Тёмный

SHEREHE YA KUKARIBISHA MWAKA MPYA WA KISLAM (ZAFA) 1446 | MADRASATUL AMIN TAWI LA LEERA SCHOOL 

Al Amin TV
Подписаться 265
Просмотров 178
50% 1

Madrasatul Amin Islamiya ikishirikiana na Leera School wameandaa hafla ya kuukaribisha Mwaka mpya wa Kislam 1446 Hijria Sawa na 2024 Miladia. Madrasa imeanzisha tawi lake jipya ndani ya Skuli ya Leera, Mwanafunzi atakae kua anasoma Skuli ya Leera atakua na uwezo wakujiunga na Madrasa yetu akiwa amekidhi vigezo vilivyo wekwa na Uwongozi wa pande zote mbili. Tunawakaribisha Waislam wote kujiunga nasi.
kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kupitia Simu no 077743900, E-mail managementalamin@gmail.com

Опубликовано:

 

20 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 4   
Далее