Kazi zangu zikiisha duniani , nitapopaa juu mbinguni TUKIKUTANA kwenye meza ya fahari , TUMIIMBA na BWANA YESU Marafiki majirani tukutane , salamu za kiMBINGU MBINGU HALFA hii siyo ya kufananishwa kamwe , huzuni zetu zitakoma Amen , wana na binti za Mungu, ila mbona kama mmebadili maneno ya wimbo 🤔 Jw