kila tukiskia mawaidha yako allah anakuandikia mema akuepushie adhabu ya kabri na akufanyie qabri yako iwe katika kaburi za waja wema inshaallah.
Ina lillahi wa ina ilaihi rajuun,mungu amueke shekhe wetu pahali pa watu wema na inshaallah amfufue pamoja na kipenzi chetu nabii muhamad swalallahu aleihi wasalam
Maisha n mafupi, dunia hadaa, sheikh wetu Mola amrehemu. Ameondoka ametuachia faida. Na sisi Mola atujaalie tukiondoka tuwe n mwisho mwema, tuache faida kama hizi