Тёмный

SHETANI |Ep 4| 

Comedy Plus
Подписаться 150 тыс.
Просмотров 126 тыс.
50% 1

#Bhailam#Naomy#Mariam
⭐⭐ Disclaimer
This Content is Totally made by us, Don't use Sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel!
For Sponsorship, Advertisement/Marketing And Booking,
Please Contact Us Call/Whatsapp : +255758515863.
Video content managed by : Nasry Khan (Bhailam)
Subscribe hapa : / @comedyplustz
Subscribe hapa : / @bhailamkhan
Like Ukurasa wetu wa Facebook : / comedyplustz

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 341   
@magdalenew.mwanyota5901
@magdalenew.mwanyota5901 5 месяцев назад
Subhannah ewe mwenyezi mungu tuepushe na hizi tamaa za Dunia, 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢nikiona hivi nasema tu heri tumtumikie alie tuumba nasi baadae tutafurahia uku tukiwa salama Subhannah vitu za Dunia ni mbaya sana ewe mola tuepushe amiiin
@DelvinChepkorir-t1d
@DelvinChepkorir-t1d 5 месяцев назад
Mzee Simba uko wow!!!sifa Kwa mwenyezi mungu,,,,nguvu za mungu ni Kila kitu❤
@ByamunguOredijacques
@ByamunguOredijacques 5 месяцев назад
Bhailam we noma we number moja in movie zakufundisha Like basi kwangu kama unamkubali King of movie bhailam
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 5 месяцев назад
Shetani nimemuangalia kwa shida sana kutokana na ubovu wa netwak leo, big up tupo pamoja TEAM BAILAM
@HusnaChelicheli
@HusnaChelicheli 5 месяцев назад
Asubuh tulikua na my love jion tupo na shetani bhailam unajua kutuburudisha 🎉🎉🎉🎉
@RizikiZiki
@RizikiZiki 5 месяцев назад
M'y love imeisha
@HusnaChelicheli
@HusnaChelicheli 5 месяцев назад
@@RizikiZiki ndio leo imetoka final
@VirginiaGoro-p6m
@VirginiaGoro-p6m 5 месяцев назад
After ameuliwa amekuja akiwa shetani 😂😂
@GalaxyA-ve8tu
@GalaxyA-ve8tu 5 месяцев назад
Ntamuomba mungu anijalie maisha mazuri sio ya kishetani kama Aya
@KhadijaJacob
@KhadijaJacob 5 месяцев назад
Anza kuomba Sasa mpendwa! Maana muda ndo huu
@JamilaNduta
@JamilaNduta 5 месяцев назад
Mm hi film imenifunza kuwa karibu na mungu wangu hizi ni nyakati za mwisho
@MwanasaadaAsha-es6ov
@MwanasaadaAsha-es6ov 5 месяцев назад
Ndio kufika wadau wapi team strong 🇸🇦🇸🇦🇸🇦
@sharonnyaboke3852
@sharonnyaboke3852 5 месяцев назад
Tuko hapa❤
@JulianaNehemiahjonathani
@JulianaNehemiahjonathani 5 месяцев назад
Tupo my dear team khamam
@liylahahmed829
@liylahahmed829 5 месяцев назад
Ila mzee simba hajaelekea kuwa mchungajiiii kwa kwel..........mmetupiga hapaaaww🎬
@Jamila96_juma
@Jamila96_juma 5 месяцев назад
Huyu anafaa yale makarama yake 😂😂
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 5 месяцев назад
Bailam naona mmekutana na pacha ako mmefanana sana maneno vitendo kila kitu naisi nyie ni ndungu.ni uyo big wa mali za kafala ndio pacha ako❤❤❤❤❤❤
@selemanrashid8323
@selemanrashid8323 5 месяцев назад
Maashallaah kazi Iko vizuri,, Mungu anamiliki ufalme wote niyeye ndio mmiliki
@evarlneambiyo881
@evarlneambiyo881 5 месяцев назад
Izi ni siku za mwisho nikufanya ibada sana na kuwa karibu na mungu kila wakati 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@lovelyakvee
@lovelyakvee 5 месяцев назад
Asant mzee simba umesikia malalamiko yet hapo uko poa❤ ila ungevua t kofia ep nzimaa
@NeemaLameck-c6q
@NeemaLameck-c6q 4 месяца назад
Jamon maisha yetu bila MuNGu hatupo salama Kabisaa Asante Kwa move nzuriii
@zainaabdallah809
@zainaabdallah809 5 месяцев назад
Jamani mbona amjaniita team bhailam aya tusalimiane team kupambana nawapenda mno team furus team WiFi kazi kazi 🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@AysherQassim
@AysherQassim 5 месяцев назад
Tupo kipenzi
@Nadzuwamangale
@Nadzuwamangale 5 месяцев назад
Mungu siku zote anasimam n mjawake 🙏🙏🙏🙏
@CynthiaMathaga
@CynthiaMathaga 5 месяцев назад
Yaani kila siku Mungu hawaachilii wanja wake ,,,anawalinda hata kikitokea nn.......KAZI nzuri Sana 🩸♥️ Mzee simba
@Mwana85Mwana85-wz1ol
@Mwana85Mwana85-wz1ol 4 месяца назад
Asnt san dj wetu unaweza tenaunawez kutuletea kwa wakati hila naom nakupenda san wallah utajiri huu mm hap eee mungu tunusuru wallah
@sadahamad6158
@sadahamad6158 5 месяцев назад
Utajiri na masharti duh wacha tu nipambane kwa jasho movie tamu na yenye mafunzo hizo like mnazo omba mpeni dj kwanza halafu mtu akome kusema like andaa movie yako
@RukiaDzombo-uf7wp
@RukiaDzombo-uf7wp 5 месяцев назад
Hapo ushasema
@mariamuhamisimwamrezi4832
@mariamuhamisimwamrezi4832 5 месяцев назад
Athanas nakupenda bure my brother❤❤
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 5 месяцев назад
Mnafanya vizuri sana hongereni timu bailam ❤❤❤❤
@judithpendo9985
@judithpendo9985 5 месяцев назад
Team Naomi and mzee Simba bhailam shetani wetu 😂like apa please if u believe in GOD love from team strong hoyeeeeeeeeee 🇸🇦🇰🇪 Niko Riyadh like please 🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️♥️♥️💞💞💞💞💞💞
@lizchepkorir2000
@lizchepkorir2000 5 месяцев назад
same city with you 😊🥰big up bhailam kama sio hizi movie zenu sisi tungekua tunaboeka na hawa waarabu 😹😹🇰🇪🇸🇦
@judithpendo9985
@judithpendo9985 5 месяцев назад
@@lizchepkorir2000 kbsaaa 🤣🤣🤣 kwanza izo nduru zingetoka huku mungu ndio anajua
@lizchepkorir2000
@lizchepkorir2000 5 месяцев назад
@@judithpendo9985 😹😹💪💪
@tuombemamila1364
@tuombemamila1364 5 месяцев назад
Kazi nzuri bailamu watu wenye tamaa ya pesa kama kina Janet and maiko kumbukeni Mungu
@Nyanchama-c1n
@Nyanchama-c1n 5 месяцев назад
Hizi n mawhat jojo anafanya😂😂 tunawakunali team shetani😂😂
@SharonChepngeno-d7e
@SharonChepngeno-d7e 5 месяцев назад
Kama Unakubali mtumishi wa MUNGU weka like mbili hapa❤❤❤
@SamanthaMugisha-n9x
@SamanthaMugisha-n9x 5 месяцев назад
❤❤❤
@FaithJoshua-n8n
@FaithJoshua-n8n 5 месяцев назад
Wau KAZI nzuri sana Naomi, mungu akuzidishie nguvu, tamaa ni baya
@RizikiZiki
@RizikiZiki 5 месяцев назад
Naomi anaweza kira role 🎉🎉🎉🎉❤
@MaimunaMajay
@MaimunaMajay 5 месяцев назад
Ukimuamini mungu ata shetani akuwezi kukuangamiza
@Daestoto
@Daestoto 5 месяцев назад
Màfunzo mazuri sana lkn wee mpaka.naogopa.ee mwenyezi mungu utufanyie wepesi kwa kila jambo zito
@PiliNixon-nt2vp
@PiliNixon-nt2vp 5 месяцев назад
Amen🙏🙏
@EmilyRehema-p1e
@EmilyRehema-p1e 5 месяцев назад
wangapi wanafurahi wakimuona atanase wagonge likes hata tano tu big up atanase
@VeronicaMsambya
@VeronicaMsambya 5 месяцев назад
Bwana Yesu asifiwe kwa wote ndugu zangu, hacheni kuomba omba like naomba mjifunze san hapa kwenye hii movie hapa ni movies kubwa san, naivyo ndivyo shetani hana hivyo fanya kazi, Hacha Mungu hawe wa kwanza kwenye maisha yako ndugu hune soma comment hii hapa
@BethiGody
@BethiGody 5 месяцев назад
Amen
@nancyg8664
@nancyg8664 5 месяцев назад
😢mbona h nyingi sana
@mussanyanda3451
@mussanyanda3451 5 месяцев назад
@@nancyg8664 hahahahaa namm nimeshangaa ,, au n Muha
@honekisebwa226
@honekisebwa226 5 месяцев назад
Hahaha
@nancyg8664
@nancyg8664 5 месяцев назад
@@mussanyanda3451 😆
@Queen_of_AfricanEmpire
@Queen_of_AfricanEmpire 5 месяцев назад
Nawashukulu San Timu Bhailam kwakuendelea kutukumbusha Kumludia muumba wetu kila siku Hakika Siku za Mwisho Zimekalibia Mungu Atusaidie San Tuwe na mwisho mwem Asanteeen sana
@محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
@محمدالقحطاني-ظ3ط1ص 5 месяцев назад
Hongera sana mzee simba na naomy kwa kazi munazofanya nawapenda kutoka Kenya 🇰🇪 ila mzee ndouzuri nkuchane mwamanye vandu 😂😂😂naona kitakuramba tu😂😂😂
@RukiaDzombo-uf7wp
@RukiaDzombo-uf7wp 5 месяцев назад
😂😂😂mwamanye vandu
@محمدالقحطاني-ظ3ط1ص
@محمدالقحطاني-ظ3ط1ص 5 месяцев назад
Bwana weee🤣🤣🤣
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 5 месяцев назад
Nzuri sana ila bhalam i miss you rashel mludishe lecho namkubali sna ❤🇹🇿
@AshmanAshman-m2e
@AshmanAshman-m2e 5 месяцев назад
Jmn amrudushe kwelii
@barakajoackim-xu3hi
@barakajoackim-xu3hi 5 месяцев назад
Mzee uwe mchungaji kabisa unakufaa mzee wangu ikikupendeza yasikilize mawazo yangu
@STANLEYKINYILI
@STANLEYKINYILI 5 месяцев назад
Mko vizuri team Bhailam. Kenya Watching
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 5 месяцев назад
Hongereni timu mzima ya bhailam mupo vizur sana mash Allah mash Allah mash Allah ❤❤
@nurukilelo
@nurukilelo 5 месяцев назад
Kazi yenu nzur sana 🎉alf hamchelewi ,pia kipindi chenu dakika zake ziko sawa kwa kweli mnasitahili maua yenu ❤❤❤
@IribagizaPlacidie
@IribagizaPlacidie 5 месяцев назад
Sukuwe natureteya sision yengine kirasiku tunakupenda bailam ni placidie kutoka Rwanda 🇷🇼
@Jajakanjaniri
@Jajakanjaniri 5 месяцев назад
Eeeeeee Mwenyenzi Mungu Nakuomba Unisaidiye Kirasiku Utowe Mashetani Yote Kwajiya Yoyoto Niriyopita 😭😭😭🤲🤲
@clariszawadi2010
@clariszawadi2010 5 месяцев назад
Kazi yenu ni nzuri sana na ina mafunzo mazuri,acha Mungu akawe nuru ya wokovu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@RamadhanihamisiMussa
@RamadhanihamisiMussa 4 месяца назад
Wa omba like mnakera kinoma Kisenge mnashindwa kusapoti kazi😂😂😂😂 kaka bhailami chukua mauwa yako 🎉🎉🎉
@suzanathobias8567
@suzanathobias8567 5 месяцев назад
Jamanii mke wa maigu amekufa na uzuri wake kazi nzuri sana hii
@alfredmoseti1063
@alfredmoseti1063 5 месяцев назад
Hii nayo Kali sana, inaweza
@JacquelineAbea-e7f
@JacquelineAbea-e7f 5 месяцев назад
Yaan nimeikubali team bailam mko vzr
@akimanasuzane1321
@akimanasuzane1321 5 месяцев назад
Asante sana kwahiyi movie
@بناحمد-ك5ر
@بناحمد-ك5ر 4 месяца назад
Hapa mu echemsha sana toeni movie za mafunzo mazuri bwana mbona ivyo tena
@kimberlychales6032
@kimberlychales6032 2 месяца назад
Jamn. Sikilizen. Kumbe kila mtu unae tembea naye njian. Siio binadam nimeamin
@KachipelaSheila-ob1uk
@KachipelaSheila-ob1uk 5 месяцев назад
Mimi nimejifunza kujua namna shetani hutawala fikra ya mwanadamu na jinsi ya kumwepuka kwa kuwa karibu na mungu
@ggfwtgg1652
@ggfwtgg1652 5 месяцев назад
Jmn movie nzuri naomi & mzee simba munaweza nabapenda sana ❤❤❤
@qaltumsaid3095
@qaltumsaid3095 5 месяцев назад
In Allah we trust.... Tusipende vya mteremko maana vinamadhara😢
@abdallahsalehstar8221
@abdallahsalehstar8221 5 месяцев назад
nyie msipo pata tunzo ntasema haki haitendeki ata kidogo nyie watu ni noooooma balaa ❤❤❤❤
@keogroup728
@keogroup728 5 месяцев назад
From u,s,a. Good job ,brother bhailam
@salmarajabu4890
@salmarajabu4890 5 месяцев назад
Bhailam Kaz nzr... Ila mchungaj kazingua bd kuvaa bagarashia jmn😁😁
@khawiapauline1429
@khawiapauline1429 5 месяцев назад
Kazi nzuri nawapenda wote
@ElizabethJoseph-s1n
@ElizabethJoseph-s1n 5 месяцев назад
Kazi nzuri🎉🎉🎉
@MariamuRajabu-el9ev
@MariamuRajabu-el9ev 5 месяцев назад
Nakupenda bhailamu🎉❤
@Wardat-o3l
@Wardat-o3l 5 месяцев назад
Nawapenda wapenz ❤❤❤
@aishaomar2287
@aishaomar2287 5 месяцев назад
Mie nguvu za giza sitaki! Khaaa...kulala na maiti😢utajiri koma! 🥺#mnatufunza aisee 👏
@maylucson001
@maylucson001 5 месяцев назад
Moyo komaaa kabisaa😊
@hawamohammed9740
@hawamohammed9740 5 месяцев назад
Move tamu sana Naomi ubarikiwe Ila mzee simba❤❤
@ZalhaMustapha-yj4os
@ZalhaMustapha-yj4os 4 месяца назад
Nikifikiria mpnz niliyenae ndio nazid kuongopa jmn😢😢😢😢
@charitemanirakiza1200
@charitemanirakiza1200 5 месяцев назад
Wapendanao mue makini sana
@لويسلويس-ص6ر
@لويسلويس-ص6ر 5 месяцев назад
Kumbe matajir wanatesek yan ukatembee na maiti wa mungu aturehem
@TzSarm
@TzSarm 5 месяцев назад
Hell
@JacquelineAbea-e7f
@JacquelineAbea-e7f 5 месяцев назад
Nimekubali sn mlivo imalizia my love
@TzSarm
@TzSarm 5 месяцев назад
Good
@Don_Will.i.am07
@Don_Will.i.am07 5 месяцев назад
Dk 20 its enough kwetu mashabiki umetisha sana boss. Kudos to the team
@MkasyswallehsaidSwalleh
@MkasyswallehsaidSwalleh 5 месяцев назад
Mambo yamepamba moto🥰🥰🥰
@PatientPacifique-tn7nz
@PatientPacifique-tn7nz 5 месяцев назад
Vizuri Sana
@ENG.HusseinMaishao254
@ENG.HusseinMaishao254 3 месяца назад
Hongereni sana ❤❤
@SamanthaMugisha-n9x
@SamanthaMugisha-n9x 5 месяцев назад
Kutoka Kule 🇧🇮🇧🇮Nawapend sna bailm ❤❤❤
@DishaniDisha-zm2gm
@DishaniDisha-zm2gm 5 месяцев назад
Kazinzuri sana kabisa 🙏 🙏 🙏
@fatuma6011
@fatuma6011 5 месяцев назад
Kaz nzur sana❤❤❤
@matugarecords
@matugarecords 5 месяцев назад
Hii kazi ni kubwa sana🔥🔥🔥🔥
@wemakorogwe6900
@wemakorogwe6900 5 месяцев назад
Nakupenda sana Naomi chukua maua yako dada
@LovelySika-pe2ph
@LovelySika-pe2ph 5 месяцев назад
Sawaaa naomi na kijora chezea ww watu walefu
@TatuHabibu-lm4nq
@TatuHabibu-lm4nq 3 месяца назад
Uyu shetan ananifaa San je ela halet
@MilkaWambui-l7k
@MilkaWambui-l7k 5 месяцев назад
Nsuli sana🎉
@ZubedaBita
@ZubedaBita 5 месяцев назад
Mzee Simba Leo katoa kofia leo
@Lameckthedj
@Lameckthedj 5 месяцев назад
kali sana likini director usitukalishe movie sana ivo tupe hata mara tatu kwa week basi
@mahmoudnajad217
@mahmoudnajad217 5 месяцев назад
Shetani km Shetani from Zanzibar
@everlinekenga437
@everlinekenga437 5 месяцев назад
Nawapenda sana watu wngu ❤❤❤❤
@hutahuta1170
@hutahuta1170 5 месяцев назад
Jojo kapandisha shetani kazi nzr sana
@JamiraAthuman
@JamiraAthuman 5 месяцев назад
Iko vizuli mnajua kwakweli movie mzuli
@HasnatyMuhina
@HasnatyMuhina 5 месяцев назад
Naomba nibak mackini jaman huu utajiri hapana
@PandaKakozi-n9i
@PandaKakozi-n9i 5 месяцев назад
Bien sana 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@MamyLily-f2i
@MamyLily-f2i 5 месяцев назад
Recho siku iz hatumuon kwenye move saiv yuko wap
@MrJohnblaiseBlaise
@MrJohnblaiseBlaise 5 месяцев назад
C cool 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@lulupeter-xf9gs
@lulupeter-xf9gs 5 месяцев назад
Jojo una macho makubwa mmmh
@Roze-so4he
@Roze-so4he 5 месяцев назад
Kazi tamu
@DayjaMakangira
@DayjaMakangira 5 месяцев назад
Bailam mbadilishe mzee Simba iyo kofia hawavai wachungaji na iyo Pete avae ya ling ok good job
@RaimamomedSaidi-wz1yu
@RaimamomedSaidi-wz1yu 5 месяцев назад
Hapana huyo sio mchungaji wa kikiristo,ni wakislam na amefanya vizur sana maana habadilishi dini yake kwa ajil ya kazi❤❤❤❤
@RaimamomedSaidi-wz1yu
@RaimamomedSaidi-wz1yu 5 месяцев назад
Ni mchungaji wa mungu sio padri,wala shekhe.😂😂😂
@DamarisAkinyi-x4o
@DamarisAkinyi-x4o 5 месяцев назад
Mnipe likes hata mimi jameni juu since mnapta mbn ncpate
@rishedynassor6170
@rishedynassor6170 5 месяцев назад
Kaz nzur
@neemamichael-iv3jp
@neemamichael-iv3jp 5 месяцев назад
Huyo mganga san anaejifanya et utajir anakibanda😂😂
@finegatwiri2597
@finegatwiri2597 5 месяцев назад
Kali sana 😢😢😢😢😢uku watu wanaona like too awafikiri kitu ingine 😢😢😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@BintyRama-b1r
@BintyRama-b1r 5 месяцев назад
Jaman leo nmewahi ❤❤❤🎉
@BintyRama-b1r
@BintyRama-b1r 5 месяцев назад
Munipe like leo nmeangukia wakwanza
@sophianyamvula7080
@sophianyamvula7080 5 месяцев назад
Kazi safi sana yenye mafudzo 🙏🙏🙏
@MawejeJohn
@MawejeJohn 4 месяца назад
Amina
@2_ŝäķä
@2_ŝäķä 5 месяцев назад
Jamani mm leo wakwanza naombeni likes zenu Kama unampenda bhailam basi like
@KhadidjaIssaJamal
@KhadidjaIssaJamal 5 месяцев назад
Hupewi nyoooh😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 5 месяцев назад
​@@KhadidjaIssaJamal😂😂😂
@AnithaMwambe-pm3gr
@AnithaMwambe-pm3gr 5 месяцев назад
Mzee simba bibilia na barakashia
@zidutunutu7493
@zidutunutu7493 5 месяцев назад
Wakwanza nipen like hata 10 jman
Далее
SHETANI |Ep 5|
20:28
Просмотров 111 тыс.
SHETANI |Ep 2| SEASON TWO
12:19
Просмотров 24 тыс.
Part 5. Roblox trend☠️
00:13
Просмотров 2,7 млн
SHETANI |Ep 1| SEASON TWO
15:32
Просмотров 42 тыс.
SHETANI | Ep 6 -10 |
1:49:26
Просмотров 48 тыс.
BHAILAM  DEVIL  SHETANI  SEASON 2    ( EP 2 )
2:54
SHETANI |Ep 6|
19:30
Просмотров 122 тыс.
SHETANI |Ep 20| FINAL
33:26
Просмотров 116 тыс.
SHETANI |Ep 10|
22:06
Просмотров 112 тыс.
SHETANI |Ep 7|
25:26
Просмотров 136 тыс.
MAGIC SCHOOL | ep 03 | FULL EPISODE
33:17
Просмотров 150 тыс.
Part 5. Roblox trend☠️
00:13
Просмотров 2,7 млн