Mapenzi ninayo kwako mungu ndie anajua nimepata faida nyingi sanaa kupitia kwako kuna mambo mengi nilikua siyajua lakini alhamdoulillah nimeyajua mungu akupe maisha marefu akupe mwisho mwema
Allah akueke ukiwa na kheri zake katika hii dunia proud to be muslim wallah kwa hali hii Allah azidi kukupa umri mrefu weny heri utupe chakula cha nafc
Ma sha Allah sheikh othman bin maalim. ALLAH akulipe kheri nyingi na akupe uwezo zaidi wa kufikisha alama za kuwepo kwa Alalh. Amin yaa raab.. kheri kubwa ina kungoja in sha Allah.
nakupenda kwa ajili ya allah namuomba allah akupe maisha mrefu na sio maisha mrefu tu akupe kalima ya lailaha ila wallah musho wa mauti yako na akuongize peponi allah wew pamoja na sis waislam wenzio
Assalam Aleykum Sheikh Osman , Kwanza natoa Shukraani isiokuwa na hesabu wala mfano kwako na Ulamaa Wa Kiislamu popote walipo , kwa kazi mmejaaliwa kufanya. Kufunza na kuongoza ni ilmu Isiokua ndogo. Naishi na kufanya kazi mbali na nyumbani na Darsa Zenu na sana zako hunipa njia za kutoa na kutibu matatizo zangu huku niliko. Namuomba Allah awalipe na Jannatul Firdawsa pamoja na Waislaamu wengine wote. Ameen Ameen Wasalaam Aleykum