Hongera kwa hivi vipindi juu ya vipengere tofauti ambazo vinausu wanainchi. Labda ungeguzia mambo ya mashamba na vipengere vinausiana na mambo ya: kuuza; Kurithi; na mengine. Huzusan kwa lugha ya kiingereza "adverse possession". Haha watu wananyanganywa mashamba kutokana kutoelewa; kutojua na kathalika. Naomba in future hupate nafasi kuelezea kwa undani vipengele muhimu juu ya mambo ya mashamba na aridhi kwa jumula. Hasante.