Biashara za kawaida zimerejelewa katika kaunti ya Kisumu baada ya kipindi cha juma moja cha uchaguzi, ujumlishaji wa kura na matangazo ya matokeo. wakazi wamerejelea biashara zao wakiwa na ari ya kufufua uchumi wa kaunti hiyo na kujipatia tonge la siku
14 окт 2024