Тёмный

SHEIKH NURDEE KISHK AMRARUA WAZIRI WA ZANZIBAR ALIYEMTUKANA MTUME MUHAMMAD S.A.W 

Kishki Online TV
Подписаться 304 тыс.
Просмотров 115 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 662   
@hassansaid9925
@hassansaid9925 4 года назад
Sheikh Nurudeen Allah aendelee kukupa msimamo wa kusimamia dini ya Allah na waislamu tupo nyuma yako inshaalah
@hamidahamida1473
@hamidahamida1473 4 года назад
Walhkm.msalam.warhmatulhah.wabarakatu
@hamidahamida1473
@hamidahamida1473 4 года назад
Subhanalha 😭lnnalilah
@zenaabdallah9746
@zenaabdallah9746 4 года назад
Amin
@saidis-haq6591
@saidis-haq6591 4 года назад
Swadakta sheikh kishk Allah akupe umri mrefu wenye kheri na wewe
@bahatihadijabahati7456
@bahatihadijabahati7456 4 года назад
Nakupenda Sana kwa ajili ya Allah sheikh kishki hata mm siwez nyamaza mtu akisema vibaya Allah ama mtume wetu Muhammad Allah atupe mwisho mwema
@alhashimy2625
@alhashimy2625 4 года назад
Baarakallahu feek
@saumually4236
@saumually4236 4 года назад
Laanatullah, wallahi arudi kwa Allah laa sivyo basi ameharibikiwa khaa! Kwahiyo yy ndo msomi kwakua ni waziri??? innalilah wainnailaihi raajiuun
@jfourpapala3493
@jfourpapala3493 4 года назад
Sheikh samahani mimi nashida yanamba zako za WhatsApp kunaswali nataka nikulize mana tuna bishana sana na mke wangu
@abdullahmsuya665
@abdullahmsuya665 4 года назад
Kishki nae Ana fanya Radd, Tena kwa mwislamu mwenzake? Kwanini asinge muhusia kwa hekma na busara? Akamfata private, duh! Anamwita mjinga, hajielewi? ..... Itakua kamuotea mjinga mwenzake. Kishki yeye akijibiwa ujinga wake anavo haribu katika dini wafuasi wake na yeye mwenyew wanasema masalafy Wana mwonea husda. Nlichogundua anawaogopa masalafy kuwajibu anakua Hana hoja za kielmu
@abdulkadirali4170
@abdulkadirali4170 3 года назад
@@abdullahmsuya665 sheikh kishki ALLAH amuhifadhi mawaidha yake ananufaisha watu hana tym ya ku radd wenzake wanaotafuta sifa yakumkashifu yeye wapate umaarufu vipi tumchukiye na sheikh kishki anajitahidi kufuata SUNNA ya mtume SALLALLAAHU ALEYHI WASALLAM wale waliyo na wivu na hasad na chuki na kueneza fitina watakufa na chuki zao omba hii dua sana EWE MOLA WETU TUSAMEHE SISI NA WALE NDUGU ZETU WALIYOTANGULIYA MBELE YA HAKI. NA WALA USITUJAALIYE NYOYO ZETU ZIWE NA CHUKI ZA KUWACHUKIYA WALIYO AMINI
@samsungjsevenprime5717
@samsungjsevenprime5717 4 года назад
Sheikhe wetu tupo pamoja 🤝kwahilo atakaemshusha Mtume wetu hadhi yake ambiwe kweli tunahaki hata yakumshitakia Mungu na Mungu atamuhukumu kwa hukmu zake
@abdullahsaid4541
@abdullahsaid4541 4 года назад
Tunakupenda Sana sheikh wetu Allah akujalie mema daima wali Dunia wali Akhera
@abdiali953
@abdiali953 3 года назад
l
@MuhammadAhmad-ue7sm
@MuhammadAhmad-ue7sm 4 года назад
Assalam aleykum sheikh pokea salamu zangu InshaAllah kutoka daula ya qatar. WALLAHI sheikh kwa maneno yako nimebubujikwa na machozi, InshaAllah ALLAH atupe husnul khatima na atuongoze. امين يارب
@muryd6999
@muryd6999 4 года назад
اللهم صلى على سيدنا محمد و على آله
@al-mamarial-mamari5457
@al-mamarial-mamari5457 4 года назад
Allah amsamehe kauli zake alozungumza kama kazungumza Kwa kukosea au Kwa ujinga. Allah atuongoze na atusamehe pale tunapokosea ameen
@halimaramadhan2975
@halimaramadhan2975 4 года назад
Subhanallah Mungu akuhifadhi sheikh kishk sisi pia imetuuma sana.mjinga ni yey huyo mpumbavu aachane na mtume wetu S.A.W Kwan ilikuaje mpaka wamtaje bungeni msiba kwel
@gaidahmed8048
@gaidahmed8048 4 года назад
Masha ALLAH tabaraka LLAH....tupo radhi kupambana na hata kufa kwa ajili ya dini ya ALLAH na mtume wake
@samsungjsevenprime5717
@samsungjsevenprime5717 4 года назад
Asante shukrani sana shrikhe wetu kwakujitolea na kumtetea Mtume wetu kipenzi chetu Muhammadi s.a.w Allah akulipe kheri nyingi sana sheikhe wetu kishik Allah akuzidishie umri na afya njema uzidi kutuelimisha jamii umma waumini ulimwengu mzima
@ondegesauda7028
@ondegesauda7028 4 года назад
Subhanalaa!Allah amusamehe na amuongoze.Allah akulipe na akuzidishie umri sheikh uendelee kupigania dini.Inna Lillahi Wainna Ileihi Rajiuun.
@abdallahtamim8590
@abdallahtamim8590 4 года назад
Shekhe wangu tupo pamoja Amekosea sana huyo mbunge ametuuzi sana shukhan sana shekhe wetu
@curiosity25
@curiosity25 4 года назад
Innalilahi wainnailahi rajiun,mwenyezi mungu amuongoe km ni katika watakao Ongolewa, ajirudi aombe msamaha na atubu tawba ya ukweli!!
@hamidahamida1473
@hamidahamida1473 4 года назад
Salesmanship.alhahy.wasalam.😭😭😭
@h.alshidhani8971
@h.alshidhani8971 4 года назад
Huyu ni kuchinjwa tu
@curiosity25
@curiosity25 4 года назад
@@h.alshidhani8971 hapana kaka tumpe mda wakijirudi ,na kumuombea auone mwanga ,ila tunakemea jambo la kukejeli mtukufu ,kipenzi chetu mtume Muhammad (s.a.w)
@curiosity25
@curiosity25 4 года назад
@@hamidahamida1473 anahitaji dua huyu
@naiknaik2816
@naiknaik2816 4 года назад
Masha allah... I am from Ethiopia.. wlh shkh wetu skhk nuridin kishki napenda sana sana tena zaidi.. shekh wetu allah akulinde na akupe umrii refu
@saidomar6806
@saidomar6806 4 года назад
Mashaallaah Kishk msema kwel⭐🌙Allah akupe Nusra yake
@jumahnassor8471
@jumahnassor8471 3 года назад
Mbona sijaskia akisema kuhusu mashekh walio magerezani more than 9yrs
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 4 года назад
Shukran. Shekh Kishk Allah akulinde. Nimetiwa moyo sana kuona, kwa kutumia nafasi uliyonayo, umeinuka na kumjibu yule mzee mjinga wa Baraza la Wawakilishi aliye mdhalilisha kipenzi chetu Mtume Muhammad (saaw). La kusikitisha ni kuwa sijamsikia hata Sheikh mmoja Zanzibar, kulikotokea kadhia hii, aliye simama na kuutia angalau neno dhidi ya yule jahil. Masalafi ndio kabisa kimya wao bado wanazozana juu ya kutikisha kidole inafaa au la, wakati wale madhalimu kule wanamkashifu Mtume wetu pamoja na kuwalipa pesa zetu kupitia kodi wanafanya upiuuzi huu ndani ya Baraza
@rehemajanka8830
@rehemajanka8830 4 года назад
nakupenda kwa ajili ya Allah mwenyezimungu akupe umri mrefu inshallah
@iptysamehuseeinrashidrashi2069
@iptysamehuseeinrashidrashi2069 4 года назад
Mashallha
@jabumakame6895
@jabumakame6895 3 года назад
Amiin
@sanurymkangala3679
@sanurymkangala3679 4 года назад
Inna linlaah wainna linlaah lajiuun mungu amlaani ashushwe mpaka cheo chake inshaanllah
@sophianyangalio3796
@sophianyangalio3796 4 года назад
Mwenyez Mungu amsamehe madhambi yake na ajalie awe ni mwenye kutubia wallah nimeumia kias kikubwa na km angekuwa dini nyingine ningesema uenda katumwa lkn ss huyu ni kiki tu za kidunia na sifa ndyo zimemfanya aseme maneno hake yasiyo nakichwa Asante sn sheikh kishki Allah akujalie umri mref na afya njema na akulipe kila lakher
@rashidchimwenda
@rashidchimwenda 4 года назад
1
@hudhud2022
@hudhud2022 4 года назад
Sophia uko right atubie na Allah ndie mnyooshaji wa waja wake na sio kiumbe
@jumaabdallah6061
@jumaabdallah6061 4 года назад
Tupo pamoja Shee wng
@smaihsmaih2815
@smaihsmaih2815 4 года назад
kishik ALLAH AKULINDE NA KILA SHARI NA HASADI
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 4 года назад
MaashaaAllah Sheikh wetu kishki Allah akujalie kauli thaabiti hapaduniani na kesho akhera Na tujaalie sote tufe haliyakua tuko ktk kalmatuttauhiid ya Laailaha ILLALLAH.
@habibambaruk6569
@habibambaruk6569 4 года назад
Ni kweli kabisa unachokisema shekhe kishki Allah atazidi kumuhifadhi mtume Muhammad (saw) pamoja na dini yetu insha'Allah na Sisi Allah atulinde na ndimi zetu
@rahmahassan4292
@rahmahassan4292 4 года назад
Sheikh mm binafsi nakupenda kwa ajili ya Allah. Nakupenda kwa kusema ukweli wazi wazi bila kuficha wala kuogopa binadamu. You're our sheikh, Prophet Muhammad Sallalahu Alayhi Wassalam is Our teacher...Allah Akujazie jazaa kwa kutetea dini ya Allah na Mtume wake...Nakuombea umri mrefu uendelee kusema haki mbele ya Allah. Nakupenda na Allah Akupende zaidi..hii mada ilifanya nikalia walahi...
@salhaaaa3720
@salhaaaa3720 4 года назад
Shekhe kishki mungu akuweke
@salehsaif1306
@salehsaif1306 4 года назад
Tukopamoja na weye shaikh kishki uko mwanaume hodari uyo bunge awombe msamaha kama ana skili.shukran.
@zalhaally9717
@zalhaally9717 4 года назад
Salha Aaa ameen
@zaneenbeauty
@zaneenbeauty 4 года назад
Amiin
@jamilajumaa2980
@jamilajumaa2980 4 года назад
Ameen thuma ameen
@husnashaibu6312
@husnashaibu6312 4 года назад
Mashaallah mashaallah shekhe mwenyezmung akujalie kheri hapa duniani na akhera pia tuko pamoja shekhe wangu nakupenda kwajili ya Allah na mtume wetu Muhammad S.a.w.
@jumajembe3570
@jumajembe3570 4 года назад
Shekhe Kishki Allah akupe ujasili na hakulinde inshaAllah. Mamufti wetu wamekuwa waoga!!! Wanashindwa kutetea Uislam,Mtume na hata sisi Waislam kwa maslah duni ya hii Dunia. Allah hawaangamize wanafik ktk Dini yetu wanaojiita Waislam hali ya kuwa wanatudhihaki Waislam pamoja na Mtume wetu Muhammad (SAW) Taqabal ya Mannan iwe kun fayaqun Amin
@kibibijuma8441
@kibibijuma8441 4 года назад
subhana Allah tuko pamoja in sha Allah wangejitokeza kama ww kenya dini yetu .tu ngefunguliwa msikiti mwezi mtukufu wa ramadhani.mola akuhifadhi in sha Allah
@mulhatmohamed1246
@mulhatmohamed1246 4 года назад
Allah akupe umri mrefu sheikh wetu nakupenda zaid ya sana kwa ajili ya Allah tuko pamoja nawe Allah ndomtetez wetu inshaAllah
@omarsalaah4611
@omarsalaah4611 4 года назад
Allah akulipe kila la kher Sheikh Wetu Nasi waislam sote ni wajibu wetu kumtetea Allah na Dini yake pamoja na Mtume wake kwa hali na mali na kwa nguvu zetu zote ili Heshima iendelee kupatikana kwa Allah Subhanahuu wataala
@eddyhongeramaalimseifulipo6612
@eddyhongeramaalimseifulipo6612 4 года назад
SAID SUDI NAAMINI SAIVI MAVI DEBE UTAJUA NGOJA UMALIZE HUO MKARAFUU WAKO OCTOBAR UTAJUA NGOMBE WAKO ULIKO MFUNGA
@faizabaishe5172
@faizabaishe5172 4 года назад
Ameen Ameen Ameen Yarabi sote InshAllah heri shukran.
@chanderashid537
@chanderashid537 4 года назад
Allah akupe umri mrefu shekh wetu kishk , kwatusemea sisi wenye sautindogo
@mohdnassor8080
@mohdnassor8080 4 года назад
Na ss allah atunusu tusiwe katika wenye kumuas Allah na mtume wake
@jidadaudi2255
@jidadaudi2255 4 года назад
Ina Lilah waina ilaih rajiun wallah kwa ubora alionao Mtume Muhammad(s.a.w) hakuna kiumbe Wa kumfikia
@aishaneem5468
@aishaneem5468 4 года назад
Shukuran twakuwonbeya Allah akuongoze ili uweze ku isimamaya dini yetu akupe umri murefu Allahumma Ameen
@rashidhamis6505
@rashidhamis6505 4 года назад
Tunashkuru sana sheikh wetu kwa kutuwakilisha ktk kusema na kukemea ALLAH akulinde na akuhifadhi na akuongoze ktk kheri na akuepushe na shari wewe pamoja na sisi
@a.856
@a.856 4 года назад
Allah atuongoze sote ktk njia sahihi ya muamala wa kiislam...amin
@hishamally4846
@hishamally4846 4 года назад
Kwa hakika wewe ndiyo shekhe wa kweli umenyoka maneno yako maalim kishki maashaallah
@yahyasix9025
@yahyasix9025 4 года назад
Hongera sheihk Kishk kwa kumtetea kipenzi chetu Mtume Muhammad swalallahu alaihi wasal'lam. Allah subhanahu wataala akulinde na husda na shari zote. Tunakupenda kwa hilo tu sheikh wetu. Tupo pamoja kwa ajili ya Allah na kwa niaba ya Mtume wetu na Dini yetu. INSHAA ALLAH.
@binyamina8850
@binyamina8850 4 года назад
Ameogopa waislamu waliomzunguka lakini hajamuogopa Allah لَأَنتُمۡ أَشَدُّ رَهۡبَةٗ فِي صُدُورِهِم مِّنَ ٱللَّهِۚ ذَٰلِكَ بِأَنَّهُمۡ قَوۡمٞ لَّا يَفۡقَهُونَ (Ali Muhsin Al-Barwani) Hakika nyinyi ni kitisho zaidi katika vifua vyao kuliko Mwenyezi Mungu. Hayo ni kwa kuwa hao ni watu wasio fahamu kitu. -Sura Al-Hashr, Ayah 13
@allyally9915
@allyally9915 4 года назад
Allah atamuhidi huyu mzee
@abasimfaume1482
@abasimfaume1482 4 года назад
Allah akupe umri Mrefu wenye baraka na akujaalie mwisho mwema Sheikh.
@salmaalkyumi2270
@salmaalkyumi2270 4 года назад
Allahumma Swali Alaa Saydina MUHAMMAD Salallahu Alaihi Wasalam
@maryammct3967
@maryammct3967 4 года назад
Subhana llah atujaliye mwisho mwema uyo hanakili kalanika kiumbe bora nabi wetu❤❤
@sakinabakari9813
@sakinabakari9813 4 года назад
Tunakupenda sana sheikh wetu nurdin kishk Allah azidi kukupa siha na afya njema na kuendelea kuitangaza dini ya Allah ewe kipenzi cha Allah nurdin kishki usichoke kuwakemea hao wanaoichezea dini takatifu kwani sauti yako inafika mbali mm nazidi kukuombea dua in shaa Allah Allah akupambe na uchamungu hapa dunian na kesho akhera
@rojalule9199
@rojalule9199 4 года назад
Allah barik ya Akhiiy
@bizuwena623
@bizuwena623 4 года назад
ALLAH AMZINDUE MZEE SAID SOUD KWA KWELI KAJISAHAU NA KUGHAFILIKA KUKUBWA SANA.
@mwalimameir4305
@mwalimameir4305 4 года назад
Ingekuwa vizuri kama ningemsikia mwenyewe nami ningemjibu.
@broukshafidh8670
@broukshafidh8670 4 года назад
Hajielewi huyo mzee, someni historia yake
@asiahamisi3439
@asiahamisi3439 4 года назад
@@broukshafidh8670 uzuri wa wazanzibar wakienda kinyume na dini wanateteana kuwa ameghafirika lakini akiwa mbara utasikia hao ndio zao
@aminahamadi4017
@aminahamadi4017 4 года назад
MashaALLAH ALLAH akuhifadhi shekh wetu kishki tupo pamoja na ww ..
@stevenmathias8176
@stevenmathias8176 4 года назад
My all times shekh , Allah akutunze kwajili yetu waislam
@abdiboruabdi3590
@abdiboruabdi3590 4 года назад
Mashaaallah......... Sheikh kishki Allah akupe kila la kheiri, kwa kumtetea mtume wetu Muhammad S. a. w. wolai pia Mimi siwezi nyamaza
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 3 года назад
HUYO WAZIRI LAANA IMEMJAA NA ADHABU YAKE ITAMFIKIA IN SHAA ALLAH AMEEN YA RABI ALLAMEEN.
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 4 года назад
Tupo pamoja na wewe katika haki ya dini !! ameniumiza moyo wangu Mungu atamdhalilisha Fil dunia Wal Akhera!! Ameen
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 4 года назад
Sheikh wetu. Ahsante sana kwa msimamo thabit juu ya Dini yetu. Naomba tumuombee Waziri Said Soud. Allah amhidi. Tujitahidi tusimlani moja kwa moja Ataangamia huyu baba wa watoto wengi na wajukuu.
@raiye5621
@raiye5621 4 года назад
Naickiliza hii habari Wallah machozi yana nitoka SubhanaAllah Allah atuongozi katika njia njema InshaAllah
@halimaramadhan2975
@halimaramadhan2975 4 года назад
Amiin yaa Rabb
@zainabbahri4574
@zainabbahri4574 4 года назад
Allah akuhifadhi Shekh Kishki na shari zao in shaa Allah kwa uwezo wa Allah na mtume wetu mpenzi wetu hakitokufika chochote kutokana na shari zao hao ni watu wanafiq sana bora raisi Makufuli anaiheshimu dini yetu
@kamalkhamistz9172
@kamalkhamistz9172 4 года назад
Hongeren #channelntz na mhe shmiwa nadir kwa kusmaam kidete kututetea sisi waislam kwa ujumlaa na kumtetea mtume wetu MUHAMMAD S.A.W
@wahidashabaz5982
@wahidashabaz5982 4 года назад
Allah tupe kauri nzuri juu ya mitume yetu na mola wetu.tunashukuru kishki kwa kuweka ukweli hazarani.
@rumesibarka5312
@rumesibarka5312 4 года назад
Maneno ya kweli na nasaha zimeshamfika bora arudi kwa toba haraka na aombe msamaha kwa kauli yake.
@samiraali5505
@samiraali5505 4 года назад
Allah akuhifadhi na tukutane kesho peponi InshaAllah, hakika nakunga mkono shk wangu yyte atakae mkejeli habibullah,na Allah wadhalilike hapa dunia ni na kesho akhera kama kweli huyo waziri anajitambua hakika amrudie mola wake kwa kutuba twabatul nasuha!!
@allymuhammad8956
@allymuhammad8956 4 года назад
Nampa bishara njema sheikh Nurdiin allah akukubali... ila inasikitisha sanna masheikh zanzibar wamenyamaza kimya ila wewe allah kakupa taufiq kumtetea mtume s.a.w na kuonesha hisia zako mbele ya mola mie naungana na wewe allah akulipe kheyr na barka
@saidamoti7120
@saidamoti7120 4 года назад
Kilaa atakae mtaja kipenzi wa allah mtume wetu muhamad aley wasalam mungu amtie ububu rena nakumpa lakumpa
@yasminasmiss6577
@yasminasmiss6577 4 года назад
Allah akulipe kila lakheri shekh wetu kishki piya akupe mwisho wema sote vipenzi vya Mtume Muhamad S.A.W
@rahmahrahmah6683
@rahmahrahmah6683 4 года назад
Amevuka mpaka sana.huyo mbunge.
@thamratsaid8526
@thamratsaid8526 4 года назад
Allah akuhifadhi shekhe wetu tunakupenda kwa ajili ya Allah Mkono kwa Mkono hadi peponi
@fatumaabdallab8301
@fatumaabdallab8301 4 года назад
Inn shaa ALLAH ALLAH atamrudi amlipie Mtume wetu S.A.W
@zahraalbaloochi2841
@zahraalbaloochi2841 4 года назад
ALLAHU MASWALI ALLAH MUHAMMAD YA'RRAB SWALI ALLAHY WA SALAAM!!
@mudrickbaraka2090
@mudrickbaraka2090 4 года назад
Subhanallah,aombe musamaha kabla allah hjamudhalilisha katik uso wadunia hii
@kochantv8554
@kochantv8554 2 года назад
Ndo mana nakupenda Sheikh Nurdin Kishki kwa ajili ya Allah,..
@abkmavoko
@abkmavoko 3 года назад
Mashaallah mungu akuzidishie kila baya wanaokosea binadamu na uwarekebishe na akupe umri mrefu kuwaambia ukweli wabaya wetu..nimejifunza .mungu atupe maisha mema yenye mafanikio...Ameen
@rahimasaid3674
@rahimasaid3674 4 года назад
Sheikh kishki tupo pamoja
@alnadhirstudio2934
@alnadhirstudio2934 4 года назад
Sheikh nurdin kishki nakupenda kwa ajli allah nakunga kwa lolote kutetea dini yetu na kumnsuru kipenzi cha Allah mtume muhammad صلي الله عليه وسلم
@abdulrahimthabit2405
@abdulrahimthabit2405 4 года назад
Ikiwa haja omba tobaa kwa Allah. Allah amteremsheye laana na adhabu hapa duniani na kessho akhera. Barakallahu fik imam wetu
@muhammadsaidi4872
@muhammadsaidi4872 4 года назад
اللهم صلي سيدنا محمد وعلى آله
@douglasmukaria7267
@douglasmukaria7267 4 года назад
Asante mwalimu kwa kazi nzuri unayoifanya mungu akutie nguvu nyingi zaidi katika jina la yesu .
@leilamohamed950
@leilamohamed950 4 года назад
Inna lillah wa inna ilayihi Rajiuun........ Tuko pamoja Sheikh......
@athumanishauri3306
@athumanishauri3306 4 года назад
Allah amsamehe mtu huyo kwani hajui anacho kisema
@hawamhanga2951
@hawamhanga2951 4 года назад
Mungu wetu mlezi wewe unatujua kuliko tunavo jijua hakika mioyo yetu inauma sana pale ambapo mtu anapo mtukana kipenzi chetu mfano wetu kiigizo chema sisi tunakuachia wewe ndio mwenye kujua maumivu yetu sheh wetu kisk tunakushukuru kwakutujuza haya mungu akupe maisha marefu sisi na wewe pia kwaajili ya kulingania uislam wetu dini yetu yahaki .
@rajaburamadhanisheburudha3398
@rajaburamadhanisheburudha3398 4 года назад
Allah amlipe hapahapa duniani waziri huyo kwa kumzalilisha kipenzi cha Allah , sheikhe Nurudini kishiki tuko pamoja na tunakuunga mkono kwa ajili ya kutetea haki na kila mpenzi wa mtume Muhammad s.a.w.alikemee hili
@aisharamadan4803
@aisharamadan4803 4 года назад
INALILLAH WAINALILLAH RAJAUNI MSIMBA
@hadimohammed8414
@hadimohammed8414 4 года назад
A.a sheikh nurdin kishki. hicho kizee kibunge uislamu wake naona uko mashakani kwa maneno yake ya kumdharau MTUME MUHAMMAD (S.A.W). na nasema hivi hicho kizee kina bahati sana kwa kua sisi si raia wa zanzibar au tanzania, lau sisi ingekua ni raia huko, hicho kizee na mfano wake na wabunge wote wa huko wangekua kama wa huku kwetu (mombasa, kenya). wabunge kenya wanafahamu waislamu wa huku tulivyo. wa kwetu hawathubutu kumfanyia dhihaka MTUME MUHAMMAD sababu wanajua jeshi la kumtetea MTUME MUHAMMAD huku liko. Sheikh hishma ya MTUME MUHAMMAD ina thamani kuliko hata maisha yetu. Matukio mengi ya kuchafuliwa kwa dini yetu MTUME wetu QUR'AN yetu yanatokea huko kwenu, wallahi twatamani lau na sisi tungekua raia huko basi bi'idhni-llaah kusingekua na uchafuzi kwa dini yetu. Jaribuni hata kumtishia maisha iwapo hamuwezi kumshughulikia ipasavyo ili tu ajue MTUME MUHAMMAD si mtu wa kuchezewa. Sheikh twaomba kama kuna uwezekano na mpango wa sisi kuwa raia wa zanzibar au tanzania twaomba mutujulishe tuje tuishi na nyinyi huko kisha iwapo kutatokea matukio kama haya tuweni pamoja katika kuinusuru dini yetu INSHA'ALLAAH. shukran AL-IZZATU LILLAAHI WALIRASUULIHI WALIL-MU'UMINIIN. we Muslims we have to be strong and defend our prophet and our religion 💪💪🤲.
@bayaanhumud4328
@bayaanhumud4328 4 года назад
Bismillahi maaashaaallah Allah akuzidishie imani na umri mrefu wenye kheri khery kwako Shekh kishki Ahsante cna
@jamilanassoro8408
@jamilanassoro8408 4 года назад
Allah akujaze kheri sheikh wetu🤲🤲na huyo mzee aombe msamaha kabla ya kifo
@oman7710
@oman7710 4 года назад
Walaykum salam warahmatullah wabarakatuh
@halimamwakucha2637
@halimamwakucha2637 4 года назад
Allah akupe umre mref shekh wetu hil uweze kuitetea din ytu pmoja n kuelimisha jamii y kiislam
@salmahhabibu4131
@salmahhabibu4131 4 года назад
Subhanallah... Allah amsamehe na amzindue na atuongoze njia iliyonyooka...
@hudhud2022
@hudhud2022 4 года назад
Akitaka kusamehewa
@aishasaid5702
@aishasaid5702 4 года назад
Tupo na wew Kishki in shaa Allah
@zulfahhussein505
@zulfahhussein505 4 года назад
Sheikh wetu twakupenda kwa ajili ya Allaah na Allaah akujaze khery na baraka zake hili uzidi kutuelimisha
@arafatsalehe6607
@arafatsalehe6607 4 года назад
Tunakupenda sn Shk wetu kishi mungu azidi kukupa umri mlefu nawenye afya yarabii akurinde kishi wetu msemeji wahaki
@adijarashidi1426
@adijarashidi1426 4 года назад
Allah akulinde shekhe wetu na akupe afya
@fatmaabdilahi1007
@fatmaabdilahi1007 4 года назад
MashaAllah sheikh wetu Alhamdulila Allah akupe umri ,tuungane waislamu tumtete kipenzi chetu mtume wetu.
@saidamoti7120
@saidamoti7120 4 года назад
Mungu akupe umri shekh kishki
@saidamoti7120
@saidamoti7120 4 года назад
Shukraan👏❤
@abdulswamadabdul4502
@abdulswamadabdul4502 4 года назад
MashaAllah, Tabarakallah.
@kizamaulidi6004
@kizamaulidi6004 Год назад
Subhanallah allah akuhifadhi shekh wetu kipenzi
@aishamuhammad7785
@aishamuhammad7785 4 года назад
Tunakuunga mkono shekhe, tuko pamoja naww na ALLAAH yupamoja nasi
@hemednassour4763
@hemednassour4763 4 года назад
MashaALLAH SHEKHE KISHK UKO vuzur kututuetea dini yetu na pia .Uyo mzee ata icho kisa naona hakijui uzuri maana mtume alipoabiwa IQRAA hakubanwa roho bali amebanwa mbavu
@shabanmbajo191
@shabanmbajo191 4 года назад
صلّ الله عليه وسلّم
@azizaasya8776
@azizaasya8776 4 года назад
Allah akulipe kheri sheikh Kishki kwa kutimiza wajibu wako kwa kukemea uovu Allah akulipe unachostahili
@ummuzubeyda7402
@ummuzubeyda7402 4 года назад
inshallah jazakallah khayr sh
@mwanakhatibu3722
@mwanakhatibu3722 4 года назад
Mwenyez mungu atujalie afy njema naumri mrefu pamoja na mwisho mwema
@alanami2846
@alanami2846 4 года назад
Tunakushukuru shekh kishki kwa kulisemea hilo, labda ofisi ya mufti ya Zanzibar hawajaona wala kusikia.
@saumusalum5883
@saumusalum5883 4 года назад
ALLAH amlipe hapa duniani
@jumashebby1666
@jumashebby1666 4 года назад
Watu wa Camera mkizungusha camera hawa ndugu zetu waliokosa neema ya kusikia watatambuaje kilichoongewa wakati wa kuzungusha camera? Nashauri mtafute namna wakati mnazungusha camera mumbakishe huyo mtarjumi awe anaonekana upande wa pembeni kama zilivyo kwenye taarifa ya habari. Hongereni kwa kazi nzuri.
@MchotaOnline
@MchotaOnline 4 года назад
swadakta
@amnajugbar739
@amnajugbar739 4 года назад
Upo sahihi
@fatumahalifa8329
@fatumahalifa8329 4 года назад
Mkono kwa mkono hadi pepon kumtetea kipenzi chetu.
@sportsarena5732
@sportsarena5732 4 года назад
Naitaj namb yake mda uu
@salumahmed9944
@salumahmed9944 4 года назад
Allah amsamehe kwa kauli yke allah amuongoze njia njema said soud
@rahmaaden6391
@rahmaaden6391 4 года назад
Laailaha ilallahu
@tumualiomar9792
@tumualiomar9792 4 года назад
Subhanallwah allwah ampe imani na hayaa aombe msamaha jwa allwah ama sivyo chamoto atakiona ss ni wadogo sana chini ya mtume wetu mohamad sallalwah alyh wassalaam
@salmamohamed3929
@salmamohamed3929 4 года назад
Allah akulipe kheri Sheik Kishki.Mimi naungana na wewe ktk kukemea suala hili la dharau kwa kipenzi chetu bwana mtume Muhammad (s.a.w),na kuwa huyo mzee anatakiwa aombe toba kwa kosa alilolifanya
Далее
FADHILA ZA KUMSWALIA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)
9:40
Просмотров 73 тыс.
Hivi ndivyo nabii issa alivyoitwa yesu
49:31
Просмотров 55 тыс.
MAZINGE NA MCHUNGAJI
18:15
Просмотров 86 тыс.