The Real Househelps of Kawangware is a dramatic & comical series that revolves around the lives of the inhabitants of Kawangware. These are the house helps, their employers and their friends.
Hahahaaaaa...ati shiti ndo anapea michi hopes za kuishi nairobi bila kazi...since 2016 hana job bt analala na anakula.......that was a very nice and funny ending av ever seen in this kawangware
Hahaha funny thing sisi huambiana hio kitu after tuligraduate from UoN 2016, unasurvive hii Nairobi bila kazi na unakula na kulala kila siku....Michi aliweza na hio line.
Onyi ni kama alianguakia ga Slay queen😂😂😂Siku hizi ako smart sana Adi amekuwa mweupe kiasi. Brayo dread 😍😍😍😍😍😍. Crotus utajua pesa hazi nunui kila kitu😂😂😂😂nenda kajifunze kuongea nazo😂😂😂😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sipira sipiration,kama kuna watu hunibamba na sauti ni sipira,Krotus na Onyi,hawa ata kaa wanaongea upuzi mi hubambika...my sighn kama kawa 👌👌👌and my love ❤❤❤❤