Naaaaaaam shekh kishk safi kabisa kama ni darsa limeeleweka insha allah kubwa na la msingi ni utekelezwaji insha allah maana neno zur ni lile likupalo faida allah atupe tawhid AMEEEEEEEEEEN
alhamdulilahi SOMO NZURI SANA mwenyezimungu akuzidishie na akuweke shekh wetu NURDIN KISHKI na walioweka video hii kwenye youtube hakika tumejifunza mengi MASHALLAH
Aslm alkm ww.... Allah awahifadhi vijana wetu. Ni kweli kabisa sheikh wetu kipenzi vijana wametokomea na mipira hata kusuka nywele kama wachezaji mipira subhannallah. Watoto wazuri wanakaa kama wanawake😭😭😭😭. Allah akupe Jannah firdous Kwa hili sheikh. Jazakallah kheir 🙏
SHEKHE MAUWADHA YAKO NI MAZURI ILA KUNA SEHEMU UMETELEZA NASEHEMU YENYE NI PALE ULIPO SEMA ULIKUTA WAZUNGU LAMU LAMU HAKUAN WAZUNGU ILA BADALA YA KUSEMA WATAMU UKASEMA LAMU