Yaani mtangazaji ni shabik wa konde sasa hata hana facts! Hajui vitu vingi! Wewe hujui show ya diamond yeye ndio alikua main artist! Anasema alikua amealikwa!!!! Yaani hujui kazi unayoifanya mtangazaji wa PTV,mpaka unasinya!!!
Muna fanya interview na mashabiki wa diamond 😂😂😂 huyo unaemuliza ni WCB ila kwa upande mwingine anaongea point huyo jamaa harmonize muda murefu yeye na mapenzi ndiomaana anatoa ngoma zinaishia Tanzania peke yake sasa nyimbo kama sherehe Music na mapenzi wapi na wapi