Tall brother umebarikiwa na sauti bana otherwise Mungu a zidi kuwabariki popote mkanyagapo natamani kufika hicho kiwango mlipo lakini Niko na Imani kuwa hiyo neema inakuja..,.. producer l like beat play keep it up in Jesus name
Na hawa warembo hawajuwi kuimba ama ni waoga😢,,,,,mko na wapi tafadhali natamani kuwajoin aki it's so wonderful naguzwa kuguzwa spiritually 🙏🙏🙏🙏🙏👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻kazi nzuri hiyo sana....Na kwani Esau ni brother wa Danny ama ju sauti zinafanana❤.......Alafu this song ni tamu sana ambia Dan asikuwe anapeleka mbio saaaaaana ww na Henry you nailed it🎉