Mi nakumbuka nikiwa class 3/4, nilishikwa nikiiba miwa kwa shamba ya mtu nilipoenda kuchota maji mtoni. Mwenye shamba alituvamia from nowhere na panga mkononi , I knew I was dead. We were reported to my mother. Ile kiboko nikikula za mapera, wacha tu. Tukanyimwa chakula.
Hapo kwa US na story za Marder ni ukweli. There is a preacher mwenye alishikwa akapelekwa ndani juu aliconfess to a crime Ali commit long ago. Hawana mchezo hao!