Тёмный

SHEKHE SHARIFF AMVAA NABII GEORDAVIE/NABII WA UONGO/AMUONYA/ASIWATUMIE WAISLAMU KWENYE IBADA ZAKE 

Carrymastory
Подписаться 476 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Tumepiga story na Shekhe Sharif

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 193   
@ZainabuMwambashi
@ZainabuMwambashi 8 месяцев назад
Inalilah wainalilah rajiun shekhe umesema kweli waache kuchezea inan za watu
@shersaid7988
@shersaid7988 Год назад
Hakika ujinga kuchezea imani ya wengine ili ufanye kiki.Shukran shekhe Sharif kwa kulisema hilo.
@amrisabit9857
@amrisabit9857 Год назад
Ni kweli yule devi ana tutafuta waislam sana kila siku ana wa panga watu eti ni waislam ili yeye aonekane Mzuri
@josephemmanuel388
@josephemmanuel388 Год назад
shehe upo vzr sana
@bahatimanegabe1777
@bahatimanegabe1777 Год назад
Uyu SHEHEE nitapeli, tena hafai kuitwa shehe. alinitapeli pesa mwaka 2021 iposiku mahana ushahidi ninao siku nitawasili Africa ndipo siku atajuwa nguvu la taifa la marekani.
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 Год назад
We na ww inaelekea unapenda ushirikina😅 sa kwa huyu ilienda kutafuta nini
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Год назад
@@aminmohammed4249 hakika mtu jisomee dua tuu
@isayachamsa3849
@isayachamsa3849 Год назад
Haaaaa Hivi Ni Kweli?? Aliwahi Kukutapeli
@philemonkavutirwa9522
@philemonkavutirwa9522 Год назад
Asante Kaka izi Siku hakuna nabiii kabisa ni wizi
@williammpuya3035
@williammpuya3035 Год назад
Hata hao waislamu wengi tu ambao ni waongo wazinifu tu,saic amini mungu yupo hapa tu,ila saiv sio wachungaji wala mashekh wapo wa hovyo tu
@kaifajuma6790
@kaifajuma6790 Год назад
Nimeona yamisiba jana wenzetu UTURUK ZAIDI YA WATU 4000 SIRIA ZAIDI YA 1000 wamefariki ndg zetu walio kuwa wanaenda msibani 14 mungu wetu tuondee vifo
@mosesjillo1729
@mosesjillo1729 Год назад
Bibilia ilishakuhatarisha kuhusu manabii wa uongo,,,nabii yeyote anaetambulisha Mungu kwa jila lingine ambalo amejidhihirisha katika agano la kale,anaetoa unabii ambao hautimiziki basi huyo ni Nabii wa uongo,,,,mfaano Jina Allah aliloleta mohamed halikuwa kwa agano la kale
@shariffkareem8045
@shariffkareem8045 Год назад
Apo aupo sawa mana vitu yva kiloo avi pimwi na yvombo yva kisayasi mungu ana sili na udongo wake na maji ni sili ya mungu Kila mtu kapewa kalama yake na maitaji yake we nimuongo kwa iri niliro sikia Asante kwa kupinga kalama dha wedhako
@zuberikamote2078
@zuberikamote2078 Год назад
Umeongea point shekhee🙏🙏mungu akuweke akuepushe na mabalaa ya Dunia
@Oscar-qs7tn
@Oscar-qs7tn Год назад
Mtu mwenyew kapaka ina, waislamu mjue kutulia, mtawaongelea Sana viongozi wa kikristo lakn wao wako kimyaaaaa. Mashekhe mtahubiri ukristo na watu wenu watakimbilia kanisan
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Год назад
Ivi unajua papa wenu ni shoga?
@bilalisalim360
@bilalisalim360 Год назад
Ao mashekhe na mapastor wamezidi
@joelmutie2149
@joelmutie2149 Год назад
Joel from Kenya msalimie Shariff mwambie asiogope
@mastaplan
@mastaplan Год назад
Upumbavu kugombana katika dini ambazo hamjui ukweli wowote juu ya hizi DINI... Africa GIZA
@geraldtarimo3210
@geraldtarimo3210 Год назад
Wewe mpuuzi acha ushoga,mlanguruwe we we,achamaramoja kuchezea imani ya kristo,pumbavu
@richardyohana6307
@richardyohana6307 Год назад
Shekhe sharifu Majin..mwamposa. joh dev. Wote ni matapeli na wote ni waganga wa kienyeji tu
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 Год назад
Huwezi kuwa Shekhe bila kumzidi mwenzako majini ndio ukabidhiwe msikiti na watu tunao wapinga huwa mnachukua majina yetu kwenda kusomea Albadil ili tufe na hatufi kwa jina la Yesu na tutawaambia ukweli acheni uchawi kutegemea Majini yenu kuharibu watu,.Yesu halali Waislam na Manabii wa uongo wote nyie ni wapinga Kristo mlisha tabiriwa kwenye ufunuo wa Yohana tunao mwamini Yesu ni Mungu hatogopi nyie mnagombania maslai yenu sio ya Mungu alie Hai Milele na Milele nae ni Yesu Kristo Alfa na Omega.
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 Год назад
Heheheee unachekesha kwa taarifa yako waislam Ndio wamejaaa ma kanisani na Yesu anawatendea na ushuhuda wanatoaaaaaa Acha makasirikooooo
@muniramuniraally5357
@muniramuniraally5357 Год назад
Jitambue kwanza uislam ni dini inayo jitosheleza kila idara Haya yte yameandikwa kwenye kitabu kitukufu Wte hawa ni matapeli tu tumuogpe mungu Jmn
@hassanihussein4479
@hassanihussein4479 Год назад
Huyo yesu mwenyewe anataka kupewa ushuhuda
@jan6703
@jan6703 Год назад
@@hassanihussein4479 Ati nini!!!!
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Год назад
Kama wakienda si wao wenyewe watakuwa makafiri? Na watazikwa masandukuni
@adamufundikira7878
@adamufundikira7878 Год назад
ally inajitosheleza kupeleka watu motoni wewe simama na imani yako
@panadomadola3064
@panadomadola3064 Год назад
Nabii mkuu kàkosea wapi mbona sioni kosa lake "shehe muogope Mwenyezi Mungu.
@drcharlesswai1123
@drcharlesswai1123 Год назад
Maji sio ushirikina bhana.Ongea ukweli bhana
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Год назад
Utofauti Kwako Wanakuja Kwa Kificho Lakini Kwa Devi Wanaenda Mchana Kweupe Sasa Wewe Na Yeye Devi Yupi Bola Unasema Manabii Wanakuja Kwako Kwa Sili Lakini Unaowasema Wewe Kwa Devi Wanaenda Mchana Sasa Tuelewe Nini Apo Nimegundua Mungu Ndie Kila Kitu Kwa Binadamu Kila Mtu Asimame Kwa Mungu Alie Juu Yetu
@baysadam235
@baysadam235 Год назад
Lahasha Mtume wa mwisho ni Mtume Muhammad s.w.a hao wanaojita mitume ni njia zakutafuta ugari🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Год назад
Mtume wenu ni marehemu mwiislamu watu wote sio waislamu mbona vichwa vyenu ni vigumu waislamu
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
@@prochesernest5439 Huyo mtume Muhammad s.a.w asife kweni yeye si binaadam.?
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Год назад
@@Catherine-mh8sw kumbe mhammad alikuwa binadamu ndomana alifanya mapenzi hata na mtoto mdogo wa miaka 9 hahahaah... sisi wenzenu tunamfuata mtume wetu Yesu kiristo aliye kufa na kufufuka na kupaa mbinguni kwa baba Mungu mwenyez muumba mbingu na ardhi
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
@@ramadhanmahongole9293 sawa
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Год назад
@@Catherine-mh8sw soma Quruan 33:56 Mungu na malaika zake wanasalia uwaskilize mashekhe wanavyo msifu kuliko Allah heti ni kiumbe Bora kuliko vyote anawazidi heti na malaika wakati maraika awatendi dhambi Muhammad katenda dhambi mpaka Allah anamwambia tubu dhambi zako 40:55 47:19 ISSA kwamujibu wa Quruan hakuwai kutenda dhambi je aliye mbora hapo ni nani?
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono Год назад
Majini
@josefomoises9521
@josefomoises9521 Год назад
Na we pia njaa iyo
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 Год назад
Ila mmh! Nimekuelewa pengi umegusa ukweli.
@MichelBingiclinton
@MichelBingiclinton Год назад
Asanti mwalimu na ni nakufata kutoka Congo Lubumbashi
@lawijosephezekieli1078
@lawijosephezekieli1078 Год назад
Kwaiyo we muganga wa kienyeji
@mlokozivedasto9130
@mlokozivedasto9130 Год назад
Jamani niwe muwazi shehe uyu nimuwazi na mkweli alipaswa awe shehe Mkuu naona anafiti sana
@fatumamsellem7622
@fatumamsellem7622 Год назад
Nilikia nahishimu sana mashekhe Lakini sasa hivi mashekhe ni kanzu tu Mumekua wasanii Mwashindana kwenye mitandandao. Na sisi maamuma tukifanya Mtasema Hebu naomba mudi nyuma msitumie mitandao vibaya Mshajielezea sana Yatosha
@paulinanyanzala9072
@paulinanyanzala9072 Год назад
Shekhe sharrif acha kusema uongo ushuhuda unaotolewa kwa geordavie ,musa, mwamposa, gwajima,suguye, n.k ni ya kweli wafuate vifaa au dawa za miti shamba ili watoe ushuhuda kama wanafuata kwako ni maajabu watu wanauza tunguli miti shamba inauzwa sokoni wakufuate wewe Sharif kweli wewe shughulika na yako tabiri yako kila MTU na karama zake
@hanifatanzania7258
@hanifatanzania7258 Год назад
Inalillahinwainailahi rajuun hiyo ghaib ww kakupa nani ghaibuni ya Allah tu. Yakesho. Hakunaajuae.
@filimonmpinge6039
@filimonmpinge6039 Год назад
Kanyoe hizo ndevu baba acha makasiliko yaani mafanikio ya NABII MKUU yanawatesa wengi kumbe
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Год назад
Shekhe yahya alitabiri watu wakubwa watakufa cha ajabu akafa yeye,,,,,atakae amini huu upotövu hiyo hajawa na Imani hakuna anaye Jua kinachokuja mbele ni mungu pekee hata malaika hawajui
@cmb6342
@cmb6342 Год назад
bac Kama wew Ni Mungu futa dini ya kikristo uiache ya kiislamu tu,hii Ni dunia ya Mungu yeye ndo ameua iwe hivyo kwa makusudi yake,usiumize kichwa mwachie Mungu atadili nao
@meikoking
@meikoking Год назад
Kwendaaaaaaaa Wanakuja wenyewe
@TALLUBOY
@TALLUBOY Год назад
KWELI MAMBO YA KUCHUKUA WAISLAM WASIYO NA IMAN NA NJAA KALI ZAO UKO MTAANI munatupa miemsho ya #din Tutauwana Wenyewe kwa wenyewe muache UJINGA NYINYI WACHUNGAJI
@noelbernard6390
@noelbernard6390 Год назад
Hivi kuna sheikh asiyekuwa na mahusiano na majini
@teophilletus8969
@teophilletus8969 Год назад
Majin Ni viumbe wa mung tu ila kun majin wema na majin wabay km binadam walivo kwaiy ukion ww huna wered kichwan kuhusian na maada na si msomi San wa vitabu ili kuzichimba historia jaribu kukaa kmy
@zianasalimuhivikunamchunga5224
Hivi Kuna mchungaji ambae Hana mapepo
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Год назад
Jamani sharif majini ,na papa shoga bora nani?
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 Год назад
Bora shoga maana yule anakuwa katupiwa Jini la ushoga ili kumuharibia maisha lakini Majini wewe ni Mpinga Kristo na mshirika na Shetani mojakwa moja, Shoga anaombewa na jini likimtoka anapona
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Год назад
Wew jina laki linatisha shekhe majini wew uwezi kuwa kalibu na wachungaji maana wew ni majini majini na wachungaji awakai pamoja wanayafukuza ulifukuzwa wewe wakristo atuna mausiano na majini wewe ni ndugu zako majini
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Год назад
Majini ni viumbetuu usitishike
@saidsuleiman9018
@saidsuleiman9018 Год назад
Wahuni Tu wale shezi
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Год назад
Huyu si shekhe ni mganga na ni mchawi harafu fanya mambo yanayo husu wewe na dini Yako we sio mungu mwache mungu afanye kazi yake wewe fanya kazi na majini Yako maana ndio mungu wako
@humoudseyd7310
@humoudseyd7310 Год назад
We una maono au maunooo? Bwege we jambazi mmoja we
@womanofsteel1402
@womanofsteel1402 Год назад
Hata nawe Ni mchawi jina lako tu linajitosheleza
@petrothomas5328
@petrothomas5328 Год назад
Nikwel kabac
@maryeer6392
@maryeer6392 Год назад
Mimi ni mkristu tokea Kenya 🇰🇪 ila naungana na wewe moja kwa moja, watu wawache uchawi eti maji ya upako🙏.
@glaury9938
@glaury9938 Год назад
Wewe mkristo tokea kenya nikwambie tu waslamu ndio wanaoongoza kwenda kanisani mana msikitini kuna majini na sio nguvu za mungu
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr Год назад
​@@glaury9938 ajui tu uyo mwenyewe ni nabii wa uongo kama wengine😅mi simuamini kbs anavutia kwake tu
@kobelochande6669
@kobelochande6669 Год назад
Ndevu tu ka mkonge kwani kaja msikitini si wameenda wenyewe 😏
@eaglecrown6470
@eaglecrown6470 Год назад
kumekucha 2023 huu mwaka mtamu mie natabili Shetani na wafuasi wake huu mwaka watafalakanishwa na kuzalilishwa Sana...... itapendeza Sana shekhe. Wataje waganga wenzio wote tuwajue😂😂😂😂😂😂😂😂🙏🏿🇹🇿🤔
@barakakusa7606
@barakakusa7606 Год назад
Nenda hata Kwa Mwamposa ukaone na kujiridhisha kama kuna wengi wasio wakristo na wanapokea na kupaka mafuta kama kawaida NB Nabii ni WA wakristo japo hata na wasio wakristo wanapokelewa kama kawa.
@ssalimsalim3864
@ssalimsalim3864 Год назад
Acheni uzushi yenu yanawashinda kwani simnakwenda wenyewe kwa njaa zenu au mliitwa??
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 Год назад
Aka kajamaa ni katapeki tu nilikaona Tabora kanauza dawa za kitapeli tapeli
@petrothomas5328
@petrothomas5328 Год назад
Shetani mkubwa ww
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Год назад
nawewe uache kuagua
@samwelmollel602
@samwelmollel602 Год назад
Umekoseya shakusungumsa ukalime
@lameckdingoo4404
@lameckdingoo4404 Год назад
Shekhe unateseka na nini kwani mbna mnaumia sana pindi wenzenu wanaenda kwa nabii mkuu
@paulinanyanzala9072
@paulinanyanzala9072 Год назад
Sharif majini wewe unajaji watu huna lolote wewe umewafanyia wangapi uongo tabora ulikuwa unauza dawa zilipimwa na nani jamani usiwaponde wenzako sema yako
@humoudseyd7310
@humoudseyd7310 Год назад
We mwenyewe mshirikina bwege we njaaa wewe na hao wachungaji nyote njaaa matapeli nyie hamna jini wala shetani mnaowatibu wizi tu nyie unaleta unafiki tu kwenye nchi yetu
@nicolenabintu2509
@nicolenabintu2509 Год назад
Nime kupenda bure , Mungu ata awa okowe kwa kweli ,wana zidi kupotosha jamii 👎🏾😭
@teophilletus8969
@teophilletus8969 Год назад
Yan watanzania ubongo waoo Ni mavi tupu iv kam Mt unakil timamu ukimsikiliza mwanzo mwisho uyu jamaa anakibay gan alichokiongea kwan Ayo mafuta wanayonyweshwa watu mmeyapima kwel au Ayo maji lakin pia kiukwel kwasas din Ni kaz za watu kwaiy kutokujitambua kwenu msiropoke ujinga
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Год назад
Kaka.taja I'li uokoe wasiojua taja
@kakajoeprosper957
@kakajoeprosper957 Год назад
Kama unaongea umewapa dawa ili wafanye miujiza inamaana na wewe ni mushirikina kama wao, pole sana, n'a dini yako.
@renatuswilson1577
@renatuswilson1577 Год назад
Kwani wanalazimishwa?? Wenzio wanaenda kwa uamzi wao. Saivi sjui tunaelekea wapi, Viongozi wa dini saivi mmekuwa na misuguano. Sisi tujifunze nn toka kwenu??? Haipendezi.
@rosekasambale2521
@rosekasambale2521 Год назад
Ww shekhe ubwabwa huna lolote hao waislam wanaokwenda huko wanaotwa????kwenda zako huko ww
@Marjeby
@Marjeby Год назад
Huyu jamaa huwa ana matatizo ya akili wallah kwanza ukimuangalia tu uso wake unaliona hilo matatizo yake anajiona ana elimu sana while jamaa ni dalasa la saba na kwenye uislam ndio kabisaaa mjinga sana njaa ina msumbua et!sharifu majini hahahaha Mie ni muislam but asimame huyu jamaa na huyo Jodev mie naenda kwa Jodev
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Год назад
Kwani huyo nabii kawafata msikitini kwenu mpaka unasema anaingilia dini ujielewi mara shekhe kawaita hao mashekhe
@kennedybutiko7651
@kennedybutiko7651 Год назад
Ukweli hauwezi fichika utajidhihiri
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 Год назад
Wataje jamaa,watajeeeeeee tuwajue wezi kabisa hao. Usipo wataja basi unawalinda
@David-zb6kk
@David-zb6kk Год назад
Hahahaa
@jareengeorge5478
@jareengeorge5478 Год назад
Wewe hebu pambaneni na dini yenu.bwana.acha upumbavu.kwani nabiimkuu amewaita?? Acha kubwabwaja wewe.yakwenu yamewashinda unahamia kwa nabii mkuu??? Ushindwe panya wewe.umetoka kuomba msamaha kwa uropokaji wako.huku kwako kumekushinda unataka mzozo na nabii mkuu.utamuweza kweli.kazi yako hiyohiyo.kulopoka bila mipango.kaa chini fikiria Kwanza usiropoke Kama ushuzi.alaaaaaaa.mliwatukana mashehe wenzenu Sasa yamewashinda mnaanza kuomba msamaha.mpumbavu kweli.
@felixbenos6365
@felixbenos6365 Год назад
Uko sahihi ulicho ongea
@omarimpogo6895
@omarimpogo6895 Год назад
Upo sahihi shekhe
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Год назад
huyo sheikh wako yupo sahihi kwa lipi? au kwakuwa upo dini moja naye? anaongea utumbo tu hapo
@omarimpogo6895
@omarimpogo6895 Год назад
@@ramadhanmahongole9293 we mjomba unaona kakosea kipi apo...!!!?
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Год назад
@@omarimpogo6895 asa huyo ndie mtumishi wa mungu? mtumishi wa Mungu anakuwaga hivyo kupaka ndevu pich na na kuuza madawa ya kienyeji ?
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Год назад
Acha ale pesa zao wakristo
@selinagregory8674
@selinagregory8674 Год назад
akuna mtu wa kumpanga mtu ayo mambo yapo leo kwa wenzenu mnaongea kl wakati na muda wake auna lolote ww acha iman za watu ww fanya yako
@samwelmollel602
@samwelmollel602 Год назад
Ukanawe uso
@selinagregory8674
@selinagregory8674 Год назад
ww muongo watu wanapona fanya ya kwako
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Год назад
Hayo majini yako hayawezi kuvumilia moto wa Yesu
@زينبعليعبدالله-ز3س
😂😂😂😂😂😂
@زينبعليعبدالله-ز3س
Yesu gani anamiliki moto acha uongo ww moto ni wa Mwenyezi Mungu tu
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Год назад
@@زينبعليعبدالله-ز3س Mungu ni Yesu
@zianasalimuhivikunamchunga5224
Vipi mapepo mnayokusanya kanisani Huwa mnayapeleka wap kila siku mnayafuga kanisani
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Год назад
@@zianasalimuhivikunamchunga5224 kuna jini linaitwa zainabu haliwezi vumilia moto wa Yesu
@joanesasalavaleriano9980
@joanesasalavaleriano9980 Год назад
Umepigwa Dongo lá uso unakataa wasan
@stevenharuna7838
@stevenharuna7838 Год назад
Na Akina pimbi ni wakristo maana walienda kule
@salummussa9871
@salummussa9871 Год назад
Acha wivu ,,wataje mbona wewe hufanyi miujiza ,,mtu unaitwa jini
@raphaelkatanga5335
@raphaelkatanga5335 Год назад
Mbonayeye nimganga nimtumishi washetani
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 Год назад
Yey ni mganga hataki asalitiwe.na waganga wenzake wasijiite Wana wa Mungu huku wa shetan
@alouisejohn7752
@alouisejohn7752 Год назад
Wataje mbona unaongea pumba ndugu yangu pigana na magaidi wengiwao ni waislam hilo halipingiki
@grantmwakalambile2808
@grantmwakalambile2808 Год назад
Ww na hao waongo wote ni wale wale ata ww Amna k2 naww ni mganga tu
@zaburi2386
@zaburi2386 Год назад
Amesema yeye uganga wake anatumia kitabu cjui kitabu gn????
@estermahenge-ks3dr
@estermahenge-ks3dr Год назад
😂😂😂tutaona mengi huu waka
@ilungasalle
@ilungasalle Год назад
Wewe mwenyewe ni wale wale tu miwani kama kunambi
@Rastermirish
@Rastermirish Год назад
Haaaa yaani wewe akili Yako matope aina mchuzi
@prochesernest5439
@prochesernest5439 Год назад
Wewe majini yanakuvuluga
@yeshuasnewweapon5509
@yeshuasnewweapon5509 Год назад
🤣🤣🤣🤣
@samwelpaul4279
@samwelpaul4279 Год назад
sharifu majini unapoelekea utapotea achana na hawa watumishi
@mdzainb3722
@mdzainb3722 Год назад
Kwani si wanakwenda wenyewe kafie mbele huko 😏😏😏
@abdallahally842
@abdallahally842 Год назад
Wanafata pesa
@sebastianzongoro8915
@sebastianzongoro8915 Год назад
Kweli hayana alama ya tbs,
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 Год назад
Shekhe gani anavaa wigi! Ndevu 🤬
@asiakheir8684
@asiakheir8684 Год назад
Kutia hinna ni sunna acha ushamba
@mozzaliuleiza9288
@mozzaliuleiza9288 Год назад
Shekh gan hujui kusoma aya ya quran 😅😅😅😅😅na unatafsiri kimakosa kitabu chake ni chenye kukamilika maana ya كتابا مؤجِّلا kaa chin usome na uache kuizungumzia dini piga porojo zako za kawaida
@grantmwakalambile2808
@grantmwakalambile2808 Год назад
Sasa mbn umepaka brich kwenye ndevu iyo nn sasa au ni uhun
@ambrosejulius7259
@ambrosejulius7259 Год назад
Anaitwa nani vile eti majini kila mtu apambane na Hali yake
@samwelmollel602
@samwelmollel602 Год назад
Wewe wakwanza kwahilo
@mwajemwafula5777
@mwajemwafula5777 Год назад
Mwana siasa wa dini ya ovyo kabisa
@selinagregory8674
@selinagregory8674 Год назад
yn ww ni muongo kupita maelezo watu wanapona ww unaongea nini watu wanaitaj majibu kwenye maombi acha bra bra yako ww auna maajabu watu wanataka ukweli wamechoka kuongopewa
@Marjeby
@Marjeby Год назад
Msenge wewe!we unauza nini?madawa yako unayouza na mafuta yako yamepimwa na nani?!we na kina wazee wa upako na kina Mwamposa mnatofauti gani?!wote wapigaji tu shwaini mkubwa wewe we umeshindwa tu unatamani sana kuwa kama Mwamposa au mzee wa upako maono we una maono ww?!we ni kafiri tu na mganga njaa pia
@teachingtruthmission2140
@teachingtruthmission2140 Год назад
Kwanini mnafuata fuata Geor Davie nawewe kwanini usifanye kazi yako ya majini.
@sadickabdallah1519
@sadickabdallah1519 Год назад
Sharifu majini leo ndio umenikuna sana sema lile la bwana doctor mwaka umekurupuka sharifu shekhe wa mkoa amekuzalilisha unamtetea bure tu mtu wa Wanamaker yule
@kendra371
@kendra371 Год назад
TAPELI KUBWA huyu Scharifu mchongo
@joanesasalavaleriano9980
@joanesasalavaleriano9980 Год назад
Mall-shababe nyie muna lolote mcristo ajawai kupigania Dini ata sikumoja
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Год назад
Ivi kwanini kila shekh ni lazima awe mganga wa kienyeji?
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
Muongo mkubwa we
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Год назад
@@Catherine-mh8swni kweli... we fatilia masheikh wengi ni waganga wa kienyeji utakuta wamebuni kuuza miti shamba kwenye nakaz yao na wengine wanadiliki kuuza madawa ya kienyeji mpk misikitini
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
@@ramadhanmahongole9293 tatizo lako nini.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Год назад
@@Catherine-mh8sw tatizo langu ni kuhoji uislamu ni dini ya Mungu kweli? Mbona unafanya mambo yake mengi ya kishetwani Shetwan? kama vile masheikh kalibia wote wanauza madawa ya kienyeji na unajimu wa nyota huo ni uganga wa kienyeji kabisa... halafu masheik wengi Wana paka pich ndevu zao sasa sijui mungu wao kawatuma kupaka? yani ni vituko tupu🤣🤣🤣
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
@@ramadhanmahongole9293 Sasa wewe kinakuuma nini. Hujuwi kitu kuhusu uislam si unyamaze tu .
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Год назад
Kwaiyo mmeumia kuona waislamu wanaingia kanisani kuombewa mapepo yaliyo washikilia tangu udongo wenu? 🤣🤣🤣
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Год назад
Kwaiyo wewe huagui kwakutumia dini?
@fatumamsellem7622
@fatumamsellem7622 Год назад
Kama wewe
@waytvtz2549
@waytvtz2549 Год назад
Mchawi wewe Nani akujui utachomwa na moto wa yesu tapeli mkubwa
Далее