Album : Mwamba imara
Song : Sifa ni zako
Choir : Gospel Voice Cd ;
SDA church : NTONI, BENI DRC
Subscribe to our Chanel / Abonnez-vous à notre chaîne
/ @gospelvoicesdantonicd...
Mwamba Imara: • Mwamba Imara by Gospel...
Lyrics:
1.
Haleluya Haleluya Bwana, Haleluya sifa nizako Eh Bwana,
Yako mengi unayoyatenda wala hakuna kama wewe,
Wanao lia wafutwa machozi, Walemewao unawapa nguvu,
haleluya haleluya Bwana sifa zote ziku endee. X2
Jangwani watu walilia eti njaa, Uka wapa maji na
chakula waka tosheka ah!
"ewe Bwana unatosha, ewe Bwana uinuliwe ewe Bwana
sifa zote eh! ni zako, unayo yatenda yana pita fahamu
ewe Bwana pokea sifa". X2
2
Sija wai ona alie kama huyo bwana, ana fufua wafu
ali lisha umati mwingi, mikate mitano na samaki mbili
hata bahari huyo Bwana katuliza. X2
🎶
"Nita imba haleluya sifa zote zikwende haleluya kwa huyo Bwana,
malaika waku sifu nami leo nakuinua pokea sifa ya midomo yangu"
HALELUYA HALELUYA BWANA, ALELUYA SIFA NI ZAKO EH BWANA,
YAKO MENGI UNAYO YA TENDA WALA HAKUNA KAMA WEWE
WANAO LIA WAFUTWA MACHOZI, WA LEMEWAO UNA WAPA NGUVU,
HALELUYA ALELUYA BWANA SIFA ZOTE ZIKU ENDEE. X2
"NITA IMBA HALELUYA SIFA ZOTE ZIKWENDE HALELUYA KWA HUYO BWANA,
MALAIKA WAKU SIFU NAMI LEO NAKUINUA POKEA SIFA YA MIDOMO YANGU" x2
16 янв 2021